Mimi kijana naitaji kufungua workshop ya welding kwa ajili ya kuchomea na kutengeneza vitu vya chuma
NAOMBENI kujua Bei za machine na changamoto ya hii biashara
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WANA JF
Wana JF wataalamu wa biashara na wale walioshawahi kuifanya biashara ya mashine ya kusaga naomba mnijuze inalipa?au itakua ni kupaka hewa rangi? Na...
Wakuu, habari ya Jumapili. Hope wote mpo vizuri. Kwa wale wenye changamoto za hapa na pale, poleni, Mungu awe pamoja nanyi katika kipindi hiki.
Kama ada, imekuwa ni utamaduni wa ku-share kile...
Wakuu najiuliza zile chupa za jamii ya Altar wines, Dompo n.k hakuna mahali au viwanda vinavyotengeneza havizihitaji tena kufungashia kama wanavofanya viwanda vya soda!??? [emoji15]
Zimejaa mtaani...
Habar wakuu wachina wa SGR weonyesha Nia yakufanya kazi na mim yakusupply then malipo utaratibu wao nibaada ya mwezi yaani unasupply Leo tar1 June tar 30 June Kisha malipo Yako yataanza kufanyiwa...
Huu MKOA unafaa kwa mambo ya biashara na kuishi watu wa huku siyo legelege kama watu wa dar na mikoa mingine.
kauli mbiu ya GEITA ni "KARIBU GEITA na UTEMBEE KWA UKAKAMAVU".
Orodha ya nchi zilizo na hifadhi ya mafuta iliyothibitishwa
Akiba ya mafuta iliyothibitishwa ni zile kiasi cha mafuta ya petroli ambayo, kwa uchanganuzi wa data ya kijiolojia na uhandisi, inaweza...
Waziri wa Uchukuzi na Usafirishaji wa Serikali ya Zambia Mhe. Frank Tayali ameipongeza Serikali ya Tanzania na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania-TPA kwa maboresho makubwa ya kimiundombinu...
Kwa wale wenye biashara za maduka madogo na kati, sasa unaweka kutunza kumbukumbu za mauzo na bidhaa za duka lako kirahisi.
"Stock manager & Sales register" ni application ambayo ni ya bure...
Nina kampuni yangu(Co ownership) ambayo officially imesajiliwa BRELA, kwakuwa kampuni bado changa nami pia bado ni underdog ktk mifumo ya uendeshaji wa kampuni na namna bora ya kufuata ili kupata...
Hello Members
WHAT IS A BUSINESS IDEA?
A business idea is a concept that can be used to make money. Usually it centers on a product or service that can be offered for money. An idea is the...
Watumiaji wa bangi nchini Tanzania wameibuka na mbinu mpya ya kuchanganya kilevi hicho na vyakula mbalimbali kama vile majani ya chai, keki, biskuti, juisi pamoja na asali.
Kutokana na hilo...
Kama kichwa kinavyosema waku nilijisajili online TIN NAMBA ila siku ipakuwa ssa nimesahau namba zake na ninataka kuanza kuitumia ila nimesahu msaada wenu wakuuu maaana niko nje sana kwenda hadi...
Wana jf naomba muongozo na ushauri wa kuanzisha biashara ya vitabu, vitabu hivi ni vile vya masomo
vinavyotumiwa na vyuo vikuu na taasisi nyingine za elimu ya juu, naomba ushauri kwenye:
Mtaji...
Afisa Mkuu wa Kampuni ya Tigo Kitengo cha TIGOPESA Angelica Pesha (wapilikulia), akishikana mikono na Meneja wa kampuni ya Uber ukanda wa afrika mashariki Imran Mnji wakati wa hafla ya kutangaza...
Habari wana JF,
Jumapili yenye mushkeli, kumpoteza bwana wille aka lemutuz, ni pigo kwa watanzania wanaomfahamu na waliopenda vitimbwi vyake mitandaoni. R.I.P.
Turudi kwenye mada. Je! dola...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.