Kampuni yenye nguvu zaidi Duniani na kwa bahati mbaya unaweza usiwe unaijua, kwa jina ni BlackRock.
Hadi sasa Kampuni hii ina manage Mali zenye thamani ya Dola Trilioni nane( USD 8 Trillion)...
Wana jf nataka kununua gari mnadani natumia kampuni ya real Motors sasa weniambia nifanye bid halafu nitoe advance ya dollar 1500 ambayo itakuwa included kwenye manunuzi kama nikipata gari...
Poleni na mapambano ndugu wana JF
Husika na kichwa cha habari
Katika pita pita zangu za hapa na pale wakuu nimeona nifanye biashara ya mkaa (ni wazo ila niko finishing stages ni execute idea)...
Toka nianze harakati za kusaka gari mtandaoni kila gari naona ya kawaida yani nikipata gari zuri bhs inakasoro inanikata mzuka. Nimetembelea web zote za kuimport japani ila sijaridhika.
Toka jana...
Kwema humu wadau poleni na majukumu mimi ni mkazi wa wilaya ya Meatu mkoani Simiyu nilikua naomba kujua je gharama za kuchukua vilainishi vya magari kama oils (total au Castrol), grease, cc...
Mwenye uzoefu wa muziki wa bongo flavor especially ambaye anajua jinsi makampuni ya ku-promote muziki wa bongo flavor yanavyofanya kazi hasa na wasanii wanaoibukia.
Naomba uzoefu hatua kwa hatua...
Habari wadau.
Nategemea kufungua kibanda cha kuuza vifaa vya umeme maeneo ya Mkuyuni Mwanza hivi karibuni.
Kwa mnaojua machimbo ya kupata mzigo wa uhakika kwa bei nafuu naombeni msaada wenu...
Mwenza wangu nilimpa mtaji afungue biashara kwa kuwa anapenda sana urembo akaona afungue biashara ya duka la urembo, cosmetic na mavazi.
Lakini anapitia changamoto ya kukosa wateja inaweza ipite...
Kama Kuna mtandao unaujua ambao watu wananunua picha za nature n.k anisaidie jina lake yaani watu wakiipenda picha yako labda ya mnyama au beach au miti wakiupload wanachangia kiasi fulani maisha...
Habari za jumapili,
Leo nataka tuzungumze pamoja faida za kuwa mzalishaji wa kwanza wa bidhaa na kuingiza sokoni.
Ukweli ni kwamba biashara ndio muhimili wa uchumi wa Dunia, Serikali nyingi zina...
Habarini wadau,
Kama kichwa kinavyojieleza wale wote wenye idea ya hii (heat press machine) ambao wanaoifanya hii biashara au waliokwisha ifanya hii biashara ya t-shirts printing tupeane angalau...
Habari wana JF. Nimekuwa nikifanya biashara ya grocery kwa mda sasa sema changamoto kubwa ninayokumbana nayo ni wingi wa madeni(nadai wateja), sasa nikawa nafikiria pengine nikihama eneo na...
Wadau,
Natafuta machimbo ya kupata vifaa vya simu kwa bei ya jumla kwa kariakoo, vifaa navyotaka:
Covers
Earphones
Chargers
Protectors
Batteries
LCDs
Msaada wenu wadau
Hivi inaingia akilini mtu akikuambia VODACOM hawapati faida? Tangia wauze IPO kwa shilingi TSH 800/, Share zao hazijawai kupanda tena mpaka leo zimesimama kwa TSH 770/ na haziuziki. Hakuna mtu...
NAHITAJI MTU WAKUFANYANAE BIASHARA MOROGORO KILOSA, Biashara ya mazao na nguo, nataka awe mwenyeji wa Morogoro.
Mimi nipo Dar.
Tuwasiliane tuongee
0755102030
Habari za wakati huu;
Katika biashara kuna kukosea.Hii ni kama ilivyo katikamaisha ya kawaida.Kukosea ni sehemu ya ubinadamu.Kila kosa huwa lina gharama na matokeo.Haya yanaweza kuwa mabaya sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.