Wakuu salaam...
Nimekaa kupiga stori na mzee mmoja aliebahatika kutumia kiinua mgongo chake kufany biashara ya maji.
Mzee amegeuza changamoto ya maji katika eneo lake kuwa fursa ya kiuchumi...
Unafikiria kuanzisha kitalu cha MICHE YA MITI?
•Hakikisha unatumia mbegu bora za miti.
•Unaandaa kitalu katika eneo salama.
•Udongo umechanganywa kwa uwiano sahihi.
•Nguvu kazi yenye ujuzi na...
Habari ya jioni wakuu.
Kuna baadhi ya watu walifungua/kusajili kampuni lakini wakawa kama wameitelekeza iwe ni kwa kufanyia kazi kwa muda mfupi na kuiacha ama kutoifanyia kazi kabisa baada ya...
Natumai mko poa kabisa watu wa humu ndani...
Kama mnavyojua mimi ni mfanyabiashara wa nafaka za Jumla na mauzo yangu kwa siku ni kilo 700 hadi 1000 ndi wastani kwa siku... sasa hali ya maisha...
Financia hubs zinaza endeleza miji husika. Mipango mingi ya biashara hufanyika humo na wageni wanahitaji usafiri, malazi, chakula, kununua zawadi kwa wapendwa wao na hata nguo zinazoendana na...
Habari waungwana!
Katika pitapita za hapa na pale, katika eneo fulani mkoani Simiyu nimeona mradi wa maji unaojisumamia wenyewe. Yaani,mteja anaweka pesa ya sarafu kwenye mashine,kisha anakinga...
Naomba msaada nimeona soundcard nzuri Ebay bei yake ni nzuri ukiacha na shiping cost kuna icho nakisikiaga custom fee na Import fee zikoje kwa bidhaa ka hiyo ninayotaka?
Habari wanajukwaa,
Niende moja kwa moja, nipo katika maeneo ya wachimba dhahabu na nimevutiwa sana na biashara hii kiasi kwamba natamani nijitose katika ulimwengu wa biashara ya dhahabu kwa namna...
Habari ndugu zangu.
Badala kukaa kipindi kirefu benchi na pirika kutafuta ajira
Nimekuja na hii Idea (Party and rental Items ) maswala ya upambaji .Hii business nzuri sana na yenye faida nzuri...
Hii idea imenikaa kwa muda sasa na baada ya kufuatilia uzi wa Ni machine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara? nimeipa tafakuri zaidi.
Lakini sio hilo tu fikiria hata masuala ya...
Serikali imefanya marekebisho kwa sheria ya Benki kuu.
Kuruhusu watu nje ya nchi kununua treasury bonds.
Hii ni hatari kwa uchumi wetu.
We are officially sold out.
Ninauza fridge yangu aina ya Boss.
Inatumia umeme mdogo (energy server). Ina sehemu ya kugandisha na sehem ya fridge kawaida
Ipo Arusha mjini
Offer yangu ni Tsh. Laki 5
Sábado ya kuuza nina...
Habari ya wakati huu wapendwa
Mimi ni kijana mtanzania ninaishi mkoa wa Morogoro.
Nilikuwa natafuta mtu wa kushirikiana naye ili kuwekeza kwenye kilimo.
Kama mjuavyo kilimo ni kipana sana na...
Nahitaji kuingia kwenye hii biashara ya zao la kahawa... Yani ninunue then nije kuuza baadae wanasema wanauza kwenye ushirika kwa kule Mkoa wa Ruvuma! Mwenyw ABC au uzoefu wa hii ishu afanye...
Wajasiriamali wa chakula, tufahamishane soko la bidhaa hii ya chakula, yaani sato wakufuga kwenye mabwawa, kwa jiji la Dar lipo wapi? Uzito ni samaki wa 3 hadi 4 kilo, bei ya jumla ya bidhaa...
Naomba kujua kwa walio agiza bidhaa ndogo ndogo kutoka nje ya Nchi (Free shipping) Decemba 2021 hadi May 2022 mmezipata? mimi naona sijakuwa na bahati nazo; hata sijajua tatizo liko wapi kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.