"Kuwa mtumishi wa serikali unatoboa maisha, sasa sielewi wewe unakwama wapi"
Haya ni maneno niliyokua nikisikia kipindi cha awali but unfortunately ukweli wake umekuwa mdogo kama Mbegu ya Bamia...
Katika ulimwengu wa kidijitali unaobadilika kwa kasi, sekta ya benki ya Marekani inakabiliwa na wakati mgumu, ikifikiria kuanzisha dola ya kidijitali. Mradi wa Dola ya Kidijitali, mpango unaolenga...
Asasi za Kiraia (AZAKI) katika nchi nyingi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania, zinategemea ufadhili wa ndani na nje ili kutekeleza miradi na mipango. Vipaumbele vya wafadhili vimekuwa vikibadilika...
Hi, natakununua pikipiki za miguu mitatu,ila na Hela nusu na nilisikia Kuna kampuni zipo kariakoo unalipa nusu and then unapatiwa pikipk and then nyingine unalipa kidogodogo,ukimaliza kulipa...
Habari, mimi ni kijana ninaye jihusisha na kuunda software mbalimbali ikiwemo za simu(mobile apps) na webstite.
Katika kazi zangu zilizopita, nilipata fursa ya kufanya kazi katika kampuni ya...
"Nataka tuwekane sawa maana tayari watu wameanza kupotosha na kazi ya Serikali ni kuelimisha wananchi, mjadala wa bandari umekuwa ni mkubwa sana kuliko Mijadala mingine yote na hii ni kwasababu...
"Katika Mkoa wa Tanga tumebarikiwa kuwa na Bandari ambayo ilianza kufanya kazi tangu miaka ya 1880 enzi za Utawala wa Mkoloni (Ujerumani) ikijulikana kama Marines Gent. Mwaka 1914 wakajenga geti...
Ili niweze kuwekeza nje ya nchi yangu jama inatakiwa nizingatie nini haswa nje na mtaji wangu?
Na Sheria zinapoje katika uwekezaji wa nje ya nchi yangu?
VANILLA Ni zao namba moja kwa kuzaa sana na kuuzwa Bei kubwa kuliko mazao mengine, kilo moja ya vanilla kavu inauzwa shilingi 1,500,000 hadi 2,000,000. Kilo moja ya vanilla mbichi Ni sh 220,000...
Wakuu, Kheri ya mwaka mpya 2023.
Mwaka umeanza na nimepata wazo la kufanyiankazi kama biashara.
Kuna vijana wengi wana briefcase companies, hawana uwezo wa kupanga ofisi maana hata hivyo hawana...
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe (Mb) akikabidhiwa maua ya pongezi na watumishi wa Wizara hiyo alipowasili katika Ofisi za Wizara, Mtumba Dodoma, Julai 18, 2023 , baada ya...
Habari zenu,
Kuna hili suala nataka tujadili. Kuna hii hali ya wateja wanaokuja kwako mara kwa mara kununua bidhaa lakini kila wakija lazima waulizie bei.
Je, hii ni sahihi?
Habari wana JF,
Nimeanza kujifunza kuhusu soko la hisa na wakati nasoma ripoti ya DSE kuna maneno nimeyaona ambayo sijaelewa maana yake hivyo ningependa kupata ufafanuzi kwa anayeyafahamu.
1...
Wakuu, nipo hapa kupata mawazo kuhusu hii biashara kwa watu ambao washawahi kuifanya au ambao wanaijua vizuri.
Kuna dogo yupo yupo tu hapa nyumbani kwaio nataka nimpe kazi kwa kufungua hili duka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.