Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inafikiria kuanzisha Benki ya Maendeleo itakayokidhi mahsusi mahitaji ya ufadhili wa wafanyabiashara wadogo na wa kati (MSMEs) nchini Tanzania.
Benki ya AfDB...
Ndugu wana JF wenzangu natumaini hamjambo.
Dhumuni la waraka huu ni kuomba wenye uelewa wa biashara ya export ya maua (dried)
Natamani sana kufanya hii biashara sasa naomba kama kuna mwenye...
Kikwazo kikubwa kinachoathiri biashara ya Daladala leo ni njia na usimamizi wa haya magari. Hii inajumuisha wasimamizi yaani TRA & trafiki, Bima etc.
Biashara ya Daladala imekuwa moja ya...
Baa ni biashara nzuri sana kama ukipatia soko na upande fulani.
Ila biashara ya baa aina tofauti na kubeti sana. Tunaopitapita kwenye mabaa tumeona jinsi baa zilizokufa na kuibuka. Suala la baa...
Naomba kunishauri, biashara gani kati ya hizo haina complication Nahitaji kufungua biashara, akili yangu inawaza biashara tatu lakini moja tu ndo inabidi nichague kati ya hizo.
"Asubuhi panda mbegu zako ,Wala jioni usizuie mkono wako ,kwa maana wewe hujui ni zipi zitakazofanikiwa,Kama ni hii au hii ,au zote zitafaa sawasawa"mhubiri11:6
salute...
Makala hii ilichapisha
Mei 18 2022, kwenye gazeti la G.K
Huku kukiwa na ongezeko la janga la ukosefu wa ajira huko Jammu na Kashmir, vijana wachache wasomi wasio na ajira wamejitengenezea njia...
Wadau ninamtaji wa mil 9 ambazo nimezipata kwenye uchimbaji wa dhahabu. Ila nahofia kizirudisha kwenye uchimbaji maana ni kazi ya bahati.
Natamani sana kufanya biashara ya nafaka dar, ila sina...
Salaam sana wakuu,
Tunamshukuru Muumba wa mbingu na nchi kwa kutufikisha disemba hii 2021 ambapo tunapata nafasi mtawalia ya kutafakari kwa kina malengo tuliyojiwekea kwa mwaka 2021 huku...
Nawasubiri wabobevu wa jiji la Dar wanipatie japo maujuzi ya biashara ya kufanya nitengeneza 20k kwa siku
Si mnajua tena mambo ya kodi jamani [emoji17][emoji17] Nsaidieni mawazo, lo! Sihitaji...
Habari wana Jamvi natumai wazima,
Ningependa kujua utokaji wa nguo za mtumba za wadada cotton BLOUSE nataka niagize Belo China Grade A ila sijajua kama zinapendwa sana au kama zipo zinazopendwa...
Wana JF, salamu zenu. Mie ni kijana nasoma chuo mwaka wa 3 sasa nategemea kumaliza 2013.
Nimedhamiria kufungua kampuni mapema kabla ya mwezi wa 6 mwakani. Ninakamilisha uandish wa Memorandum of...
Habarini wana jamii..
Nilikuwa nataka kutembelea Comoro ili nijifunze mahitaji yakule nifaye itafiti kama naweza kuwa na supply biashara kule kisiwani kwao kutokea huku Dar es Salaam.
Sasa...
Habari wanajamvi,
Nahitaji kufanya biashara ya kuuza pumba, nilikuwa naomba kufahamishwa faida zake na je, gunia moja la pumba lenye debe saba huwa linauzwa bei gani?
Mwenye uzoefu anijuze...
Habari wanajamvi,
Ningependa leo niongelee kidogo kuhusu changamoto zinazotukabili watanzania kuwekeza katika hisa za nje ya nchi (foreign stocks) sijajua kama na mataifa sijajua kama na mataifa...
Sio mimi tu, kuna ndugu zangu kama wawili wamesajili kampuni kwa njia ya mtandao, mwingine ofisini aliniambia alisajili jina la biashara, hela amelipia lakini hawafanyii kazi baada ya malipo...
Salaam
Naomba kutoa maoni yangu kwa huduma mpya ya uwakala wa NMB maarufu kama NMB pesa fasta
Binafsi ninafanya biashara ya uwakala nina miliki mashine ya NMB kwa ofisi moja pia nilifungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.