Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habarini wakuu, Kwa mtaji wa shilingi Milioni 20 ninaweza kufanya biashara gani?
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Kariakoo imeanza kurudi Kwenye ubora wake wa kuwa Kituo Cha Kimataifa Cha Biashara.. MKOA wa kikodi wa Kariakoo umevunja rekodi kwa kukusanya Sh bilioni 40.8 sawa na asilimia 102 kwa mwaka wa...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Najribu kufanya Malipo kupitia PAYPAL lakini naona kama kuna shida ambayo siielewi. Je kuna mwingine ambaye anapata shida kwenye kulipa kwa kutumia Paypal?
2 Reactions
18 Replies
712 Views
WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI KATIKA KONGAMANO LA UHAMASISHAJI BIASHARA KATI YA CHINA & AFRIKA AMBALO LIMEFANYIKA NCHINI CHINA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu K. Kijaji...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Habari ya wikiendi wadau!!!!!,Kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine,walitumia akili ya kuzaliwa kutatua tatizo la ukosefu wa pesa na saivi maisha yako vizuri,mfano inaweza kuwa kutokana na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Binafsi ni mfanyabiashara wa kawaida kabisa lakini sikuwahi waza hata siku 1 nitakuja kuwa mfanyabiashara Ninachojua mimi ndoto zangu ni kuwa Pilot au Hacker (IT MZURI KABISA) ila ktk ndoto zote...
53 Reactions
39 Replies
8K Views
Habari, nakuja tena kukutaarifu kua, application ya Stock manager & sales register imefanyiwa marekebisho ya muonekano wake, na kuwa wa mvuto zaidi. (linki ya application kwenye playstore) Lengu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za Leo ndugu zangu, vijana wenzangu? Natumaini Mungu anaendelea kutupigania katika mapito yetu ya kila siku. Nimekaa natafakari sana Hili wazo: Kwamba Kwa umoja wetu, kupitia mikakati...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
UTATOFAUTISHAJE ASALI MBICHI NA ILIYOCHEMSHWA? Unaponunua asali, ni muhimu kutofautisha asali mbichi na iliyochemshwa. Kwa tulio wengi, hii ni kazi ngumu. Hivyo tunasikiliza analosema muuzaji...
1 Reactions
2 Replies
843 Views
Happy new year everyone. Kutokana na budget yangu sitakidhi kodi na vilemba ya k.koo. Ila bado budget yangu inakidhi kufunga mzigo nje ya nchi na kufungua duka lililo sheheni bidhaa nyingi na...
1 Reactions
4 Replies
983 Views
Salaam wana JF, Naombeni connection ya mfugaji wa kuku wa mayai (layers) aliyepo DODOMA au Morogoro anayeweza kuniuzia trey 50 hadi 100 kwa wiki moja tufanye kazi. Nipatieni tu mawasiliano...
1 Reactions
3 Replies
756 Views
Je wewe ni mkulima wa miwa na huna soko lenye tija la kuuza miwa yako. Njoo nikuunganishe na soko la uhakika na lenye faida... Utasimamia mwenyewe hatua zote kuanzia shamba hadi sokoni. Email...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za Leo ndugu wanajamvi 1. Naombeni msaada wataalamu wa vifaa vya Stationary. Printer Ipi ni nzuri zaidi kwa matumizi ya stationery?
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza iPad hiyo hapo,jipangie bei. Alikuwa anatumia demu Canada,nikazinguana naye nikarudi nayo Dar,so password kipengele.. Kama upo serious nicheck 0717281088 au 0625697394 Nipo Kigamboni,Dar...
1 Reactions
55 Replies
2K Views
Kumekuwa na uhaba mkubwa wa fedha za kigeni hapa Tanzania hasa USD ambayo ndio hutumika sana kwa malipo kwa biashara za kimataifa. Pamoja na kupanda kwa dola na kushuka kwa shilingi kutoka 2375...
13 Reactions
51 Replies
6K Views
Ndugu wadau mimi niko Daresalaam nina mtaji wa laki 5 tu..na sio mzoefu wa biashara kabisa ndugu naombeni mawazo, staki kukurupukia biashara naomba mawazo kwa uzoefu wenu ndugu wadau nifanye...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Power to the People Wanajamvi!!! Kama umekuwa ukifuatilia mwenendo wa SARAFU yetu pendwa ya TZS kuanzia mwezi wa 5, utagundua kwamba imeporomoka sana kwenye soko la ubadilishaji wa fedha za...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Wanasalimu kwa jina la Jamuhuri, Naomba kuuliza kuna changamoto gani katika kusafirisha mazao kutokea Rukwa kwenda Dar ambapo mtu unakuwa na mzigo mdogo kama gunia 3 na sio kuzaja gari?
0 Reactions
1 Replies
271 Views
Habari wakubwa........ Naomba msaada wa maelekezo ya kozi ya Marketing in tourism and events management .je iko vizuri kuisomea kuliko kusoma Business administration
1 Reactions
3 Replies
508 Views
Wadau mimi nina kiasi cha 3m nafikilia kufanya biashara ambayo itakua na tija na kuleta faida ,nahitaji ushauli wenu ni biashara gani nzur ya kufanya nipo Dar es Salaam.
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Back
Top Bottom