Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Salamu ndugu wa Jukwaa. Nimepata wazo la kufanya biashara ya kununua vitu vya ki electronics ikiwemo SIMU, TV, FLASH, CHAJI, PROTECTOR ZA SIMU kwa bei ya jumla kutoka nchi tofauti (kampuni) yaani...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Ni hivi nimepata kazi yakumtangazia mtu kazi yake so nikaanza mwanzo niliuza bidhaa mbili . Ila sasa hivi hata moja siuzi wateja waliokubali kufanya na mimi wanadai bidhaa nzuri ila kukubali na...
9 Reactions
88 Replies
3K Views
Mambo vipi wana jf habari zenu mko poa nyote, natumaini hamjambo? Sasa twende kwenye jambo langu? Nipo nimewaza sehemu nilipo mkoani hapa nimewaza biashara ambayo nimeona kwa hapa kama itanifaa...
2 Reactions
7 Replies
814 Views
Manispaa ya Songea inashindwa kutoa leseni za biashara kwa wakati, kumekuwa na tatizo hilo yapata mwezi sasa wafanyabiashara wanalalamikia Ofisi ya Afisa Biashara Manispaa ya Songea kushindwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kumetokea Kasumba ya Watengeneza Sera kuwa Wauza Sura na Wapiga Brah Brah; Kama vile walivyo wapiga ramli wanatafuta mchawi kwa kuwaambia wadau makosa ni yao kwa kutokufanikiwa... Wanasema kila...
1 Reactions
4 Replies
731 Views
Nahitaji Kasha/sanduku la kutunzia pesa na nyaraka ofisini )Office safe) iliyo imara na yenye bei nzuri. Nipo Ngara Kagera.
1 Reactions
4 Replies
931 Views
Hello natumai wote ni wazima kabisa na wa afya iliyo bora kabisa, Jamani mimi nataka nijue haswa biashara ya madini ya dhahabu ni shilingi ngapi kwa gram1? Na je ukiwa na 3million unaweza kuianza.
1 Reactions
77 Replies
20K Views
Kwema wakuu? Naomba kuuliza; Je, ninaweza kufungua akaunti ya CRDB kwa kutumia cheti cha kuzaliwa bila namba ya NIDA?
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndugu zangu habari za leo? Bila shaka nyote mko salama, wale walio na magonjwa au shida mbalibali mwenye enzi Mungu awafanyie wepesi. Ndugu zangu ninaomba kufahamu kuhusu ushuru wa boat ya uvuvi...
3 Reactions
3 Replies
380 Views
Mtaalamu wa kushauri muundo mpya wa kampuni na namna ya kuendesha kampuni kisasa. Njoo na quotation yako 0755789225
1 Reactions
2 Replies
565 Views
Kuna dogo mmoja yupo Hapo sinza kwa remmy dukani kwake Kuna t-shirt kama 12 Lakini analipa Kodi laki 3 kwa mwezi, kiukweli mjini ingia na yanayokuhusu yasiyokuhusu achana nayo. Hapa frame ni...
9 Reactions
145 Replies
17K Views
Nina mtaji wa laki 8, inatosha kufungua biashara ya duka na nikapata kukidhi mahitaji yangu na maendeleo kwa ujumla? Naombeni Ushauri Wana jf kwenye suala hili
0 Reactions
52 Replies
15K Views
Jamani nilifungua kampuni kwa shughuli za uvuvi na shughuli nyingine lakini lengo ilikuwa kufanya shghuli za uvuvi na uuzaji wa bidhaa zitakanzo na uvuvi, lakini mwezeshaji alizingua. Ushauri...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - SERIKALI HAIKO TAYARI KUKWAMISHA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUFIKIA MALENGO YAO Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema Serikali inatekeleza...
0 Reactions
0 Replies
477 Views
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) atembelea Kiwanda cha Magodoro cha TANFOAM kilichopo Jijini Arusha kujionea shughuli za uzalishaji magodoro na kisikiliza changamoto...
1 Reactions
0 Replies
291 Views
Wakuu habari, Nimelima viazi na kufanikiwa kupata milioni 10. Nafikiria kuanzisha biashara hivyo naomba ushauri wenu, upande wa kilimo soko halitabiriki ndio maana nawaza kufanya jambo lingine...
0 Reactions
7 Replies
586 Views
Habari wakuu naomba kujuzwa kati ya hawa jamaa wanaojiita Tamfoam Arusha na Dodoma Asili ni godoro gani lenye ubora na uimara zaid?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba kujua vigezo pamoja na mahitaji mengine.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeingia Dar juzi nimepata chumba Mbezi karibu na Stendi ya Magufuli katika harakati za kusaka tonge leo nimechanganya kwenye nikawa nauza maji hapa Mbezi stand ya daladala mgambo wakanikamata...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
LIST OF LARGEST BANKS The following are lists of the largest banks in the world, as measured by total assests By total assets Industrial and Commercial Bank of China China Construction Bank...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom