Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wakuu, Nauliza wapi ntapata chimbo la wauza mizani kwa jumla, mizani aina ya camel made in India au Galax maana machinga najaribu kuwadadia wamekua wagumu mno kutoa info.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Inaweza kuwa biashara yako inaenda vizuri, yaani kila ukifunga hesabu kimoyo moyo unasema “mambo si ndio haya !” Mara paaaap! Anatokea mshindani mpya aidha anafungua pembeni/karibu yako biashara...
14 Reactions
40 Replies
4K Views
Fursa zipo kila mahali, ila changamoto huwa inakuwa kwetu ambao tumezungukwa na fursa hizo. Wengine wetu hudhani fursa ni kitu ambacho kipo wazi kama wengine wadhaniavyo, hapana fursa hii. Fursa...
3 Reactions
2 Replies
557 Views
Kwanini? Mwenye majibu ya maana atoe
0 Reactions
6 Replies
808 Views
nimesoma kwamba unaweza ukapata faida kwa hii foreign exchange arbitages kuna triangular arbitrage na locational arbitrage ambayo unatumia tofauti ya exchange rates kati ya benki tofauti na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakubwa hapa leo najaribu kuelezea madhira tunayopitia vijana tunaojitafuta, tunapata mawazo mengi na kuchora mipango mingi sana ya mafanikio... Ukifungua notebooks zetu utaona tumeandika mipango...
11 Reactions
65 Replies
5K Views
Hii mada nairudia tena kwa mara nyingine, mtaji ninao wa zaidi ya million saba tatizo kazini natoka Kuanzia saa 9 na nusu usafiri ninao pikipiki. Job kila siku Monday to Friday na pia ni mtu wa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna kijana anasoma India katika mji mmoja anasema tunda ghali hapo ni Parachichi linauzwa elfu tano ya Tanzania, sasa Sie tuna ndege inaenda India mara mbili kwa wiki hawa wajasiliamali wa sido...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kigahe: Anzisheni Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye mazao mengine. Naibu Waziri wa Uwekezaji,Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe ameitaka Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi kuzingatia maagizo ya...
0 Reactions
0 Replies
349 Views
WABUNGE WATOA HOJA KUISHAURI SERIKALI JUU YA WAKULIMA KUUZA MAZAO NJE YA NCHI Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe amewaongoza wabunge wanaotokea maeneo ya wakulima na...
0 Reactions
1 Replies
588 Views
Salamu kwa wote! Nimeona kuwa kuna wenzangu wanaopata shida katika kupata leseni ya biashara. Sasa hivi niko hapa kukusaidia kwa kutuma maombi yako na kuhakikisha unapata leseni yako kwa haraka...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
MBUNGE NDAISABA AIPA SOMO TANAPA JUU YA MADINI YALIYOPO HIFADHI YA MANYARA "Nampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake mzuri na kwa maono...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujaribu kusikiliza maoni ya watu ambao...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Wakuu Gari za scania aka Mende zinazotumika sana kubeba mchanga na kokoto zina ujazo gani (volume)? Kama nitapata mchanganuo kama kuna zenye ujazo tofauti itakua vyema. Asante.
0 Reactions
5 Replies
6K Views
MTANZANIA MWENZENU YAMENIKUTA... Kuna likampuni la marekani lilinidanganya niwekeze. Halafu faida inayopatikana litanitumia asilimia kumi ya faida. Kweli faida limenirushia lakini kwa njia...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Natumai wote wazima! Next week Nina safari ya kuwa huko kibiashara nikitokea Arusha. Nasogeza product yangu kwenye maduka niliyopewa order. Kwakuwa Mimi huko ni mgeni, natafuta kijana...
1 Reactions
8 Replies
632 Views
Kama kichwa kinavyoeleza naomba mwenye kujua anisadie nani mmiliki/wamiliki wa Azania Bank ya Tanzania?
1 Reactions
7 Replies
3K Views
https://easy-earn.homes/247786048691
1 Reactions
4 Replies
1K Views
RITANI YA MWISHO YA KODI YA MAPATO Mfanyabiashara binafsi mwenye mauzo ghafi kuanzia shilingi milioni 100 kwa mwaka au kampuni au NGOs wasilisha ritani ya mwisho ya kodi ya mapato ya mwaka 2022...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Moja kwa moja kwenye mada. Kutokana na sababu tofauti kumekuwa na panda shuka ya bei ya bidhaa tofauti kuanzia vinywaji hata vyakula. Kitu cha kushangaza ni kuwa wafanyabiashara wanakuwa wepesi...
2 Reactions
9 Replies
549 Views
Back
Top Bottom