Naibu Waziri Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) Kwa niaba ya Waziri Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameshiriki ufunguzi wa Kongamano la Kibiashara kati ya Tanzania na China...
Huyu ndio CEO wa Google na alphabet Inc. Ni mtu mwenye asili ya kihindi na marekani, alizaliwa June, 10, 1972 huko Tamir Nadu India, alipata shahada yake ya Kwanza Katika chuo cha Stanford...
Hawa wadada wanaojitangaza kuwa wanakuletea mzigo toka China huwa wanapiga pesa ndefu.
Hizi mishe walizianza akina Faiza Ally. Kwa sasa wamekula wengi hasa wadada.
Iko hivi, wao wanaenda China...
Wapendwa,
Nimekuwa nikifuatilia issue nyingi za wanawake kwenye jamii wanavyopitia kwenye hali ngumu za kukatisha tamaa, misukosuko kwenye ndoa na hata kwenye malezi ya watoto. Wanake wengi...
Habari wakuu naomba ushauri, hivi eti kwa mtaji wa 450,000/= ninaweza anzisha biashara ya phone accessories vifaa vya simu.
Note: Hiyo 450000/= ni kwa aajili ya kununua bidhaa tu na sio...
Habari za Leo jamiiforums?
Niende moja Kwa moja kwenye mada, Niko mahali yapata miaka mitatu ila Kuna jirani baadhi siwaelewi kabisa, Kuna jirani nikimsalimia haitiki na milango inatizamana...
Salamu zenu Wadau, binafsi ni mchakalikaji na hivi karibuni nimepata mtaji kama milioni 6 hivi, mawazo yangu ni kufungua biashara ya kuuza mchele kutoka Mbeya, Moro,Tabora kwenda zanzibar.
Tayari...
Ninatamani sana kufanya biashara ila biashara gani naweza kuifanya kutokana na mtaji wangu ndiyo sijui. Kutokana na kutokua na uzoefu wa biashara, mtaji wangu ni 3m, nachofikilia kufanya hapa kuna...
Niende kwenye mada mojakwamoja Nimestack wakuu mimi najishughulisha na kusupply vifaa mbalimbali.
Sasa toka mwezi October nilianza kufanya usambazaji wa bidhaa kwa wateja ila hadi kufika mwezi...
MBUNGE MARTHA MARIKI ACHANGIA MILIONI 29 VIKUNDI VYA WANAWAKE KATA ZOTE ZA KATAVI ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki tarehe 03 Julai, 2023...
Watu wengi hawajui kwanini biashara ya vitenge hutokea Kigoma, pia wengi hawafahamu wapi watapata Vitenge halisi na original, post hii yenye urefu itakufungua zaidi ili uweze kufahamu kwanini...
Kwenye maonyesho ya tatu ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika hivi karibuni katika mji wa Changsha mkoani Hunan, bidhaa nyingi kutoka Afrika zilioneshwa na kuvutia wateja...
Naomba kujuzwa juu ya biashara ya mpunga katika bonde la Kilombero mkoani Morogoro katika angle zifuatazo
1. Msimu wa biashara hizo
2. Mtaji wa chini kabisa wa biashara hiyo
3. Changamoto zake...
Benki ya CRDB imeingia mkataba wa makubaliano na Yanga kutoa kadi kwa wanachama wa klabu Yanga katika kuongeza ufanisi wa usajili na masuluhisho ya kifedha.
Akizungumza wakati hafla kusaini...
Habari,
Wanajukwaa naomba kueleweshwa kuhusu hii ishu ya Uwakala wa kusaji laini (Freelancer).
Je, INALIPA? au ni kupoteza muda bila mafanikio kama ndiyo ushawahi kuona mtu kafanikiwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.