Habari za wakati huu wanaJF hususani hili jukwaa la biashara na uchumi.
Mimi naitwa Egtone Emily (25yrs) mhitimu wa chuo kikuu cha Dodoma (shahada ya sheria).
Nahitaji kuanzisha biashara ya...
Habari ya Wakati huu..
Kiwanda Cha kutengeneza Kalamu za wino (Pen) hapa Tanzania.
Naomba kufahamishwa wapi kilipo Kiwanda Cha kutengeneza Kalamu za wiko/peni hapa Tanzania.
Nataka kuanza...
Je, unatatizika kuungana na watazamaji wako na kujenga chapa yako?
Je, unataka kujitokeza katika soko lenye watu wengi na kuwahamasisha watu kununua kutoka kwako?
Usiangalie zaidi ya uwezo wa...
Nimehudhuria mihadhara mingi sana ya Biashara na Ujasiriamali kwa miaka 3 sasa.
Na katika mihadhara hii nimekutana na speakers wazuri lakini wanastories mbaya.
Baadhi yao wanastories nzuri...
Habari JF
Mimi kama mwanafunzi wa chuo kikuu, leo hii nimeamua kuwasaidia wanafunzi wenzangu kwa kuwapa mpango mzuri wa biashara.
Usishangae sana, uzuri? Wa mpango huu wa biashara unaweza kuanza...
MHE. KIKWETE AELEKEZA WARATIBU WA TASAF KATIKA HALMASHAURI KUPATIWA ELIMU YA KUWAHUDUMIA WALENGWA KWA UPENDO.
Lengo la kuanzishwa kwa TASAF ni kuwawezesha watu wasiojiweza kabisa kiuchumi...
Wakuu habari zenu
Samahanini poleni na kazi naomba mnijulishe kuhusu soko la zao la karafuu
Soko lake la uhakika ni wapi na huwa wanatengenezea Nini in common
🙏🙏🙏🙏 karibuni
Kuna jamaa yangu mmoja kanipigia simu asubuhi ya leo akiwa Mwanza akinitaka nijiunge na hili shirika kwa ahadi ya kunufaika kiuchumi baada ya kushiriki mafunzo yao na kutoa kiingilio cha Tz shs...
Ukiangalia katika ubunifu na technologia bado tuko nyuma sana.
Kifupi tunamatatizo mengi kuliko majibu (ufumbuzi)
Parachichi tulikua tunalima miaka yote mi tangu mtoto!!!..lakini bado tumelala
Kwema!
Sitemi cheche nyingi wala, ukiachilia mbali vigezo vingine vya kufanya biashara kama bidhaa nzuri, customer care etc, ila uchawi nambari one ni LOCATION Pekee. (Physics inasema Location...
Habari za majukumu vijana wenzangu?
Nimekuwa na interest ya kufanya biashara ya spices katika masoko ya nje na sasa naona ni wakati Wa kuanza kuitendea kazi interest yangu, maana ni biashara...
Habari,
Kumekuwa na taarifa nyiiiiiingi kutoka serikalini kuwa wajasiriamali wanapata mikopo kutoka benki mbalimbali ikiwemo TADB, mimi nakataa taarifa hizi kwa 100%.
Nimeona wanaopata mikopo...
MHE. ZAYTUN SWAI AMUOMBA RAIS SAMIA MASHAMBA YAFUFULIWE ILI KUINUA UCHUMI WA ARUSHA
Mbunge wa Viti Maalum CCM - Arusha na Mjumbe wa Kamati ya Bajeti ya Kudumu ya Bunge Mhe. Zaytun Swai amemuomba...
Mambo mawili yanaua biashara mikoani na kukuz biashara Dar.
1. Mitandao ya kijamii.
2. Urahisishaji wa kusafirisha bidhaa.
1. Mitandao ya kijamii imerahisisha sana mawasiliano ya muuzaji na...
Nimewaza biashara ya kufanya nikapata wazo la kununua pool table mbili ambazo nitaziweka sehemu mbili tofauti. Mwenye kujua bei ya pull table nzuri na imara anijuze na pia mwenye kuijua biashara...
TANESCO YAPONGEZWA KWA KUZALISHA, KUSAFIRISHA NA KUSAMBAZA UMEME NCHINI.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imepongeza uongozi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kwa jitihada zake...
Habari, Mtanzania mwana JF,
Makadiro ya Kodi ni Kwa kila mlipa kodi.
Huwa yanafanyika muda wowote kuanzia tarehe 1,January hadi tarehe 31,March kila mwaka
Kwa Yeyote atakae chelewa kufanya...
Habari za muda huu Wana jamii forums,
Naomba kuuliza kuhusu biashara ya uuzaji wa nguo za watoto za mitumba kuwa inalipa? Na vipi kuhusu changamoto zake? Na je,hii biashara inaendeshwa vipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.