Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hisa si kitu ambacho watu wengi tunakifahamu!! Lakini bado ni kitu ambacho watanzania baadhi wanakifanya?? Kuna mwaka Nakumbuka Hisa za kampuni flan ( zilidoda had zikawa zinatangazwa na...
0 Reactions
0 Replies
392 Views
Friends, Natumaini hizi zote ni idea nzuri ila ni ipi kati ya hizi iko very promising, yenye mzunguko mzuri wa pesa kwa sasa na kunikuza pakubwa baadae. Karibuni
11 Reactions
86 Replies
12K Views
Habari Naomba kufahamu anayeijua biashara ya kuchimba mawe ya gypsum. Kwa maeneo ya kilwa au makanya. Gharama Hadi kiwandani ni kiasi gani, na faida ni kiasi gani Nawasilisha
5 Reactions
16 Replies
4K Views
Naomba mawazo yenu mnaotumia Instagram na Facebook kuuza bidhaa. Kwa winga anaechukua vitu kariakoo ni bidhaa gani rahisi kuuzika ukiweka insta na FB alafu ukaipromote? Tusaidiane uzoefu, keki ni...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wakuu, Natumai mko poa, natafuta kijana mmoja aliyepo Iringa mjini mwenye uwezo mzuri na uzoefu wa kutengeneza Software awe aliyehitimu Shahada ya IT au related programs ili awe mshiriki...
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Nataka kujua ni chimbo lipi naweza kupata nguo za dukani Kwa bei ya jumla jumla Kariakoo?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kulingana na tupo kwenye era ya teknolojia napenda kuanzisha mjadala. Mjadala: Endapo kijana/vijana wana aina zifuatzo za mtaji 1)Mtaji pesa 2)Digital devices(Computer, Smartphone nk) 3)Basic...
0 Reactions
1 Replies
824 Views
Watumiaji wa Deal Na 1. Naomba mnisaidie kitu kimoja. Nina Dollar 6 nataka Niongezee zingine 4 ili Ziwe 10 na niendelee kupiga Mkwanja. Sasa Kama Kuna Mtu alishawahi kuweka Hii pesa tuelekezane...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana JF, Kuna mtu yeyote humu anayeifahamu au aliyewahi kuitumia hii App ya Nikopeshe? Wanatoa mikopo bila riba na unachohitaji ni namba ya NIDA tuu. Ushauri wenu tafadhali.
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Post deleted
2 Reactions
33 Replies
14K Views
Habari zenu viongozi, nina shida moja kwa wale ambao wanajua vizuri kuhusu swala la upigaji picha na vit vingine kam hivyo, naomben mnisaidie hata wa ushauri tu. Nilikiwa nina wazo la kuinvest...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba maelezo yanayojitosheleza tafadhali Nafuatilia kupanda kwa gharama ya maisha Uingereza lakini kuna kitu kinanitatiza. Wao inflation rate yao ni 9.1% Tanzania ni asilimia 5 na.poimt
0 Reactions
3 Replies
386 Views
Wadau hope wote ni wazima humu. Kuna bidhaa nataka kuleta Bongo kutoka china (mfano wa bidhaa hapo chini pichani) Sasa nina wasiwasi na soko, nisije nikashusha mzigo na ukanidodea Kuna baadhi ya...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari nimepata wazo la uwekezaji. Nimewaza hivi, nikiwa na eneo kubwa lililokandokando ya makazi ya watu halafu nikatafuta wataalamu wa ujenzi wakafanya usanifu wa shimo kubwa sana la kutunzia...
0 Reactions
2 Replies
566 Views
Mimi ni kijana ninahangaika kutafuta riziki kila siku, naomba kujua kama biashara ya nguo za mtumba ina faida? Namaanisha kununua belo na kuuza mojamoja. Msaada please
1 Reactions
17 Replies
14K Views
Inafahamika kama Gallstone (Nyongo). Inapatikana ndani ya mwili wa ngombe,anapochinjwa hutolewa hiyo nyongo. Wachina ndiyo wadau wakubwa wa kuhitaji hii kitu. Wao huwa Wana amini hutibu Magonjwa...
6 Reactions
109 Replies
32K Views
Kama mada inavyosema hapo juu wakuu naomba wazoefu na biashara hii waje watoe tathmin fupi juu ya hii biashara 1. Gharama za kuanzishwa hii biashara (simple lab ) 2. Changamoto za hii biashara...
1 Reactions
2 Replies
929 Views
Naomba ufafanuzi kwa wenye uzoefu, ni kiasi gani kinaweza kugharimu kusajili jina la biashara?
0 Reactions
8 Replies
877 Views
Biashara yoyote ni ubunifu. Na si lazima mpaka uwe na mtaji mkubwa, ndio uweze kufanya biashara na kampuni za nje. Swali; utaanzaje anzaje? Muhimu sana huwa ni ubunifu wako; kichwa kifanye kazi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
JIFUNZE MBINU HII ITABADILISHA BIASHARA YAKO MAZIMA Hata Kama umeshajiribu kila njia ya kuongeza Mauzo na umefeli...basi hiki unachoenda kukiona ndani ya sekunde 10 zijazo kitabadilisha kila kitu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom