Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wakuu. Nimekuja kwenu kuomba msaada wa nauli ya ndege kutoka bukoba kuja dar (one way) Ieleweke kwamba Mimi sijawai panda ndege, kuna binti nahishi naye sasa alipata ujauzito ikabidi...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba contacts za makampuni yanayo chapisha majarida full color yaliyopo Dar
2 Reactions
2 Replies
520 Views
Nipo njia panda mpaka sasa, mwakani namaliza chuo home hali sio nzuri, nawaza nikatafute mtaji chuoni kwa kujishughulisha na chochote kitu. Naomba ushauri wa biashara nzuri. Mawazo yenu yana...
5 Reactions
43 Replies
41K Views
BENKI ya NMB imezindua huduma mpya ya Pesa Fasta itakayomuwezesha mteja kuchukua fedha kwenye mashine za NMB popote bila kuwa na kadi wala akaunti. Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Mark...
0 Reactions
8 Replies
14K Views
Habari wadau, Naombeni ushauri na elimu juu ya Brokers wa DSE. • Je, ni vigezo gani naweza kutumia kutambua ubora wa Broker. • Kama uliwahi kushiriki katika soko la DSE je, ulitumia Broker gani...
3 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari Wana JF, Naomba kuuliza hivi kutoka Dar es salaam Hadi Bukoba kwa IT zile zinazopatikana chang'ombe ni bei gani? Mana Mabasi ni 80000/= aisee. Kwa anaefahamu rakini pia kama Kuna mtu...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Tanzania hit 62B in year 2021/2022 !! Hii ni Economic GDP ya nchi hii tanzania Iko nyuma ya Kenya na Ethiopia lakini ni kubwa zaidi ya Sudan kusini,Rwanda,Burundi na Uganda!!!., Hizi billlion 62...
1 Reactions
2 Replies
386 Views
Kikao cha Wanahisa wa CRDB kimefanyika siku za karibuni na mimi kama Mwanahisa sijaona gawio la mwaka huu unaotokana na uwekezaji tuliouwekeza kwenye Benki hii. Wenzao NMB katika kikao chao cha...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Wakuu nimepata taarifa sehemu kuhusu L-Pesa Microfinance mahali. Sasa nimeleta kwenu kwa anayeifahamu atupe ukweli wake maana yake inaonekana hela zao zipo nje nje ili na sisi tuache kuishi kama...
0 Reactions
24 Replies
12K Views
Msadaa tafadhali,kwa biashara ya viatu ( sendo za kike) naweza anza na mtaji wa shi ngapi? Pia mzigo wanachukulia wapi kwa bei ya jumla?
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Opec jana walitanganza kwamba crisis ya mafuta ya sasa itakua kubwa hata kuliko ya miaka ya 70s kwasbb yasasa driving factors ni nyingi ukilinganisha na miaka ya 70s. Mama Raisi wetu jana...
0 Reactions
2 Replies
441 Views
Habar zenu wakuu, natumai wote muko imara na mnazidi kupambana na hali zenu katika hii awamu ambayo Malaika tunawaona wakiishi kama Mashetani Bila kupoteza mda leo nina suali nahitaji mawazo au...
2 Reactions
104 Replies
39K Views
Hafla ya kukabidhi Kituo cha Kimataifa cha Mikutano kilichojengwa kwa ufadhili wa China imefanyika jana katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka.. Akizungumza kwenye hafla hiyo, Rais wa Zambia Hakainde...
0 Reactions
1 Replies
570 Views
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inapanga kuendeleza ujenzi wa miundombinu kama mojawapo ya njia mwafaka za kukuza uchumi katika bara la Afrika.
0 Reactions
0 Replies
440 Views
Wakuu tafadhali mwenye kujua ABC about shiba coin namna ya kuji-regist; kununua...nimevutiwa na aina hii ya uwekezaji wa pesa ya kidigtal Mwenye kujua steps by steps tafathali anielekeze, niko...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Tovuti maarufu zaidi duniani ya CNN Travel imechapisha na kulitaji jiji la Arusha toka Tanzania kuwa ni miongoni mwa Majiji kumi tu ( 10 ) duniani yanayoboresha zaidi huduma za kitali mwaka baada...
14 Reactions
58 Replies
5K Views
Habari wana jamvi, natumai mko sawa. Ni mwaka mpya na kesho tutakuwa tunaingia February na ningependa kutoa ujumbe mfupi kwa bloggers watanzania, maana mambo yanabadirika kwa kasi, na ni vyema...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Coin ya Tera Luna imepanda thamani kwa zaidi ya mara elfu moja ndani ya saa 24 baada ya kuporomoka kwa speed. Hii ni sawa na kusema kama jana ulinunua coin hiyo ilipokuwa bei ya chini kabisa kwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nchi ina ardhi yenye rutuba? Rasilimali watu? wasomi? Zao la arizeti linakubali? Mawese yanakubali? Nazi zinakubali? Karanga zinakubali? Ufuta nao unakubali? Haya n mafuta ya mimea bas kama hayo...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
RECISION AIR ANNOUNCES DAILY FLIGHTS TO MBEYA When on the 16th of January Precision Air, Tanzania’s premier airline, launched their flights to Mbeya’s revamped Songwe Airport, they cautiously...
1 Reactions
135 Replies
42K Views
Back
Top Bottom