Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Leo nimeenda kukodisha mbao. Yule jamaa nimemuachia 30,000/- kwa mbao 20! Jamaa ana mbao nyingi tu Kwa ajili ya kukodisha. Nimefikiria unaweza kuanza hii biashara hata Kwa mtaji usiozidi bei ya...
66 Reactions
285 Replies
32K Views
Habarini wakuu, Natumaini wote hamjambo! Pole kwako wewe hali yako ambaye haiko vizuri! Naishi mkoani Mbeya nasimamia Biashara ya Hotel ipo Iyunga, kiufupi usimamizi huu najikuta mpaka nakata...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hello Everyone! Tahadhari muhimu kutoka ubalozi wa Tanzania nchini China. Tunatakiwa kufanya yafuatayo Ili kuepuka kuibiwa na makampuni hewa👇
2 Reactions
8 Replies
948 Views
Ukikuta bidhaa ya Tanzania nchini Kenya inakuwa imelipiwa ushuru mkubwa sana ama wakati mwingine biashara za Tanzania zinazuiwa kabisa Kenya, ni kwa nini? Kwa anaejua sababu tafadhali
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama hujawahi ingia hili chimbo naomba uje ununue hata soda kwa elfu 4 ujifunze maisha watu wanaishije watu, wana spendije. Hapa Heineken inauzwa 8500, Serengeti lite 7000. Heineken bucket...
2 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari wakubwa Naomba niseme tu nimechoka kukaa nyumbani kuwa kula kulala, maisha ya kukaa nyumbani yamenichosha natamani na mimi nianze kujitegemea nianze kulipa kodi, ninunue chakula kwa pesa...
8 Reactions
36 Replies
5K Views
Kwa leo nitaongelea viatu 'used'/mtumba Kuna siku nilitembelea duka moja la viatu vya mtumba mkoani Arusha; hivyo viatu vilikuwa vinatoka Italy, kuuliza bei, naambiwa sh. 185,000/=. Hapo nikawa...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Inawezekana una kaela kadogo; labda umepata kama mshahara, au kuuza kitu n.k, na ungependa pesa yako ikuzalishie na isipotee. Unaweza ukawekeza kwenye haya makundi:- Wauza mishikaki Wauza...
12 Reactions
30 Replies
2K Views
I wish niwe na biashara kabla ya mwaka huu kuisha. Moja ya biashara inayo trend kichwani mwangu ni duka la vinywaji. Yani niuze vitu vifuatavyo. Bia Pombe kali kama K. vant na konyagi. Soda zote...
1 Reactions
31 Replies
12K Views
Kati ya nchi hizo wapi wanatoa vipodozi affordable price and original? Najua kuna product zinatoka China na ni bora kabisa je ni zipi?
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari za wakati huu Wanajamvi wenzangu. Mimi ni mfanyabiashara, sasa Naamini humu kuna wafanyabiashara, au waheshimiwa wahusika wa maeneo ya mwenge. Ningependa kujua yale majengo mapya, maduka...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu nina mtaji wa milion mbili nataka kufungua biashara ya nywele bandia nikimaanisha wiving, rasta, mawigi na vitu vidogo vidogo vya urembo wa akina dada kama mikufu, hereni...
2 Reactions
8 Replies
7K Views
Yapo mengi umejifunza au unayafahamu. Kuhusu wateja katika biashara yako. Sababu biashara ndogo zinawahitaji zaidi wateja kuliko wateja wanavyozihitaji. Ila kuna nyongeza katika hayo nayo ni...
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Habari, Niwe na Tsh niweze Kufungua Saloon ya Kike Ya Kawaida Kwa Mtu anayeanzia. Vitu Gani Vya Muhimu Wakuu na Vya msingi Kwa kuanzia!?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Wakuu... Naomba tupeane ushauri kitu gani kijana aliye Dar anaweza kufanya biashara gani na Hakatoboa Vizuri!?
0 Reactions
3 Replies
430 Views
Do you often ask yourself these four questions? If my company model is flawed, why aren't my financial resources growing at the same rate? What are the best sources of job inspiration? When will I...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu salama? Kwanza kabisa niwashukuru wanajukwaa hili kwa ushirikiano mzuri mlionipa kabla sijaagiza chombo. Nilikua sina uzoefu wa kuagiza hivyo ilikua mara yangu ya kwanza lakini...
44 Reactions
108 Replies
27K Views
Habari kwenu Wazeeiya, Kama kichwa cha habari kilivyo. Naomba kupata ujuzi, utaalamu, experience mlizonazo katika biashara hii. Kwa ufupi tu, ni camp kwaajili ya watalii. Majibu yenu naomba yawe...
0 Reactions
6 Replies
522 Views
Here comes, Waungwana kuna hili swala la kufanya biashara iende smoothie,, kuna rafki yangu kanishauri swala la kwenda kwa baadhi ya mashekhe ili tukapatiwe dawa kwa ajili ya biashara iende vema...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Wadau nimekuwa nikitafuta taarifa sana kuhusu biashara ya uvuvi baharini. Hii imetokana na ukweli kuwa nimekuwa nikienda katika masoko ya samaki hapa Dar es salaam na kuona jinsi watu...
5 Reactions
12 Replies
7K Views
Back
Top Bottom