Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu FOREX &STOCK TRADING ni biashara yenye hasara na faida kubwa yenye kuhiataji umakini ,na maarifa katika uwekezaji wake, Trading hack Maximum deposit 50$ Broker Deriv Instrument...
7 Reactions
24 Replies
4K Views
Wasalamu! nawasalimu wote kwa jina la tozo ziendelee. Tunaishukuru serikali kwa kusikia ombi letu la kuwapa ajira ya mda vijana wasio na ajira kwenye zoezi la sensa ya watu angalau vijana...
13 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari zenu wana Jamii Forum, natumaini mnaendelea vizurii. Lengo la Uzi huu, ni kupata mawazo tofauti tofauti kuhusiana na kuanzisha Biashara. Nina Kiasi Cha Shilingi Laki Tano, Je.! Ni...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Nawasalimu kwa jina la atiaye pumzi ya uhai. Anayejua lication ya kilipo kiwanda cha Saphire Glass industry Mkuranga anielekeze. Nielekezen mtu toka mkoan kama nilivyo nachukua route ipi
0 Reactions
2 Replies
556 Views
Nipo kwenye harakati ya kuanzisha kakampuni kadogo, katakachoitwa ''equation x financial partnership'' Hiki kikampuni, kazi yake kubwa itakuwa ni kuingia ubia na wafanyabiashara wadogo wadogo...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Engineers in designing process, like to pack lots of features into products, that can cause a lot of suffering to customers due to feature fatigue, which can affect the future sales. Companies...
0 Reactions
1 Replies
436 Views
Heshima kwenu. Naomba kujua kuhusu mbao zinazotumika kutengenezea sofa. Je ni mbao ngumu au Kuna aina nyingine???
0 Reactions
2 Replies
855 Views
Wakuu heshima yenu Sasa ndugu zangu kijana wenu nina mtaji wa M5 nipo nafikiria kuanzisha biashara moja kati hizo 2 hapo ndani ya mji wa Dsm maeneo ya mbezi mwisho au kimara Kwenye biashara ya...
7 Reactions
34 Replies
8K Views
Ni benki gani yenye riba nafuu kwa mikopo ya watumishi? Nawasilisha.
3 Reactions
13 Replies
5K Views
Wakuu samahani naomba ushauri. Nataka kuanzisha biashara ya nguo na mikoba nanunua Dar napeleka Mwanza. Natafuta location Mwanza mjini ambayo itaendana na biashara yangu. Transport cost kutokea...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Binafsi ni mtumiaji wa Vodacom na nimekutwa nishawishiwa kupewa mkopo wa 162,000/- wa M-Pawa. Siku niliyojaribu nilipewa pesa nisiyojua ni sh ngap kwa maana nilioneshwa salio jipya na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana jukwaa habari zenu! Leo ningependa kushare nanyi kitu ambacho nimekiona ktk ka utafiti kangu kadogo kuhusu biashara nyingi za maduka ya nguo na saloon ama za kiume au za kike kufa kifo Cha...
2 Reactions
3 Replies
892 Views
Mbongo Aisee ni mtu mwenye kichwa kigumu sana. Imagine mtu unaona kabisa sehemu fulani kuna biashara kama nne zinazofanana we unaenda kuanzisha biashara hiyo hiyo, hivi hii inaingia akili kweli au...
39 Reactions
177 Replies
6K Views
Biashara is a hard game, very risk. Kuanzia usimamizi unahitaji ulinzi, wafanyakazi wote wanahitaji ULINZI ili wafanye kazi. Uli usiibiwe unahitaji ulinzi. Mapato na matumizi unahitaji ulizni...
3 Reactions
9 Replies
767 Views
Habari wana Jamii Forum, Je, bado unarekodi taarifa za biashara kwenye daftari? Mimi ni freelance Book-Keeper mwenye uzoefu wa Zaidi ya miaka 5 na mhitimu wa Chuo cha Ifm kwa degree ya...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
MBUNGE JACQUELINE KAINJA NA WANAWAKE (UWT) WILAYA YA KALIUA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 13 Julai, 2023 ameendelea na zoezi la Ugawaji wa fedha za...
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Habari wana jamvi, ni matumaini yangu kwa uwezo wa yeye tumtumainiaye wote ni wazima wa afya. Ama baada ya salamu, kama jinsi thread inavyojieleza wandugu nina suala nahitaji mawazo na ushauri...
18 Reactions
167 Replies
22K Views
deleted thread
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kuchapika Sana, nimepata TSH 3.5 milioni naomba msaada nifanye biashara gani, ambayo ni simple to manage and daily return isipungue elfu kumi na tano. Hope nimeeleweka, just starting...
9 Reactions
35 Replies
5K Views
Biashara zenye kudai zina faida kubwa ni mtego na udanganyifu. Ni nyimbo zinazoimbwa ili kumvuta mtu asiye makini kwenye hasara na majuto.. Maneno ya muandishi George Clason, kwenye kitabu chake...
4 Reactions
1 Replies
844 Views
Back
Top Bottom