Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Nzega ambapo ameendelea kutoa fedha za miradi mbalimbali yenye thamani ya Shilingi...
Habari za Muda huu wakuu,
Wengi wameandika kuhusu AI, ila na mimi ningependa kutia neno kidogo lakini katika angle ya baishara, kama title inavosema "Unlocking Business Potential through...
Habari wadau. Napenda kujuaa majina ya Vituo vya radio vinavyosikilizwa sana Mikoani na vinafaa kutuma matangazo. Mikoa ninayoitarget ni hii
1. Morogoro
2. Tanga
3. Moshi
4. Arusha
5. Babati
6...
Wasalam wakuu wa jukwaa hili pendwa,
Mbele yenu ni kijana mchakalikaji na mpambanaji pia, sichagui cha kufanya.
Naombeni mawazo wenyeji wa maeneo husika hapo juu ila hata nje ya hapo napokea...
HATUA NNE (04) ZA KIMKATABA UWEKEZAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM
1. Makubaliano ya ushirikiano kati ya Tanzania 🇹🇿 na Dubai - Makubaliano tayari yamesainiwa na kupitishwa na Bunge la Tanzania kwa...
MBUNGE JACQUELINE KAINJA AWAWEZESHA KIUCHUMI WANAWAKE WA KATA 35 ZA WILAYA YA IGUNGA
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja Andrew ameendelea na ziara yake katika Kata...
Mfumo wa mauzo kwa hapa nikielezea zaidi mauzo360 una faida kadhaa kwa biashara na mfanya biashara.
Hapa chini ni baadhi ya faida za kutumia mfumo wa POS:
1. Usimamizi bora wa hesabu: POS...
Kama wewe ni mfanya biashara, utakubaliana na mimi kua nyakati zinabadilika.
Wakati teknolojia inaongezeka ni jukumu la mfanya biashara kujua teknolojia hii itamsaidiaje kurahisisha shughuli...
Habari wanajukwaa?
Natumai mko salama na buheri wa afya. Leo nataka tujifunze kitu kwenye biashara.
Mabosi wengi huibiwa na wafanyakazi bila kujua, na wasijue nini chakufanya. Kazi inakua...
Wakuuu nahitaji kufanya biashara ya kuuza vifaaa vya umeme duka la umeme ila mtaji wangu kma 13mil kuna washikaji wanasema ni ndogo ila kuna wanangu wengine wansema hyo ni nyingi sana kma nitakuwa...
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga ameendelea kuwafikia Wajasiriamali Mkoani Shinyanga ambapo leo ilikuwa zamu ya Mama Lishe Manispaa ya Shinyanga kupatiwa msaada wa...
Natambua mpaka mzigo uishe ndo tunaweza pata hesabu za faida na hasara vinginevyo itakuwa tuna assume tu. Ila kama inawezekana unaweza nipatia formula ili nione inavyokuwa.
Kuna hizi bidhaa hapa...
Habari wakuu, naombeni ushauri, mawazo na msaada wa kupata soko kwenye biashara ya mchele. Natoa mchele wilaya mpya ya songwe, mchele ni mzuri sana.
Aliye na uhitaji nao tufanye biashara wakuu...
Peace JF Masssive 🤜🏾
Kipindi hiki cha covid 19 watu wengi sana wamekuwa wakitatufa njia zakuingiza side income angali wakiwa home. Na niseme tu baada ya kuandika uzi huu
Watu wangi...
Habari wana JamiiForums,
Mimi ninahitaji sehemu ya uhakika ambapo nitakuwa na uhakika wa kupata Mercury nyeupe kwa ajili ya matumizi ya machimboni kutumika kwenye dhahabu.
Nimejaribu kufuatilia...
Habari wapenzi,
Nina mtihani nina 150,000 mkononi natakiwa nifanye kitu ili ifikapo tar 30 july niwe nimezalisha 350,000 la sivyo ..
Naombeni mawazo yenu.
Nini kinaingia ndani ya hiyo budget...
Wajumbe samahan.Naomba kwa yeyote mwenye mawasiliano ya wakala wa Tairi za MRF 400.8 za Bajaji anitumie tafadhali.
#Natanguliza shukrani
0622 228 904/0768 228 904
Unapoanza biashara, kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia ili kuongeza uwezekano wa mafanikio. Kuanzisha biashara ni hatua kubwa na yenye changamoto, lakini pia inaweza kuwa fursa nzuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.