Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari!!wana jamvi....naomba kupewa elimu zaidi kuhusu Utt amis.....na taratibu zake jinsi ya kujiunga na kufanya uwekezaji wake.....na benefit yake pia
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Soda ya Sprite kutotumia tena chupa za plastiki za kijani ambazo zimetumika kwa miaka zaidi ya 60
0 Reactions
1 Replies
779 Views
_ Support (Kuungwa mkono) na watu wa karibu au Ndugu, je ina mchango wowote juu ya mafanikio yako. Ni Mara kadhaa tumekuwa tukiambizana kuwa watu wa karibu hawana msaada hivyo tunatafuta na...
3 Reactions
1 Replies
339 Views
Watanzania wengi ambao ni wavivu wa kutafuta maarifa, huiongelea sana China kama nchi iliyofanikiwa sana kiuchumi, kwa wao kujifungia na kwa kutegemea ubunifu wao na mitaji yao. Wengine wanaenda...
15 Reactions
58 Replies
5K Views
"Social Economic Empowerment Program,." Mpango wa Kijamii wa Kuwezeshana Kiuchumi, Kwa mara ya Kwanza Tanzania. Haujawahi kutokea, duniani. Ni mpango uliobuniwa na Madrassatul Abraar, iliopo mtaa...
12 Reactions
107 Replies
10K Views
Wakuu habari Natafuta watu wawili wenye ujuzi wa media tuanzishe online TV. Wajue ni vifaa gani vya kuanzia tuwe navyo, na programs zote za kufanyia kazi. Wajue kuoperate hizo programs na vifaa...
1 Reactions
13 Replies
833 Views
Habari wakuu... Kwanza kabisa inatakiwa tuelewe kuwa kuna tofauti Kati ya kutengeneza pesa na kutafuta pesa. Mimi na wewe tunajua namna ya kutafuta pesa lakini watu matajiri wanajua namna ya...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Moja ya Changamoto inayo wakabili watu wengi ni suala zima la Mitaji ya kufanyia Biashara, Mitaji ni Kilio cha kila mtu, hasa watu ambao hawana uwezo wa kwensa kukopa Benki na pia hata kama uwezo...
11 Reactions
19 Replies
1K Views
Jambo hili nimeanza kuliona mwisho wa mwezi huu kwa kiasi kikubwa kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali na kwenye biashara yangu pia tayari zaidi ya 50% bidhaa nazojumua siku zote kwa sasa bei ni...
3 Reactions
6 Replies
646 Views
Nimemaliza chuo x hivi karibuni nikaomba ajira naona hazieleweki Sasa kwenye akiba yangu Nina shilling laki mbili Sasa hapa sijui nifanye biashara gan kwa mtaji huu Msaada tafadhar wakuu nipo...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari, Kama nilivyotanguliza kichwa cha habari hapo juu nilikuwa na mpango wa kwenda uingereza kukusanya vitu used vya majumbani na viwandani mfano mashine ndogo ndogo na kubwa kwa makubaliana...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Idadi kubwa ya wananchi Tanzania ni wajasiriamali Tena wadogo wenye mitaji inayochechemea licha ya mitaji kuwa midogo bado wanategemea huo ujasiriamali kuweza kukidhi gharama za maisha kama Kodi...
2 Reactions
1 Replies
748 Views
Habari Jf, Uzi huu, utakua ni uzi maalum kwa watu wanaohitaji kuagiza magari, ama wenye malengo ya kuagiza magari bila kujali sasa au baadae. Hapa, ninakaribisha maswali yatakayo husika na...
3 Reactions
98 Replies
16K Views
Kukabiliana na changamoto zinazoyakabili mazingira kunahitaji kutumia fursa zilizopo kama vile kukuza uchumi usiochafua mazingira ili kuleta maendeleo endelevu na kupata manufaa mengi kama vile...
1 Reactions
1 Replies
306 Views
Wadau ni kwa mara ya kwanza naandika humu hii ni kutokana na kujifunza vtu vingi kupitia kwenu hivyo nahitaji kujua wapi nitapata mahindi ya bei ya 60 kwa gunia hasa mkoa ya Katavi, Kigoma na...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Kuna mtu anajiita JATU na yeye ana model kama ya Mr kuku, ile ya kwamba toa pesa ulimiwe na uvuniwe. Huyu JATU kawavuta watu wengi sana mara mashamba Kitetto mara Morogoro. Model anayo tumia ni...
41 Reactions
189 Replies
32K Views
Kama unataka business na Huna pesa ya mtaji mwingi ingieni Alibaba tafuta small business partners.
14 Reactions
230 Replies
71K Views
Wakuu habari za jioni, Kama heading inavojieleza hapo juu, Naomba kujua ni jinsi gani wamiliki wa website na blogs wanavopata faida kutoka katika blogs na website, mfano 1. Millardiayo 2...
0 Reactions
22 Replies
15K Views
Mimi ni transporter wa muda mrefu toka coaster kuja fuso mpaka sasa malori. Ninaona kama fursa ipo kwenye biashara ya malori ya maji machafu haswa haya makubwa ( lita 15,000 hadi 20,000) Natamani...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika jambo ambalo limekuwa likikwamisha watanzania wengi kusonga mbele ni swala LA mtaji either wa wazo,kipato au sehemu mfano unakuta mtu unawazo zuri tuu la kibiashara au kilimo Ila changamoto...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom