Habari zenu wakuu,
Naomba kupata ushauri kuhusu biashara ya viatu Dodoma, mimi kwa kweli nina laki 4 tu. Kwa mawazo yangu nilitaka nipate mtu mwenye uelewa mzuri na hii biashara hasa anaefanya...
Naam watu wa nyanda za juu kusini watanielewa zaidi
Nadiriki kusema hakuna samaki mtamu kuliko duniani. Yes ndio numekula sangara, sato, kambale, kibua, changu, chuchunge na wemgineo lakini...
Serikali itoe ufafanuzi taratibu za Mtanzania kununua bonds za nchi zingine za EAC na SADC imetuacha gizani
Utaratibu ukoje. Mfano nataka kununua bond za Afrika kusini au Kenya nikiwa Tanzania
Habari zenu wana jukwaa. Kama nilivyo eleza kwenye kichwa cha post, mimi ninayo idea na uwezo wa utunzi wa hadithi na mashairi, hivyo naomba mwenye kujua jinsi ya kuweza kuutumia ujuzi huu kwa...
Najua mada hii inaweza kuwa nyeti kwa baadhi ya watu, hivyo basi samahani sana kwa mtu atakayekereka. Katika vitu vinavyojulikana sana duniani, Pesa inashika nafasi ya kwanza, sababu hadi watoto...
Mimi ni mbobezi wa uuzaji chips na jamii ninayo ilenga ni ile ya kipato Cha Kati kushuka chini,
Hapa namaanisha nawalenga wateja ambao mlo mmoja wangependa kutumia Kati ya tsh 1000-3500 au 4000...
Here are the 5 worst cities to live in Africa, according to Economist Intelligence Unit report
Harare, Zimbabwe and Lagos, Nigeria are some of the cities that ranked poorly in this latest...
Kampuni ya simu ya TECNO imehitimisha rasmi promosheni ya simu ya SPARK 8C baada ya kukabidhi zawadi ya milioni 5 pesa taslimu za kitanzania kwa mshindi anayefahamika kwa jina la Mohammed Khatibu...
Hello wadau, mazingira nayotaka kuinvest ni miji inayokuwa kwa kasi.
Nitafurahi kupata maoni na miongozo yenu kati ya hizi ideas.
1: Nifungue Hardware (nianze na cement, nondo, misumari...
Kabla ya kukipeleka hiki kiasi cha 250K bar au kukihonga, naomba kupatiwa ushauri wa biashara ya kufanya hususan biashara ya chakula ama vitoweo na utaratibu wake, itakayoniwezesha kuvuna mafao...
Habari za leo wadau,
Nimepata hili wazo week hii, ushauri wenu kama linatekelezeka. Background kidogo:
Mimi ni kijana, nina nafasi ya kupata mkopo kwa interest rate ya 5.6% kwa mwaka, kiasi cha...
Nimegundua moja ya jambo muhimu ni kuwa liquid muda wote. Matajiri wenye hela cash muda wote kwenye akaunti wananunua vitu kwa bei ndogo.
Juzi Kuna kiwanja kilikuwa kinauzwa zaidi 15M hata Mimi...
Habarini wapendwa, Namshukuru Mungu kwenye hii shughuli yetu ya kubeti nimebahatika kula million 5 naomba mnisaidie kunipa mawazo ya biashara niifanyie biashara gani ya kunipa faida chapchap mimi...
Habari za humu ndani! mimi mtumishi katika shule x.napenda kuwa na kipato cha ziada nje ya mshahara,naomba ushauri wa aina nzuri ya biashara katika mazingira ya shule itakayonipa kipato cha ziada...
Unapochukua control number toka mamlaka au taasisi mbalimbali za kiserikali kwa lengo la kulipia huduma fulani, mara nyingi huwa tunaishia kwa mawakala kwa malipo. Sasa hawa nawakala (wa benki...
Wadau,
Kama nikiuza bidhaa zangu, hasa online kwa lipa namba za Mpesa, Tigopesa au whatever, je, VAT au kodi inajikata yenyewe na mimi kubakiwa na changu (kwa maana mtandao wa simu ndio...
👉Idea debater Ni platform iliyoanzishwa mwaka 2016 marekani 🇱🇷 na Tanzania🇹🇿 imeingiaa hivi Karibuni.
👉 Kuna makampuni Kama Amazon,eBay,shopee na Lazada yanayofanya biashara za bidhaa mbalimbali...
Za jioni ndugu jamaa na marafiki.
Naomben msaada wenu wakina.
Nina mtaji wa 250,000/= nataka kufanya biashara ya kahawa na nipo Dar es salaam. Kabla sijaanza ningependa kuuliza maswali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.