Forex inakupa matumaini sana lakini ukweli ni kua haiwez kukutoa utaendelea kupoteza hela kisa kuangaika na signals!
Unaweza jiona unaweza kwenye demo acc
Ukiingiza hela ndo utajua!
Kuna namna...
Habari wakuu?
Natumaini mko poa!, Mimi ni kijana naishi kijijini baada ya mipango ya kazi kubuma. Kijiji ninachoishi zamani tulikuwa tunalima na kufanya ufugaji ila miaka miwili iliyopita shuhuli...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni kijana ninayesaka fursa kutoka mkoa wowote ule ili mkono uende kinywani.
Nimekuja kwenu leo kuuliza fursa zinazopatikana Mbeya ili niweze...
Ukiwa kkoo kama una kichwa kinafanya kazi haraka haraka
utagundua BIDHAA nyingi sana hasa viatu,nguo, jersey za mpira n.k zinauitaji mkubwa sana kwenye mataifa tajwa hapo juu.
Kam kweli mtu...
Katika hotuba nimesikia kuanzishwa kwa kodi ya malori. Nijuavyo mimi wenye malori wanalipa kodi kama wamiliki maana ukaguzi wa risiti za usafirishaji unafanyika mbele ya macho yetu. Sasa hii kodi...
Nina mpango wa kufanya biashara ya m-pesa, halopesa na tigopesa. Naomba mnieleweshe kuhusu biashara hii kwa kuwa mimi sijajua ni wapi pa kuanzia. Mliowahi kufanya kufanya shughuli hii naomba...
Jamani naomba kujua kama CRDB Bank wamesitisha kutoa mikopo ya watumishi na Biashara kwani nimeomba mkopo wa watumishi wiki ya tatu sasa bado hawajaingiza hela mpaka sasa wananipa story tu.
Napenda kufungua center itakayokuwa inatoa mafunzo ya computer kwa wanafunzi wanaohitimu elimu ya kidato Cha nne pamoja na wadau wengine
Naomba mwongozo wenu juu ya wazo hili au anaejua...
Habari za leo wakuu!
Asee kama kuna mtu anayefahamu wapi vifaa vizuri kwaajili ya uchoraji Tattoo hupatikana?
Pia kwa yeyote mwenye uelewa wowote ata uzoefu wa biashara hii naomba anisaidie ABC...
Wakuu salamu
Naomba kufahamishwa jinsi ya kutoa hela iliyopo kwenye cryptocurrency kuja kwenye Tsh kwa njia ya mitandao ya simu kama Voda, Airtel,Tigo nk
Pili,naomba kujulishwa jinsi ya kutumia...
Habari wakuu
Maisha kwa sasa yanaenda kasi sana, Sisi vijana katika harakati za kutafuta pesa tunakutana na changamoto nyingi sana ,sasa kuna hii njia inaitwa "kupiga hela online ,ukiwa na simu...
Kwa wale walioko kwenye soko la kuuza used computers na spare part au accessory zake na wanatafuta soko la kununua vifaa hivi kwa bei poa ya jumla karibuni UAE, soko linajitosheleza kabisa...
Naulizia maeneo ya kufanyia biashara ya bucha ambayo kuna mzunguko mkubwa wa watu na uwezekano wa kupata wateja wengi pamoja makadirio ya kodi ya fremu.
Niko eneo la daressalaam
Mimi ni mwanafunzi wa Degree mwaka wa kwanza chuo kikuu cha Ushirika Moshi. Ni mnufaika wa mkopo kutoka Board ya mikopo lakini nalipiwa laki 4 tyuu kwenye ada ya masomo ambayo jumla ni Milioni 1...
Kama kawaida binadamu hatuchoki kutafuta, ila baada ya kuwaza walau angalau niweze kupata kipato cha elfu 15 kwa siku namaanisha 450K kwa mwezi nkaamua niingie kwenye ufugaji wa kuku...
Natamani...
Dollar ya Marekani inazidi kuimarika. Shilingi ya Tanzania inazidi kudhoofika.
Tangu robo ya kwanza ya mwaka, Dollar moja imekuwa ni sawa na shilingi 2310 kwa mujibu wa BoT.
Robo ya pili...
KILA MWENYE NAMBA YA NIDA KUANZA KULIPA KODI
SERIKALI ya Tanzania, inapanga kutoa namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN), kwa kila mwananchi mwenye namba ya utambulisho wa taifa (NIDA), ili...
Habari..
Mimi ni kijana ninafanya kazi kwa shirika Mkataba wangu unatarajia kuisha mwaka huu mwezi wa 12.
Naombeni Wanajf tuambizane biashara ipi kwa kijana anaweza kufanya na kuingiza Faida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.