Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Jamani hawa watu kila siku wanajifanya wanajua trade za forex na kujifanya ndio wanafahamu zaidi. Mwengine huyu hapa na tunasubiria kusikia nani kamfanya kuunguza account.
4 Reactions
65 Replies
6K Views
Hebu tujadili makato ya Bank maana ni makubwa, binafsi nakatwa zaidi ya 100,000 kila wiki kutokana na shughuli zangu. Je serikali haioni sababu ya kuingilia hili swala?
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wana jamvi Rafiki yangu ana kampuni Ina miezi kama 8 tangu ianzishwe, imeshafanya tenda kadhaa za serikali. Kutokana na kupata tenda zinazohitaji mtaji mkubwa na yeye hana mtaji ameamua...
0 Reactions
1 Replies
293 Views
Yaani mfanyabiashara akishaonja mafanikio ya kufikia hatua flani ni ngumu sana kukubali kushuka hasa pale anapofilisika ama biashara kwenda kombo. Ni ngumu sana kumwambia aanze kuchoma mishkaki...
1 Reactions
1 Replies
461 Views
Nimesikia Serikali kwenye bajeti kuwa kodi imeondolewa/punguzwa kwenye kununua malori yenye friji ndani. Hii ni habari nzuri kwa upatikanaji wa fresh foods. Mtufanyie wepesi basi tupate dagaa...
2 Reactions
5 Replies
867 Views
Wakuu naomba kujua kama CRDB wana accept pesa za kutoka Forex, make kama nisha wahi kusikia kwamba hawa accept, Ila sina uhakika mwenye uhakika anisaidie. Naulozwa kwa ajili ya Kudepose na Ku...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Hivi TRA mnapowafungia watu maduka na offisi zao , watapata wapi pesa za kulipa hizo kodi za serekali? Maana nimepita juzi na Jana mitaa ya Buguruni nimekuta frem kibao karibia mtaa wote kule...
3 Reactions
12 Replies
893 Views
DSE watangaza certification yao itakayoanza mwezi ujao. Baada ya kuangalia content nimeona walimu watakaofundisha ni kutoka watu wenye experience kutoka vitengo vya Treasury - Bank, UTT Amis watu...
1 Reactions
3 Replies
986 Views
Kuna muda nimejaribu kufikiri kwa upana juu wahitimu wengi wa vyuo vikuu especially wale ambao wanatoka form six yani hawajawahi kuingia mtaani kujua changamoto ya utafutaji, Wanapomaliza chuo...
0 Reactions
0 Replies
484 Views
Uwekezaji nikiimanisha (investment ) ni jambo la busara kwa kila mtu sababu linatengeneza Passive income. Tukija kwenye masuala ya Hisa ama Stocks wale wanaoinvest kwa mfumo wa kupata Dividend na...
7 Reactions
10 Replies
2K Views
Threshold ya kuwasilisha Beneficial Ownership information Brela ni kuanzia shareholder mwenye 5% na mwisho ni 30/06/2022 mda ukipita faini itakuwa 100,000/= na 10,000/= kwa kila siku iliyoongezeka...
0 Reactions
2 Replies
413 Views
Nimekuja tena kwenu wana jamvi naomba msaada wa kujua zipi ni faida za kusafirisha mzigo kama full container au Loose cargo kutoka China au Nchi za Wenzetu. Moja kuhusu gharama za usafirishaji...
3 Reactions
32 Replies
8K Views
Naomba wataalamu nisaidie mawazo kijana wenu njinsi ya kubolesha hii nimeisha usajiĺi Brela.pia kama naweza pata watu kusimamia na kumeneji karibu tusaidiane.
0 Reactions
4 Replies
489 Views
Ni shida ya vijana wengi wa Taifa langu pendwa la [emoji1241] kwani watu tunasoma hadi elimu ya juu lakin bahati mbaya hatujui tunaenda soma nini baada ya kuhitimu sana sana kwa masomo mageni kama...
0 Reactions
0 Replies
442 Views
Sehemu yoyote ilipo ntafika nipo serious
2 Reactions
6 Replies
741 Views
Kwa sasa bajaji imefikia 8.4m wakati mwezi uliopita zilikuwa 7.5m Kwanini inakuwa hivi? Mwenye ujuzi tafadhali!
0 Reactions
7 Replies
899 Views
Habari Wana Jamvi! Hongereni kwa Sherehe za mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka ujao! Mimi ni mmoja wa wale wanaopenda kujua fursa kutoka maeneo mabalimbali ili kuimarisha mawazo fikra za...
2 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari wana JF Naomba Ushauri, Mimi ni Muhanga wa Kutokukaa na Pesa,ama nikipata pesa zinaisha bila kufanya kitu cha maana au kitu cha kuonekana. Nimejitahidi saana Kuweka bajeti ya Mwezi...
7 Reactions
46 Replies
5K Views
Wapendwa katika bwana … naombeni mwenye kujua sehemu ambapo wanauza vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Dar es Salaam kwa bei nafuu
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom