Huwa watu wengi wakitaka kuanza mradi uwe wa hoteli au Kilimo au Ufugaji basi wataanza Ziara za kutembelea watu walio fanimiwa.
Mtu atatembelea migahawa inayo jaza watu ili apate Busta au pate...
Wakuu za weekend? Kwa masikitiko makubwa tumeamka kwa kupokea taarifa za msiba wa Michael Shirima, founder wa Precision Air. Ikani sukuma kutaka kupata kitabu chake alicho andika wakati wa uhai...
Je mkataba unaojadiliwa Bungeni kuhusu bandari zetu ni huo huo uliopo mitandaoni au mwingine? Je ni kosa kwa wananchi kujadili mkataba huu? Je wabunge wamejikita kiasi gani kwenye mada iliyopo...
Niaj wadau,
Najua saivi life liko mbaya sana pesa zimekuwa adimu michongo imekuwa adimu sana kuna wazo nilipata juzi nilipewa na rafiki angu ambae yupo Lindi akanipa mchongo wa kwenda lindi...
Wakuu habari poleni na majukumu!
Twende moja Kwa moja kwenye Mada tajwa hapo juu. Je, siku yako ya Kwanza kwenye biashara ilikuaje? Changamoto gani ulipitia?
Kwa upande wangu jana ilikua siku...
Jaman habarini
Kwa wazoefu wa bajaji naomba kujua jambo hili...
Nimejikusanya pesa kama million tano nahitaji kununua bajaji TVS King used.
Je, nikiwa dereva mwenyewe, itaweza kunipa faida hata...
Kwa wale wanaopiga mishe na awamu hii watakuwa mashuhuda mfumo wa malipo zikienda huko hazirudi huku hii ni mara 3 au zaid
Shida nini?
Lakini tumeona hata kwa wafanya kazi mwezi uliopita mambo...
Nimekua nasoma baadhi ya comments na kusikiliza mawazo ya watu mbali mbali hasa wateja wanaonunua bidhaa mbalimbali kwamba vitu vya China ni FEKI
Napenda kasema ya kwamba kwa China unachoomba...
Hapo zamani wafanyabiashara wengi wakifika kariakoo kujumua / kufunga mizigo kwajili ya kwenda kuuza mikoani ama nchi zilizotuzunguka walifikia maduka makubwa ya wachaga na wapemba ukiachana na...
Habarini wakuu, kama uzi unavyojieleza naomba kujua utaratibu wa kuhamisha Tin number ya biashara kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, natanguliza shukrani
Habari ya asubuhi,
Nataka kupata uzoefu wa biashara ya. Nazi kuna jamaa yangu alinambia kule Kilwa nazi bei yake ni Tsh. 650-700.
Natamani nifanye biashara hiyo nikachukue kwa bei ya jumla...
Mnamo mwaka jana 2022, Serikali ilitangaza maboresho ya mfumo wake wa manunuzi.
Je, tayari wameshatangaza mfumo mpya utakuwaje na utaitwaje na kupatikana vipi?
Naomba msaada.
Habari zenu wakuu poleni na majukumu na ugumu wa maisha wa mitano tena,
Kuna biashara ya mitubwi ya uvuvi nafanya yapata mwezi mmoja sasa nina mitumbwi 10 yenye thamani ya TSH 1.5M yote na nahisi...
Nina mzigo kutoka Lusaka kwenda Dar. Natafuta gari ya kuusafirisha kama Loose Cargo.
Uzito: Tani 2.5
Ujazo: Kama nusu ya Ujazo wa Canter
Aina ya mali: Bomba za mpira za 1/2" zilizoviringishwa...
MBUNGE NORAH MZERU ASISITIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA USALAMA MAHALI PA KAZI KIWANDA CHA NGUO CHA MAZAVA MOROGORO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru mnamo tarehe 05...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.