Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kwema ndugu,,,,leo naomba kuuliza n banks zipi ambazo zinatoa machine za uwakala kwa kuangalia mambo yafuatayo; 1. Gharama za kupata machine 2. Vigezo vya kupata machine mfano leseni ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakubwa nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Nmekuja hapa kuuliza kwenu juu ya hii kitu inayoitwa DELASKA AGENCY naona watu wanavuna pesa; je uhalisia upoje? Naona pia...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Salaam wakuu, niende kwenye tatizo langu. Kwenye harakati zangu zakujenga nchi, juzi tar23 may nikafanikiwa kulipwa na bosi wangu ujira unaotokana na jasho langu. Nilipanga kufanya matumizi...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
MKATABA MZURI HUWA NA HAYA: ( a ) Lazima uwe na majina ya wahusika ambayo yatakuwa yameandikwa kwa urefu na kwa kueleweka.Mfano jina liwe Paschal Mayenge Archard. Epuka kuandika vifupi mfano P.M...
8 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani mwenye uelewa juu ya hii KAZI ya kusajili lain,na maslah yake inakuaje. Naombeni mnisaidie.kwa kunipa ushauri, natamani nifanye hii KAZI, Mm ni mdogo enu nisaidieni Kwa ushauri na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ACCOUNTING CONCEPTS Hizi ni sheria ambazo hutumika katika kutengeneza ripoti za kiuhasibu na kutunza mahesabu ya kibiashara. Kila kitu kina imani yake, hizi concepts ni kama imani zinazoongoza...
7 Reactions
10 Replies
3K Views
Wasalaam, Naomba msaada kwa anayefahamu. Ninataka kununua gari kutoka kwa mfanyakazi wa Ubalozi hapa Tanzania. Gari limesajiliwa kwa namba za kibalozi T---CD---. naamini huwa magari haya...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Naomba kufahamishwa mbinu na hatua ninazoweza kukata ili kuanzisha Kituo cha Ushauri wa Biashara,ujasiriamali na mauzo (Business,entrepreneurship& Sales consultant)
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Watu wengi wamekuwa wakisikia nje ya mipaka ya Tanzania kuna soko kubwa la bidhaa mbali mbali zinazozalishwa nchini Tanzania lakini hawajui nini cha kufanya ili kupata wanunuzi walio nje ya...
19 Reactions
57 Replies
13K Views
Habari JF. Kama kuna mtu yeyote ana Degree, Master au hata PHD ya uchumi naomba tuwasiliane. Lakini pia kama mtu yeyote ana uelewa juu ya masuala mbalimbali ya uchumi naomba anitafute PM...
1 Reactions
9 Replies
741 Views
Fikiria kuhusu Mishe zako zinazokupa Kula kila siku, usihamishie nguvu kwenye Ajira za sensa. Iyo nikitu ya kupita tu
5 Reactions
4 Replies
993 Views
Watu wengi nimekuwa nikisoma thread zao humu kuhusiana na cryptocurrency, METAVERSE na NFT Nimegundua vitu vifuatavyo 1. Watu wengi wamepitia changamoto nyingi sana katika utafutaji wao hasa...
6 Reactions
25 Replies
5K Views
Salute every body. Ni swali kwa members wote. Ni lini ulifanikiwa kutengeneza/kuingiza/kupata Milioni kumi yako (ya kwanza kabisa)? Ilikuwaje? Ulitumia muda gani? Shughuli gani ilikupa kiasi...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari ya wakati huu wanajamvi! Leo nimeona vema niwaletee mezani mada hii. Katika harakati za kupambana na Maisha kama kijana pia mwenye kiu ya kufanikiwa nilikutana na jamaa mmoja mwenye...
14 Reactions
111 Replies
23K Views
Tokea niipate hi tokea kwa Ontario nakomaa nayo. Ningependa tujuane ambayo bado hatujakata tamaa pia tunajua kuwa yafuatayo : 1- Ussain Bolt alikimbia chini ya dakika mbili ila ndani ya huo muda...
7 Reactions
79 Replies
14K Views
Ndugu wadau,Kuna muda nilikuwa nafatilia Mada za Antorio kuhusu Forex. Nakumbuka kunakipindi nilikuwa nje ya JF kwa muda wa miezi 3 nikakuta Uzi wa Antorio Una maelfu ya wachangiaji lakini...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Bandugu fursa nyingine hiyo mtaji mdogo tu kama m2 ivi, especially kwa wale wa mikoani, tafuta sehemu yako yenye marisho mazuri, nunua ng'ombe hata watano kwa lak 2 au 3 , walishe vizuri uza baada...
17 Reactions
82 Replies
33K Views
Habari zenu wana JF Nahitaji kujua wapi nitapata Tank za kuhifadhia maji masafi Aina ya Tank, gharama zake, na litter ngapi za maji kwa Tank. Asanteni!
1 Reactions
6 Replies
912 Views
Rais wetu mpendwa mama Samia ametoa agizo kwa BOT ianze mchakato wa kuruhusu Sarafu za mtandaoni zinazojulikana kama Crypto-Currency au virtual money zianze kutumika. Wakati kuna baadhi ya...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Forex Power Trade to get financial freedom All the best traders
32 Reactions
224 Replies
58K Views
Back
Top Bottom