Nimefanya huduma ya uwakala wa CRDB kwa takribani miezi 8 sasa na hizi ndio kero zangu;
Kero nyingi ziko based na ubovu wa mtandao/Customer Care
Sijajua kama tatizo ni hizi machine mpya...
Mtazamo ni picha/tafsiri tunazojenga katika fikra zetu kuhusiana na watu, vitu, mawazo, vitendo n.k. Mtazamo ni kipengele muhimu sana katika mchakato wa kutafuta ufadhili, na kila mhusika katika...
Wadau Habari Za Muda Huu. Natumaini Nyote Wazima Wa Afya. Nahitaji Ushauri Nilikuwa Nina Wazo La Kufanya Biashara Ya Kukopesha Watu Fedha Kwa Kwa Riba Ya 20% Kwa Wafanyakazi tu na Sio...
Wadau karibuni tupeane fursa mbalimbali mtaani na hata kwenye mitandao ili tuweze kusogeza siku na kupeleka mkono kinywani. Binafsi nina fursa mbili ambazo huwa nazifanya napata angalau kamshiko...
Habari,
Mimi ni mfanyabiashara , nina duka la rejareja( fremu) na store, nipo mabibo Dar
Nahitaji kununua Mchele na maharage kutoka mbeya, au tunaweza kufanya makubaliano ya kukuuzia maharage...
Kujiajiri bila mtaji inawezekana, lakini mara nyingi inahitaji kujitolea, ubunifu, na bidii ili kufanikiwa.
Kutumia Ujuzi wako: Tumia ujuzi na uzoefu ulionao kufanya kazi au kutoa huduma kama...
Wadau wenzangu ninatatizo limekuta mwenye uelewa naomba anisadie nina duka lipo mjini mwanza linafanya biashara ya rejareja, Juzi nimepigiwa simu TRA mwanza kwamba ninadaiwa kodi nikaombwa...
Wazoefu tufahamishane yafuatayo kuhusu biashara ya asali mbichi:
Ipi njia ya kuifahamu asali nzuri?
Upatikanaji wa asali, wapi inapatikana nzuri na kwa wingi? Bei ya kununua kwa mzalishaji sh...
MBUNGE NDAISABA RUHORO - UZENI KAHAWA KWA BEI ILIYOPO ILI KUEPUKA HASARA
Wakulima wa kahawa Wilaya ya Ngara mkoani Kagera wamemtwisha Mbunge wao zigo la kuwasaidia kutatua tatizo la kuporomoka...
Ninataka kufungua Driving school maeneo ya Boko, Dar es Salaam nina nyumba ambayo nitaifanya ofisi na baadhi ya vyumba nitavitumia kama madarasa kwa ajili ya wanafunzi.
Vitu nilivyonavyo:
1...
Wana JF naomba kufahamishwa taratibu za kufuata kuanzisha shule ya kufundisha madereva(Driving School) hapa nchi. Kama ifuatavyo.
1. Ni mamlaka gani inatoa usajiri
2. Idadi ya chini ya magari...
Natumaini hamjambo, na wengne mnajitahidi allah atufanyie wepesi katika afya na maeneo yetu ya ridhiki.
Kimsingi nataka kujarbu kufanya biashara ya bodaboda, nimejarbu kufanya tafiti ndogo...
WAZIRI JENISTA MHAGAMA ASEMA SERIKALI KUJENGA MASOKO MATANO YA MAZAO HALMASHAURI YA SONGEA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho awaomba...
Habari wanajamii wenzangu.
Je, ukipata hela ni wazo lipi bora kulifanya kati ya mawazo yafuatayo?
1. Kununua kiwanja au viwanja kwaajili ya uwekezaji wa baadaye.
2. Kufanya biashara ya mazao...
Inahitajika kifaa cha kutunza pesa na nyaraka zikiwa sehemu salama (Safe).
Naomba kufahamu:
1. Kinachofaa (kilicho bora) kina sifa zipi?
2. Bei yako ikoje?
3. Kinapatikana wapi?
Ikiwezekana...
Kama heading inavyojieleza, Tangu nipate TIN Number, Haijawahi kutumika kwa biashara isipokuwa tu ilitumika kipindi nahitaji leseni ya udereva,
Je TIN hiyo naweza kuitumia kufungulia biashara...
Nimefungua biashara mpya na nimetengeneza ajira kwa mtaaalmu mmoja lakini katika mwezi wa kwanza ananiibia kama tuna hisa naye. Tufanyeje wajasiriamali?
Wakuu kwema?
Poleni na majukumu leo Mimi nilienda Kariakoo japo mimi ni mgeni hapa dar nazunguka hivyo hivyo kwa kuulizia.
Nilikuwa naomba ushauri nilikuwa Nina wazo la kuuza mayai ya chemsha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.