Tuanze na hii! Ni nzuri kwa mkazi wa DSM
FUGA BROILER mwenyewe!
Wakishakuakua unaanza KUWAKAANGA eneo la stand unaweka na tundizi uchwara zile za mabibo za 50 50! Usisahau na...
Jamani ndugu zangu wa jf, naomba kuuliza.
Ninahitaji kuanzisha native application ambayo inavitu complicated kiasi ndani yake.
Je, nitafte kampuni initengenezee App, ama nitafte developer wa...
Wakuu habari?
Kuna kitu nimenunua kariakoo ila sikupewa risiti ya mashine nimepewa ya mkono.
Je, wakati wa kulipa kodi mwisho wa mwaka naweza kuitumia hii risiti kama njia ya kuonesha gharama...
Uhitaji wa Kuku wa Kienyeji na Ndege pori unazidi kukua jijini huku upatikanaji wa Bidhaa halisi ukizidi kuwa Hafifu sana sokoni.
Hapa ndiopo napata wazo namna ya kuazisha Shamba dogo la kuhifadhi...
Wapo watu wanajivunia kuwa na mawazo ya biashara ila hawana mitaji; ukiomba wakushirikishe wazo lao, wanakataa wakihisi unaweza kuchukua wazo lao na kulifanyia kazi.
Unakuta miaka nenda rudi...
Napenda kuuliza kwann kila Biashara inayo tangazwa umu ina krashiwa
___________________
Watu wengi wamekua wakiwakatisha tamaa wafanya Biashara unakuta mtu anatangaz biashar yake na mtu anakoment...
Binafsi nimekaa chini nikafikilia nimeona biashara ya mavazi ni biashara nzuri mno mno mno Sana hasa ukiwa unachukua kutoka kwa wazalishaji (kiwandani) unakuja kuuza Kama retailer utapiga...
Msaada kwa mtu mwenye uelewa wa biashara ya vitu vya jumla (matumizi ya nyumbani) namaanisha duka la jumla,.
Naomba muongozo kwa anayefanya au mwenye ufahamu na hii biashara, nilipo ni mkoani...
Heri kwenu sote wanajukwaa mlioalikwa kwenye uzi huu kama nilivyonena hapo juu.
mimi ni kijana nipo kuomba ushauri juu ya biashara ya kufungua duka la spear ya vitu vya kieletronics kama ambayo...
Habari za jioni wakuu...
Ninaomba msaada kuhusu namna ya kufungua blog kwa ajili ya kuingiza kipato. Vitu gani muhimu nahitaji kuwa navyo na aina gani ya content ni nzuri?
Ahsanteni!
Wakuu kwema
Nimepewa idea ya kuwa na kiwandq kidogo cha kukamulia mafuta ya alizeti na nafaka zingine kama pamba na mbegu za maboga
Kwa mujibu wa mdau anasema inaingiza pesa nzuri sana...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoonyesha naomba kujua hivi haya mahindi mabichi ya kuchoma na kuchemsha wanayouza barabarani wanayanunua wap endapo ukiwa Dar na kwa bei gani?
Kuwa sehemu ya kuvutia wawekezaji katika wilaya au kata yako:
Wale wa mikoani wasaidieni hawa wa dar wajue fursa zilizopo mkoani kwako za kiasi cha mtaj wa kuanzia laki tano(500,000/=) mpaka...
Naendelea kuwakumbusha wapambanaji kwenye uwanja wa biashara. Usifunge biashara.
Ukiona hali ni tete tuwasiliane kwanza kwenye email: dodomadaressalaam@gmail.com
Pia, wale wenye ujuzi uliotukuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.