Dar es Salam ni jiji ambalo biashara nyingi ni za kubangaiza tu kwa mtu mwenye mtaji chini ya million 5, maana gharama ya frame, stoo ni kubwa sana.
Mfano ukifungua duka la accecories za simu...
(1) Biashara ya kuunza Magazeti
Hii ni biashara ambayo imewatoa watu wengi sana kama akina ERICK SHIGONGO mf. gazeti lake la ijumaa,Sun etc. But now days watu weng wanapata habari kupitia kwenye...
Bila shaka kila Mtu ameshawahi kununua kitu alafu baadae akajihisi kama anajutia kukinunua Aidha Kwa sababu hakina umuhimu au kimemuingiza gharama zisizo za msingi.Hapa mara nyingi vitu kama...
Wakuu kichwa cha habari hapo juu kimezingatiwa
Kumekuwa na shida kubwa katika malipo ya parking katika jiji la Dar es salaam.
Nilifuatwa na watu wa parking juzi tarehe 28 August 2023 katika...
Many non-profits, particularly smaller charities and start-ups, operate without a fundraising plan. When someone has an idea for an event or a campaign, these organizations simply put together a...
Wasalaam Waungwana,
Naomba kupata msaada wa jinsi ya kupata control number mpya kwaajili ya kulipia leseni ya biashara, baada ya control number ya awali kuisha muda wa matumizi kutokana na tatizo...
Hapa majuzi gazeti la Mwananchi liliripoti juu ya safari za anga kusishwa na shirika la ndege la Air Tanzania! nilileta uzi humu kuonesha jinsi Gazeti la Mwananchi limekuwa likichapisha habari za...
Tanzania Breweries Limited the largest alcohol manufacturing company in Tanzania and a subsidiary of AB InBev global, has voluntarily incorporated consumer-guidance labels across all its portfolio...
Anaandika Kenge,
Nimeshaandika nyuzi kadhaa nikielezea na kuwasogezea michongo mbalimbali inayopatikana nchi jirani. Sasa naendelea kuwaletea hapa ndugu zangu wanajamvi hasa sisi vijana ambao...
Leo nimeguswa niandike kidogo kuhusu vipimo
Kuna baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wanapunja watu kwa maksudi kabisa wakiwemo masikini kupitia vipimo mbali mbali kwa;
Kuharibu mizani au yale...
Habari za jioni guys
Now days kila mtu anataka kufanya biashara kutokana na mabadiliko ya mfumo wa maisha kuna baadhi ya watu wameaza kusemea tangu mwaka 2009 up to day hawajafanya wengine pesa...
Hellow members, kama kichwa cha uzi kinavosema.
Je, ni huduma gani inayotolewa kibaishara na kampuni au taasisi flani ndani ya jiji la Dar es salaam ungetamani iboreshwe?
Taja jina la huduma...
Wakuu Habari,
Kama heading inavyosema, nahitaji watu wa kushirikiana nao katika utekelezaji biashara ya madini aina ya dhahabu.
Biashara hii nimeifanyia utafiti wa masoko hasa Dar es Salaam na...
Habari, Naamini Kupitia uzi huu watu wengi Sana tutakwenda kunufaika Kupitia majibu yatakayotolewa katika swali langu:
Naamini kwa wakaazi wengi wa Arusha -Moshi, Zanzibar watakuwa ni shahidi wa...
Kama nilivoandika hapo juu anayeajua ratiba za hii MINADA inayokuwepo ndani ya hii MIKOA naomba anisaidie na maeneo inayo patikana na siku gan ndan ya wiki.
Hasa Dodoma
🙏🙏🙏🙏
Kwa yeyote mwenye connection na Soko linalo jengwa nyuma ya bus station ya kuelekea Kitunda (maeneo ya ukonga banana), tafadhari anisaidie mawasiliano na wahusika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.