Wadau katika kutaka kujikomboa kimaisha nimeona Alibaba.com kununua mzigo na kusafirisha hadi BONGO siyo gharama kubwa ,issue ikabaki kwangu je wazee wa Kaisari -TRA hapo ndio kikwazo mara...
Habari ya upande wa huko rafiki yangu, bila shaka unaendelea vizuri kabisa.
Mimi nakusalimia hapa kutoka mjini Morogoro.
Leo nimeukumbuka ujumbe mmoja ambao niliwahi kuusoma siku za nyuma...
Wadau naomba mwenye uzoefu au anayefanya Kazi na Taasisi za kifedha anisaidie ku-suggest Taasisi ambayo haina longolongo kutoa mkopo wa biashara kwa haraka na uhakika.
Nimejaribu Taasisi mbili...
Kwema wakubwa,
Naomba niende moja kwa moja kwenye swali. Nina wazo naona ni potential ambalo litasaidia watu wa hali ya chini vijijini nataka nikasajili Ngo kwa level ya kitaifa then nitekeleze...
Habari Waungwana!
Nina 10M nifanye biashara ipi kwa mji mdogo wa Katoro? Hiyo hela itahusisha gharama za pango + maandalizi yote ya frame.
Biashara itakayosimamiwa na mtu wa jinsi ya kike kwa...
Namna ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara ndogo au kuongezea palipopelea. Mtaji na pesa ya kuendeshea biashara yako ni kama damu na oksjeni kwenye mwili wako.
Kuna namna mbalimbali za kupata...
Mimi ni mfanyabiashara chipukizi, napatikana Tanga. Natafuta wanunuzi wa zao la ngwara au fiwi jamii ya maharage na choroko.
Nina gunia zisizo pungua 8 store. Pia itapendeza kupata mawasiliano...
Hali ya Mfumuko wa Bei ya bidhaa muhimu ikiwemo chakula kwa jiji la Dar es salaam imezidi kupanda kwa kasi licha ya maeneo mengi nchini kuwa kwenye msimu wa mavuno.
Hapa chini ni bei za mazao ya...
Wakuu na wazoefu wa hii bishara naombeni kupata mawazo yenu kuhusiana na hali ya hii biashara kwa sasa. Nimewekeza mtaji wa karibia 6m lakini kamishen bado nikitoa gharama nabaki na 200k...
Natumai nyote ni wazima wa afya. Wakuu hawa watu wanaoitwa wazungu ni wana kodi hadi kero aisee yan hizi tunazolalamikia sisi ni cha mtoto.
Kuna mtu huko marekani kashinda bahati nasibu ya $1.28B...
Wakuu natarajia kuwa na safari ya Kampala mwanzoni mwa mwezi wa kumi na mbili . Lengo la safari hii ni kuangalia mazingira ya biashara kwa ujumla ikijumuisha gharama za vitu, usafiri...
Kwenu Rais Samia, VP Mpango, Mwigulu, Mafuru, Benki Kuu, Makamba na Mulamula.
Kwa Ufupi,
Serikali Mlishauriwa na Wabunge kuhusu namna ya kukabiliana na suala la bei za Mafuta kupanda...
Habari zenu wana JF?
Naomba mwenye muongozo au ufahamu wa kiwanda cha kuchakata kuku au sehemu kilipo kwa hapa Tz angalau nikapate Elimu ya uendeshaji, Bei za mashine na soko.
NB: Kuku ninao...
Ipi huduma bora na nafuu kati ya hizo?
Je, DHL huwa wanachaji gharama unapopokea mzigo? Mzigo wangu NI bahasha tu ya documents. Ninaipokea kutoka Afrika Kusini.
Habari ndugu wote haswa wajasiriamali wa Dodoma mimi nimtafutaji kama walivyo watu wengine kwa sasa niko Arusha ila mambo huku hayaniendei vizuri kabisha, ila ktk kuongea na watu vijiweni wengi...
Ninampango wa kuuza bidhaa mbali za electronics kama vile simu za mikononi, laptop, flash disk, camera n.k. Ili niweze kufanikisha hilo ninaombeni msaada wenu kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya soko...
Ndugu Zangu Nimeanza Kufanya Biashara Ya Kuuza Suruali za Mtumba Kutoka Dar Naenda Kuuza Moro - Dodoma.
Naombeni Mawazo ya Kukuza Biashara Yangu Kwa Wazoefu Wa Hii Kazi.🙏🙏🙏
Niwe Nafanya Nini Au...
Habari za kushinda wana JF
Nilikua naomba kuuliza wale wanaofanya biashara Kariakoo kama vile viatu, nguo, vitengee na urembo katika soko la Kariakoo.
Wanapataje patajee mali je ni Cash au Mali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.