Wakuu hivi hii soya bean inayo uzwa madukani/ masokoni kariakoo Na kwingineko jijini Dsm inalimwa wapi?
Concern yangu ni nataka kujua kama ni original au inalimwa hapa hapa Tanzania maana...
Wana JF, natumai mko vizuri.
Naomba mwenye uzoefu na ujenzi anisaidie. Nitahitaji matofali mangapi ya sementi (BLOCK) ili kujenga nyumba hii hadi boma kuisha. Naomba kuwasilisha, KARIBU.
Wakuu habari
Nimepitia post mbalimbali za nyuma kujaribu kufahamu kuhusu biashara hii lakini sijapata kile ninachokitaka.Najua mafuta yanaweza kuwa na label au yale ambayo ni pure yaani yametoka...
*Fursa ya biashara kwa ubia (joint venture)
*
Abraar Bricks Nyumba kwa wote,
Kumejitojeza fursa ya kibiashara ambayo inahitaji active partners wa kuingia nao makubaliano ya kibiashara (joint...
Je, mafuta ya alizeti nikinunua na kuyahifadhi kwenye madumu Yale ya Lita 20 ndani ya mwaka mmoja, mafuta yanaweza kukaa bila kupoteza ubora wake?
Pia njia zipi nyingine ambazo naweza kuzitumia...
JIFUNZE MBINU HII ITABADILISHA BIASHARA YAKO MAZIMA
Hata Kama umeshajiribu kila njia ya kuongeza Mauzo na umefeli...basi hiki unachoenda kukiona ndani ya sekunde 10 zijazo kitabadilisha kila kitu...
Habari zenu wakuu, msaada wa eneo zuri kwa ajili ya kufanya biashara ya uwakala wa benki kwa hapa Iringa Mjini. Kama wanaoufahamu mji vizuri ni wapi naweza pata eneo na pakavutia hii biashara...
Habarini za mchana.
Nimewaza kufanya biashara tajwa, ya safirisha samaki kwa ndege kutoka mwanza kwenda dsm bila kutumia freezer.
Vibali vipo ila sina uzoefu na usafirishaji wa njia hii.
Je kwa...
Habari wana JF,
Leo tupeane maarifa! Ni kwa wale tu wafanya biashara au watu wenye experience na biashara kutoka kwa ndugu ama marafiki! Haijalishi ni biashara kubwa ama ndogo, weka hapa ujuzi...
Wana Iringa habarini,
Vipi ukuaji wa huu mji, mzunguko wa pesa, uchumi na hali ya kibiashara mjini hapo.
Nafikiria kufungua hardware mjini pale, ushauri na muongozo wenu utaniokoa.
Kamwene vanyalukolo
Binti wa miaka 20 anatafuta KAZI yeyote iwe ndani ya mkoa WA iringa.
Original yake anatokea isimani
Elimu yake ni std7
Yupo very social and justice
Life style yake ni...
Habari za asubuhi nyote, Sina mengi ila nauliza ushuru wa pikipiki ni kiasi gani bandarini Kama ntasafirisha pikipiki toka China kwa gharama za ununuzi pamoja na usafiri kwa pamoja zimegota...
Kipindi cha nyuma kidogo Halotel walikua na bando ya gb10 kuanzia saa sita usiku hadi saa kumi na mbili alfajiri. Na sio Halotel tu, hata mitandao mingine ilikua na bando za usiku pia ambazo...
By syed Amjad Shah
Jammu:
IT was during the COVID peak when Sana Gupta was confined to the four walls of her residence when she decided to start her own entrepreneurial venture.
COVID lockdown...
GSM ilikuwa kampuni ambayo watu wengi atuijui zaidi ya mo. Na Azam lakini kwa sasa GSM imeshika kasi kubwa kwenye kujitangaza wangekuwa sasa na washauri wazuri ndio kipindi Chao sasa kuingia...
Wanajamvi habari zenu na poleni na majukumu ya kujenga taifa.....
Nimekuwa nikiwaza kuwa ni kweli vita vya urusi na ukrane ndio sababu tu ya kushuka kwa uchumi kiasi hiki, yaani vita ndiyo...
Habari wakuu ninashida ya kufundishwa jinsi ya kutengeneza kamba mbali mbali mwenye ujuzi naomba unijuze au kama unajamaa yako anaujuzi naomba uniunganishe nae,Mimi nipo dar es salaam,,,hata kama...
Ni kosa kubwa sana chawa wa Samia wanalifanya kwa kutokumwambia ukweli kuwa nchi inapitia wakati mgumu sana lkakini walivyo wanajikuta wanamsingizia Hayati Magufuli kila kitu lakini ukweli ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.