Watu wengi sana wana anzisha Biashara Mtandaoni, Wapo wanaofata Kanuni zake, na ndio maana wanafanikiwa na wengine Hawafati na wala hawazijui.
Kanuni Hizi ni kabla ya kuanzisha Biashara...
Wadau,
Niko katika utafiti awali wa biashara hii(huswa mbuzi) na hivyo naomba wenye mawazo nayo wanisaidie tafadhali hususani katika nyanja hizi:
Aina za mbuzi wanaofaa
Risks
Ushindani na fitina...
Wakuu habari za wakati huu,
Naomba mwongozo Kwa wataalamu wa sekta hii. Ni hatua gani za kufata kusajiri na ku operate travel agency inayopeleka watanzania nje ya nchi Kwa shughuli utalii...
Habari za asubuhi wapendwa
Mimi ni kijana umri wangu ni 30years. Natamani kufanya biashara za kutoa bidhaa zanzibar kuja kuuza Dar
Niko interested sana na biashara za Electronics.
Wadau...
Wasalaam wana bodi,
Poleni na hongereni sana mbalimbali ya kijamii na kiuchumi. Ni imani yangu kwamba mu wazima wa Afya.
Kama heading inavyojieleza, napenda kuomba ushauri na mawazo yenu kwa...
Wadau tujuzane sehemu inayotoa mkopo kuanzia milioni moja kwenda juu kwa njia ya simu. Au hata kwa njia ya cash kama ipo maeneo ya tunduma na mbeya,,,,kwa aliewah kukopa na akapata au mwenye...
Habari wadau wa biashara.
Natafuta machine ya NMB kwa ajili ya kufanya miamala ya kibank au machine ya selcom iliyosajiliwa kufanya kazi ya crdb au NMB.
Kwa yoyote alionayo ambae haitumii...
Hakuna watu wanapenda kujenga nyumba za kuishi duniani kama Watanzania.
Ndoto kuu ya kwanza ya Mtanzania yeyote ngozi nyeusi ni kuwa na kwake hivyo akipenda vihela huvipeleka site kujenga...
Wadau site gani kwa sasa unaweza weka matangazo real estate ukapata wateja kirahi..nilikuwa natumia sana zoom, naona wamepotea(imekuwa kupatana.com-ambayo siyo strong kama zoom)...
Noamba kwa...
Natanguliza Salaam kwenu ndugu zangu mimi ni kijana mwenzenu nahitaji kujiajiri sasa changamoto ipo sehemu wanapouza bidhaa kwa jumla hasa hizi consuming product kama pipi, biskuti miswaki nk
So...
Salama wakuu,
Naombeni ushauri wenu, kwakuwa humu ndani kuna wengi wametuzidi kimawazo na uzoefu wa maisha. Ntaelezea kwa uwazi zaidi ili mtengeneze picha kichwani na kuweza kunishauri vyema...
Naomba kupatiwa ushauri juu ya biashara ya mgahawa yaani restaurant Jiji la Tanga mjini na chakula Gani wanapenda na wapi bora kuanzisha.
Naombeni ushauri wadau?
Naomba ushauri ndugu zangu!
Kuna kijana wangu amenunua bajaj! Amepata na kituo huku Kigamboni!
Ila anauliza kati ya kituo na uber kipi bora!? Au uber town au aunganishe town kipi bora?
Naomba...
Poleni na kazi wadau,
Mungu atusaidie kupata zaidi katika miangaiko yetu ya kila siku. Mungu ni mwema nyakati zote, nikiwa kama kijana Nipo mwaka wa pili udsm katika familia wanandugu tumeuza...
Habari wana jukwaa;
I must declare; Mimi bado ni mwanafunzi katika tasnia ya FOREX. Sasa jana nilienda pale FNB Ohio st. ili nifungue akaunti ambayo ingekuwa mahsusi kwaajili ya FX tu. Lakini...
Kuna Dada mmoja ila sio Mbongo ingawa sikuwahi kujua kwa haraka haraka ulai wake ila alikuwa ni kama Mix ya Mzungu na Mwafrica sema kiswahili kilikuwa hakipandi.
Alikuwa ndo Bosi wa Food Lover's...
Kiufupi hii kitu sina ujuzi nayo kabisa yaani ni 0%
Naona kila siku kwenye mitandao watu wanaongelea sasa sielewi kabisa.
Je, ni biashara?
Bitcoin ni nini?
Crypocurreny ni nini?
Watu gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.