Habari Wana jamii naombeni ushauri Mimi ni mjasiriamali na Nina akaunti Benki tofauti tofauti kama CRDB , NMB na NBC lakini nahitaji kuchagua Benki Moja kati ya hizo kuhifadhi pesa nyingi yaani...
Motivations for donors vary as widely as there are donors. As you begin to develop your appeals, you’ll want to understand why donors give so you can craft an appeal that speaks to the primary...
WANANCHI WA LUDEWA KULIPWA FIDIA KUPISHA MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia watanzania kuanza kwa utekelezaji wa...
Habari wakuu, naombeni msaada na ushauri juu ya biashara ya kusafirisha makaa ya mawe.
Nataka kununua gari ili nianze usafirishaji wa makaa ya mawe.
Natanguliza shukrani kwa wote watakao...
Jamani Mimi ninako ishi nimeona biashara nyingi lakini nikafuatilia biashara ya kujumlisha vinywaji nikaona inafaida pia shida Ni mtaji tu kwaiyo yeyote mwenye mtaji ambaye amekosa biashara ya...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu, nipo Dar es Salaam mitaa ya Magomeni, nmekaribia kumaliza chuo.
Hapa nilipo ninak kiasi cha shilingi Laki sita na nusu na PC. Naomba ushauri nifanye mishe au...
Habari wakuu, mimi ni mtumishi wa Umma ambapo nina fursa za kukopa benki mkopo wa muda mrefu na mfupi na siku hizi benki nyingi zimeongeza muda wa mkopo hadi miaka 8.
Nilikuwa naomba mawazo yenu...
Umu kuna wajuzi na wadau wa mambo mbalimbali naona mtaweza saidia katika hili. Shilingi milioni 5 ya kitanzania mtu anaweza akafanya biashara gani ya kumuingizia kipato kizuri. Msada wenu wakuu.
Habari zenu wakuu naombeni msaada wa kujua betri za kampuni gani za solar ambazo ni heavy duty, betri nayotaka
Iwe kuanzia N100 sola ninazo watu 600W
Nahitaji kujua bei yake pia
Habar,
Moja.....natarajia kufungua enterprise ya kutoa mikopo, naomb kupata ufafanuz wa Kodi mbali mbali ambazo nitazilipa and naomb kujua Kam Kuna mtu anajua kikokoto kizur Cha Cha riba...
MBUNGE CONDENSTER SICHALWE AWAASA WANANCHI KUUZA MAZAO YA CHAKULA KWA UTARATIBU, NJAA BADO IPO
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe leo tarehe 22 Julai...
Habari ya muda huu GreatThinkers
Hili ni shamba la dhahabu lenye zaidi ya heka 35.
Mwenye eneo ameshapata nyaraka zote zinazotakiwa toka wizara husika na upande wa geologist report - anayo...
Naomba kujua changamoto hasa ni nini maana mimi ni wakala wa wa Airtel Money ila sasa kuna baadhi ya wateja namba zao ukiwa unaziwekea hela yaani umeweka namba ya mteja na kiasi ukishakubali tu...
Mimi ni mfanyabiashara wa biashara flani ambayo sitamani kuisema kwa kila mtu aijue kwani inabeba 90% ya identity yangu hapa JF nikiisema tu kila mtu atajua mimi ni nani.
Kwasasa sina pesa hiyo...
Hello JF members,
Mimi ni mwalimu na nina familia tayari hivyo kama mtu anataka kujipanua kibiashara huku mkoani nipo tayari kushirikiana naye Ili niwe msimamizi wake huku maana wife yupo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.