Ninaomba kwa anayejua eneo lililopo godown la pipi za jumla au wasambazaji wakubwa wa pipi za jumla Arusha, ambao wanahusika na kuwasambazia watu wa maduka ya jumla naomba anipe connection.
Unakuta Showcase nzuriii, inavutia ukimuliza fundi hii ni mbao ya mti gani? Anakuambia Mbao ngumu, kumbe ni haya ma play wood na sijui MBF.
Unafika nyumbani jichanganye likae sehemu yenye maji...
Wakuu Habari za Majukumu,
Samahani sana Wakuu, Nina shauku ya kufahamu hili:
TRA wanauza machine za VFD na kuwahimiza wafanyabiashara kununua kwaajili ya daily uses, so, ni requaments zipi...
Habarini Wana JF,,
Kama kichwa kunavyosem natak niwekeze io sekta nitafute vijana wapige kazi. je faida yake ipoje na changamoto zake. nahitaj ushaur kwa wenye kuijua hii biashara.
@everyone
Siku ya Leo, kuna taarifa njema zilitoka kwenye economic data ya China , ikiwemo Gross Domestic product na pia Industrial Productions.
Baada ya news hizo kutoka usiku ambapo watu wa East Africa...
Habari JF
Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyoonesha. Jamani ndugu zangu mimi nimekuja kwenu kwa ajili ya kutafuta kazi, nina Diploma ya Rural Development planning, lakini pia nina short...
Hapa mbagala Rangitatu kwenye daraja la mwendokasi la wavuka kwa miguu kwanza daraja hili lina vitu viwili Designing nzuri, limejengwa kwa myindo wa ku-extend kwa upana pande zote mbili pili...
Habari zenu.Naanza mwaka 2018 ndiyo ulikuwa ni mwaka wangu wa kwanza kumjua mfanyabiashara au mjasiriamali ambaye anaitwa Paulo Mashauri.
Ilikuwa katika kituo cha redio cha Times FM...
Kutokana na kuwa na wimbi la kila organisation kuweka system zao ONLINE. Je kwa uhitaji huu wa mambo ya online mfano kuhakiki vyeti,passport,vyeti,leseni,police fine, na mambo mengi tu...
Habari za muda huu wana JF.
Mimi ni mjasiriamali wa muda kidogo. Nimekuwa nikifuatilia sana upatikanaji wa mashine ya kutengeneza toilet tishue kwa hapa kwetu Tanzania bila mafanikio yeyote...
Habari wana forum,
Naitwa Lucy ni mtaalam wa mambo ya salon, shughuli zangu huwa nafanyia mtaani nafwata wateja au wao wananifwata kwa huduma ya ususi
Leo niko hapa kutafuta mtu ambaye atakuwa...
Caustic Soda kilo 3, Mafuta ya mawese lita 20, Sodium Silket, Maji lita 10, Rangi ya bluu 100gram.
Jinsi ya kutengeneza hatua kwa hatua
1)-Chukuwa caustic soda changanya na maji na uanze...
When you want to do or achieve something or you want to be somewhere, then two things will help you to. One thing will help you to start and the other will help you to keep going even if you do...
Wadau naombeni nisiwe na mambo mengi naombeni kujua yeyote aliyewahi agizia mzigo Alibaba ulimfikia vipi na ofisi za agent zao hapa Dar zipo wapi?
Mimi nina experience na Kikuu nimeagiza sana na...
Binafsi Ni mkristo mkatoliki na Niko kwny biashara Zaid ya miaka 18 sasa
Ila kiukweli jamii ya waislamu hasa wa Zanzibar, somali au bara wale wazee wa swala 5 Ni waaminifu sijapata kuona.
1...
Habari wakuu!
Kama tittle hapo juu inavyojieleza. Mimi ni mdau mwenye uzoefu wa mambo ya kuhost wageni (wazungu) na ninayemini katika kujiajiri.
Natafuta mtu wakushirikiana naye kuanzisha...
MAKAMBA AYATAKA MAKAMPUNI YA BIMA NCHINI KUTUMIA FURSA KATIKA SEKTA YA NISHATI
Makampuni ya Bima nchini, yametakiwa kuhakikisha kwamba yanazitumia fursa zilizopo katika Sekta ya Nishati...
Ndugu zangu nimekuwa na nia ya kutumia fursa iliyotangazwa na WIZARA YA NISHATI ya ujenzi wa vituo vya mafuta vijijini vya gharama nafuu kupitia EWURA nimeona natakiwa kupata KIBALI kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.