Naiitaji msaada wa mawazo. Et naitajika kua na vifaa gan nikitaka kufungua kiwanda kidogo cha tofali kijijini.
Na hivo vifaa navipata kwa bei gan.
Note: kama kifa unacho unaacha mawasiliano na...
Habarini wakuu,
Natafuta location nzuri kwaajili ya kufungua biashara ya hardware hasa pembezoni mwa mji ambapo bado ujenzi unaendelea.
Itapendeza kama itakuwa ndani ya mkoa wa Dar au Pwani. Ni...
Habar wakuu naulizia yoyote anaewafahamu wauzaji wabaiskel used Toka japani hizi mtumba za zakawaida zinatumika zaid mikoani..nahitaji kuwajua masupplier wanaouza Bei ndogo na baiskel nzur zaid
Habari za Kazi Wana JF, niende Moja Kwa Moja kwenye mada.
Vijana wengi hatufahamu kabisa umuhimu WA kuinvest katika umri mdogo, miaka 20+/- ndio wakati sahihi wa Kuanza kufanya uwekezaji.
Hii...
Wadau,
Inaitajika frame ya kufungua bucha ya kitimoto, iwe sehemu yoyote yenye mzunguko mikubwa wa watu kwa dar es salaam. Nicheck kama unayo au mawazo.
Ahsante
MBUNGE KAINJA ATOA MILIONI 81 KWA WANAWAKE (UWT) KUWAWEZESHA KIUCHUMI KATIKA MKOA WA TABORA
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja Andrew ametoa fedha kiasi cha...
Mimi ni miongoni mwa watu wanaojaribu vitu vingi sana, Naamini katika so called risk taking.
Kuna mwana Jamii Forums humu alikuja na wazo, nilipoliangalia nikaona kama linawork, nikampigia simu...
Habari wanaJF,
Natumai hamjambo nyote
Mimi nipo Singida Manyoni nina kamtaji kangu, wazo lililonijia ni kufungua biashara ya vitu vya stationery, ila changamoto yangu sijui navipata wapi kwa bei...
Habari JF
Mimi kama mwanafunzi wa chuo kikuu, leo hii nimeamua kuwasaidia wanafunzi wenzangu kwa kuwapa mpango mzuri wa biashara.
Usishangae sana, uzuri? Wa mpango huu wa biashara unaweza kuanza...
Ifuatayo ni list ya matajiri 10 katika soko la hisa la dar es salaam (DSE) mpka kufikia siku ya tarehe 26-06-2023, kama ilivyoandikwa na THE BUSINESS WIZ siku ya tarehe 30-06-2023.
The 10 richest...
Mambo vp wakuu...
Naomba mwenye kuelewa au uzoefu wa biashara ya daladala aina ya coaster au hiace..
Nilikuwa na kama 20Ml nahitaji kuchukua hiace used niiweke barabarani je ni zipi changamoto za...
Salaam jaman.
#Ninashida na Agent wa tairi za MRF za bajaji.Aliyepo dar,kwa anaejua tafadhali msaada kupata mawasiliano yake.
0768 228 904/0622 228 904.WhatsApp/Call
MBUNGE KAINJA NA MIRADI KATIKA KATA 206 MKOA WA TABORA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja Andrew anatarajia kuanza ziara rasmi kutembelea Kata 206 na kuzindua MIRADI...
Wakuu nimekuwa nikifuatilia JF kwa muda mrefu sana, tangu enzi hizo inaitwa JamboForums mpaka JamiiForums. Nimeona watu wengi walivyo na muamko wa biashara ili kuongeza kipato sababu mishara ya...
Wakuu habari za miaka
Moja kwa moja niende kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema
Kwa mwenye uzoefu wa biashara ya kuuza kitimoto roast au ya kuchoma na makange ya kitimoto naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.