Hivi unawezaje kusomea kozi za biashara na kuwastudy wakina Robert kiyosaki au Elon musk wakati kuna matajiri waliofanikiwa katika ardhi yetu, wenye mbinu za kuweza kufanikiwa katika dunia ya...
Big supermarket name
Napenda kujenga big supermarket Iringa, nataka watu wakija kununua wanaingia ndani ya duka na kujipatia wanachotaka kwakuwa itakuwa big supermarket.
Nataka jina la hiyo...
Hodi humu
Natafuta patner wa kufanya nae biashra ya nafaka mwenye uzoefu na biashara hio.
Mtaji upo wa 100M.
Yeyote mwenye proposal nzur ya biashara ya nafaka aje dm au ashare apa.
Proposal...
Habari zenu wapendwa ,,
Naomba msaada wenu kwa walioko kilombero morogoro kuhusu biashara ya kununua mpunga na kukoboa Kisha kuuza na sio kuweka stock.
Ni mtaji Gani unafaa kuanzia ili kupata...
Habarini waku.
Kwa wajuzi naomba kuuliza hivi process na gharama za kupata license kwaajili ya real estate broke, agent au developer zikoje?
Nimepita kwenye website ya wizara ya ardhi lakini...
Habari za Leo
Mimi ni mjasiriamali kutokana na changamoto hii ya mgao wa umeme naomba kupata msaada wa kujua sehem ambayo naweza pata generator kwa Bajeti ya 200k
kwa ajili ya barber shop nipo DSM...
Naomba ushauri kutoka kwenu, jambo lipi linalipa kwa haraka na kwa mtaji mdogo nijenge vyumba vinne vya kulala kisha nipangishe au nijenge fremu nne kisha nipangishe kwa ajili ya biashara .Naomba...
Juzi katika pitapita zangu sokoni Kariakoo nimeshuhudia matukio yakushangaza yanayofanywa na hawa jamaa ambao tshirt zao mgongoni zimeandikwa KAWASCO.
Kwanza wanatembea kwenye kikundi cha watu...
Salaam wakuu,
Kadri unavyotembea ukakutana na changamoto ndivyo kichwa kinavyofikirishwa. Last week nilikuwa sehem flan nikafikwa na changamoto iliyonifanya niwaze kitu kilichonifanya nianze...
Wakuu,
Mwishoni mwa mwaka jana Mdogo wangu (Mwanafunzi wa chuo Kikuu Ardhi) alinitumia ujumbe Uliosomeka " Bruv! Nimepata platform ya kupiga pesa, Sure am telling you bruv am gonna be a great...
Mara nyingi ninapoenda ATM hukuta risiti watu wamesahau pale pakuchukulia risiti. Inasahaulika sana kwakuwa ndiyo ya mwisho.
Pengine kadi nazo zingekuwa za mwisho zingesahaulika sana na ndiyo...
Wakuu nahitaji ushauri na pia maoni kuhusu hili,
Naitwa Eliud Novat naishi Dar es Salaam. Nina ujuzi wa kutengeneza logo na napenda sana digital designing lakini tangu nijue nina huo utaalamu...
Habarini,
Nimepata kibanda (eneo la biashara) katika kongamano la Mwamposa litakaloanza siku ya Alhamisi - Jumamosi katika viwanja vya Kisongo Magereza.
Bidhaa gani zipo hot sana niweze kucheza...
Dawa ya kuondoa madoa kwenye nguo
MALIGHAFI
-Chloride acid(cassium hyperchlorite) robo kilo
-maji masafi lita10
-ndoo au pipa
-mwiko mrefu au mti mnene wa kukorogea
JINSI YA KUTENGENEZA
-andaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.