Habari naomba mtu anaejua jinsi ya kulipia matangazo instagram ili kuwafikia wateja au wahitaji wa huduma ninazotoa naomba anielekeze vizuri maana sina utaalamu mkubwa kihivo.
Mwaka jana...
Habari wataalamu wa biashara!
Nina wazo la kuanzisha biashara ya vifaa vya umeme pamoja na vyombo vya umeme. Naomba Kwa mtu mwenye uzoefu anipe mwongozo Kwa upande wa faida na changamoto za hii...
Habari, I hope u mzima wa afya unavyopitia thread hii. na kama hauko poa, i pray urudi katika afya yako mapema.
To cut the story short, Leo nitaelezea jinsi ya kutangaza biashara yako kwa...
Wakuu heshima yenu
Kuna mahali nimejishikiza, nimeweka 5M, kwa mwezi baada ya cost zote napata laki 6,
Muda wa kazi ni saa 2 asubuhi hadi saa 4 usiku
Naona hii faida kama ndogo sana,
Vipi wakuu...
Ukisikia kufungua Nchi ndio huku Sasa na Kwa haya yanayotokea Rais Samia Anastahili Tuzo ya Uchumi.. Dr. Samia ni akili. kubwa wengine wamekaririshwa Makaratasi 😁😁.
Benki ya CRDB imesema itatoa...
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema Serikali itaendelea kuvijengea uwezo viwanda vya ndani vinavyozalisha saruji kabla bidhaa hiyo haijaruhusiwa kuwa kati...
Habari za muda huu wananzengo,naomba kufahamishwa biashara ya Chapchap ambayo naweza kuweka pesa chap nikanunua mzigo na kuuza nibaki na faida.mtaji milioni 4.Nakusudia biashara zile za ulanguzi...
Habari ya muda huu wana jukwaa natumai mmeamka salama, sina mengi ya kuandika, ni kama kichwa cha habari kinavyosomeka.
Naombeni ushauri wakuu nina malengo ya kufungua duka la dawa Dar es salam...
Ndugu zangu tunakumbuka kuwa Branch na Tala walikua wakichuana sana na kutupa mikopo ya papo kwa hapo kupitia simu yako ya mkononi. Wapo watu wengi walionufaika sana mikopo hiyo kwa namna tofauti...
Wadau habari ya wakati huu, naomba kufahamu namna ya kupata TIL ya uwakala wa Tigo, voda, Airtel na Halotel lakini kwa jina la kampuni yangu...
Pia nataka kujua commissions za wakala Kama wakala...
Viwango vya ubadilishaji wa fedha za kigeni vina jukumu muhimu katika uchumi wa dunia, na kuathiri biashara na uwekezaji kati ya mataifa.
Kiwango cha ubadilishaji kati ya sarafu mbili huonyesha...
Habari zenu,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu kama kuna mtu mwenye ujuzi namna ya kuingiza pesa basi nahitaji kujua angalau nielewe hii kitu maana nimekuwa nikisikia sijui online...
Wakuu nahitaji mnisaidie experience hasa kwenye biashara ya kuuza mayai ya kuchemsha, nina wazo la biashara hii lakini sijajua changamoto zake na faida zake kiufupi naomba mnipe madini kuhusiana...
Naona mmejitahidi Sana kukwepesha kwepesha UKWERI......
Naomba niwaambie watanzania Wengi hawaoni hayo majengo au Ile halaiki kichwani mwao wakisikia uzinduzi wa ikulu Dodoma.......
Hii ndo...
Habari zenu Wakuu nataka kuanzisha biashara ila sina elimu yoyote kuhusiana na namna ya ulipaji wa kodi ya mapato. Kwa wenye uelewa naomba kuelimishwa kuhusiana na ulipaji wa kodi ya mapato...
Habari!
Mimi ni kijana graduate wa Computer science and technology. Nimespecilize kwenye masuala ya programming hususani Full stack development (Website & App) Na Sasa nafanya Blockchain na data...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.