Asalaam Alaikum!
Binafsi nimeanza kusikiliza Podcasts mwaka 2020 baada ya Mr. Strive Masiyiwa (Bilionea mwenye asili ya Zimbabwe) kuweka mapendekezo ya vitu anavyoshauri wajasiriamali wafanye...
Habari wadau,
Nina madini ya rangi ya carrot (carrot stone) *na Sunstone nahitaji kujua soko lake linapatikana wapi na kwa kiwango gani. Nipo matale- Gilai
Check inbox
E-mail :eclicken@gmail.com...
Kwanza freelancing ni kufanya kazi za nje kupitia platform za kazi kama Upwork na fiver
Kitu cha kufanya tafuta digital skills (ujuzi)
Wowote ule ambao unaweza kujifunza kwa kutumia computer...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani (UTW) Mhe. Hawa Mchafu ameambatana na Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (Legal and Human Right Center - LHRC) Wakili Anna Henga; Mbunge Jimbo...
Kwanini uhangaike, We[emoji3578] write tumekuja na suluhu juu ya uandishi wa kibiashara na masomo pia
[emoji117]Tittle and Concept note Development
[emoji117] Research Proposal Writing
[emoji117]...
Jamani naombeni mniambie ukweli kwa wale wazoefu.
Hivi ni kweli huwezi kufanya biashara ya duka bila uchawi au biashara yeyote bila kuhusisha waganga wakienyeji?
Nimefanya kazi kwenye Microfinance kwa miaka kadhaa ya nyuma na moja ya kosa kubwa nimekua nikiliona kwa wafanyabiashara wadogo wadogo na wasio wafanya biashara wengi ni uelewa mdogo juu ya...
Habari za mahangaiko ya kila siku wana JamiiForums na wapenzi wa jukwaa la Biashara na Ujasiriamali.
Nimekuja kwenu kuomba ushauri na sitaki kuwachosha, naenda moja kwa moja kwenye mada...
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Maleko amesema uchumi wa mwanamke ukiinuliwa, familia itakuwa na amani na ukatili dhidi ya watoto utapungua na hivyo kuwataka wanawake...
Kwanza nianze kwa kueleza wazi kwamba mimi ni mdau katika mawanda haya ya Utengenezaji na usambazaji wa mifumo ya Computer na kwamba ninaamini kwamba kama watanzania tunapaswa kuwekeza sana katika...
Kwenye biashara kuna mambo mengi sana ambayo kabla hujafikiria kuanzisha biashara unatakiwa kuyafikiria ili isije tokea sababu yyte (ya kibinadamu) ikakuangusha chini ukafunga biashara yako.
Watu...
Habari wanandugu, mimi ni kijana ninamiliki shamba lenye ekari 25.
Nimeplan kulima kilimo cha umwagiliaji na nina tamani kusafirisha mazao yangu nje.
Hivyo nilikua naomba kama kuna mwenye ABC za...
Wakuu naomba tujuzane hapa.. kama kuna mtu anajua chochote.
Iwe ni bidhaa za sekta gani ambazo ukiingiza Tanzania kutoka Europe hazina utitiri wa kodi.
Nawasilisha
Habari wana Jamiiforums
Kwa mtu ambaye anafanya biashara ya kukopesha pesa kwa riba tunaomba atupe ikoje na hasara zake zikoje na jinsi ya kutatua izo changamoto.
Natanguliza shukrani.. Maana...
Kama umeajiliwa au umejiajiri fanya haya
Tunza asilimia kadhaa za mshahara wako. Cut off chai ya asubuh kwa mama ntilie. Jion wai nyumbani upike
Pesa hapo utaweza tunza then jifunze biashara...
Hello wakuu.
Naombeni msaada wenu please,
Nahitaji bank ambayo inatoa mkopo wa kununulia gari ya kufanyanyia Kazi, mwenye uzoefu wa hii issue naomba msaada wenu please gari yenyewe ndio hiyo. Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.