Baada ya sintafahamu juu ya zao la ufuta, huku mvutano mkali wa bei kati ya serikali na wakulima ukizidi kupamba moto hatimae maambo ya anza kukaa sawa hivyo wafanya biashara na wakulima wa zao...
Nimekua nikitumia hii app ya kupatana kwa muda
Nimekua nikiuza na kununua vitu mbalimbali!! Ila tangu ilivofanyiwa mabadiliko ya app/web sijauzaa hata bidhaa moja hata niweke bei ya chini kuliko...
Maisha yanakwenda kasi mno, speed ambayo hata wewe inafika mahala unakosa utambuzi. Maisha mazuri na bora ndio lengo la kila mmoja hapa kwanzia tukiwa wadogo ndio wiimbo tumesikia mpaka sasa...
Habari wana jamvi
Leo ningependa kufahamishwa zaidi kuhusiana na utt.
Jinsi inavyofanya kazi. Jinsi ya kununua kama unaweza kujisajili na kuwekeza kwa watu tulio mbali na DSE
Jinsi ya kupata...
Ndugu zanguni, naombeni mwenye kujua faida za kuwa wakala wa NMB na faida zake. Je kamishrni zao zipoje? Ipi ina faida kati ya Nmb wakala na Kuwa wakala wa miamala ya simu mfano mpesa, tigo pesa n.k
Najua wapo wengi ambao mmewahi kusikia kuhusu HUBS na Co working Space
Je, unafahamu ni nini?
Hubs au Co working space ni aina ya Ofisi za kufanyia shughuli zako ambayo inakuwezesha kufanya kazi...
Wakuu habari za wakati huu,
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu, je ni vyema kusave pesa kwenye saving account yako kwa mfumo wa US Dollar kuliko TZ Shilings. Nina mpango wa kuanza kufanya...
Utafiti mpya wa "ZenBusiness" umegundua kuwa tasnia zinazowavutia zaidi wajasiriamali hutofautiana baina ya nchi na nchi na hutegemea mambo mbalimbali kama vile miundombinu, mazingira ya biashara...
Wakuu salam
Kuna hii Application mpya imeingia mjini naona watu wanajiunga kwa kasi pia ninasikia wanapiga mno pesa.Kwamba ukiweka milioni moja inaongezeka kwa wastani wa 2.5% kila siku kwa hiyo...
Serikali ikubaliane na wawekezaji kuwa wananchai watanzanai wamiliki hisa, kwenye mgodi wa Gas wa LNG kule lindi.. Wasiwaachie wazungu ndo wanufaike harafu serikali inabaki na vihisa kidogo huku...
Mimi sio mtaalamu wa biashara na sitaki kujenga, nataka nipate ushauri wa wapi niwekeze kwa sasa ili nizalishe kupata pesa ya kujikimu bila kuharibu mtaji hadi hapo nitakapopata maarifa bora.
Eg...
Habari ya asbh ndugu zangu,
Natafauta mizani za kupimia watu, ningependelea mwenye connection kwa geita au kahama iwe rahisi kwangu.
Na bei ningefurahi kuijua
Nimeweka picha
Habari za muda huu watanzania wenzangu
Kati ya
1.kufuga ng'ombe wa maziwa na kulima mazao ya bustani pemben yake eg.Hoho,chinese,pilipili etc (location ni pwani au Dar)
2.Kufanya uwakala wa...
Huu mfumo hauna hata miezi 6 na hii taasisi ina watu weledi na wajuzi wengine walipelekwa India kusoma coding na security, lakini tatizo linaanzia wapi hasa ? Kama mfumo ulikua bado haujawa tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.