Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari, Nataka kuagiza bidhaa online kwenye site kubwa kama amazon, ebay, aliexpress n.k lakini sina kitambulisho chochote kile, ila nina namba ya simu tu ambayo ni ya mtu. Sitaki yeyote...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari, Nimepitia kwenye mitandao mingi kama ebay, aliexpress na mingineyo ya kuagiza vitu toka China hivyo kuwa interested na kujaribu kuanza biashara hii. Ombi langu ni...
5 Reactions
23 Replies
6K Views
Bufeeeeee ileee kutoka Tsh 1000 kupata MB 750 now unapata MB 700. Huu mwanzo tu na bado.
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Jamani maisha ni magumu kwangu Tu? Au na nyinyi wenzangu. Maana huu mwaka naona kama nimechaguliwa kuwa wa mfano. Napiga kazi kama mbwa Ila pesa sina kuzalaulika ndio mwingi. Khaa eee Mungu...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifanya freelancing kwa zaiid ya miaka 7 sasa. Nilikuwa na bado uwa naendelea kushare na watu humu tips za freelancing na mambo mengine lakini weekend ijayo nimejisikia kushare nanyi...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
kiwa na bahati ya kuhandika na maandiko yako yakawakamata vizuri watu basi utawachota kweli kweli. Huyu bwana hapa JF aliwakamata watu sana kipindi cha Forex na mpaka wengine hata umweleweshe...
8 Reactions
92 Replies
11K Views
Nauliza kwa anayejua faida ninayoweza kupata kwa kufanya hii biashara na kiasi kizuri cha kuanzia yaani mtaji.
0 Reactions
1 Replies
881 Views
Waziri wa kilimo tunaomba zuia nafaka kuuzwa nje ya nchi hali ni tete watu wanalia chakula hakushikiki mitaani bei ipo juu na fedha hamna, mchele awali ulikuwa ukiuzwa tsh 2000 kwa kilo kwa sasa...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
I Na Mwandishi Maalum Balozi wa India nchini Tanzania Ndg Binaya Srikanta Pradhan amesema, Waziri wa Elimu nchini India amemualika Waziri wa elimu na mafunzo ya Ufundi nchini Tanzania Prof. Adolf...
0 Reactions
0 Replies
407 Views
Habari zenu wakuu. Swali langu ni kuhusu hizi ofisi Tanzania. Kwanini pawn shops nchini mwetu hazina umaarufu. Na ni mara chache kuzipata kabisa hata sehemu za mijini. Shida nini? Mfumo wa...
3 Reactions
54 Replies
6K Views
“If you can trade like a hedge fund without investing in one, you can replicate their big wins without having to pay their huge fees.” – James Altucher In the first part of the article in this...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nina shida na hela kama milioni 3 kwaajili ya kuendesha biashara yangu ya kubadilisha fedha za kigeni yani kwacha kuwa tsh nlikua naomb kujua kampuni yenye uwezo wa kunisaidia hiyo hela ila...
1 Reactions
11 Replies
917 Views
NALA PROJECT. Kwenye Kata ya Nala hususa ni kwenye Barabara ya Mzunguko wa Mashariki inayotoka Morogoro ambayo haiingii katikati ya Mji,barabara ambayo itapitwa na Magari makubwa na Mabasi ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Namna ganii naweza kupata mzigoo wa jumla wa nguoo ili kwa ajili ya kuanza biashara..
2 Reactions
5 Replies
522 Views
Wakuu mwenye kujua bei elekezi ya mafuta kwa mwezi Julai, sababu mpaka naandika uzi huu saa 11 alfajiri, Jumatano ya kwanza ya mwezi (ambayo ndio siku ya kutangaza), bado. Nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Wakubwa kwa wadogo natanguliza salamu zangu kwenu nyote . Moja kwa moja niende kwenye mada husika . Ipo hivi hapa ofisi ninayofanyia kazi(sehemu ya biashara) dodoma area d kuna huduma za...
1 Reactions
4 Replies
716 Views
Wadau Samahani naomba kufaham bei ya gunia la mahindi na Alizet kwasasa inasimamaje mjini Daslam
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo TRA wamepita mitaa ya Manzese na kuwataka wenye maduka bila kujali ukubwa wa duka kuweka EFD machine na kuwalazimisha wafanya biashara kusaini form za kukubali kuweka hizo EFD katika kipindi...
2 Reactions
5 Replies
810 Views
Leo ndio nimefahamu kama pesa ya Ghana Ina thamani kuzidi pesa ya Kenya na Nigeria. Nadhani hao wanaonekana hapo kwenye 50 Cedis ndio Marais wa Ghana. Ni kwann sasa wameamua kujiweka...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Naombeni mwenye kujua sehem ambayo naweza kupata mashine na accessories za stationary 0679013747
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom