Habari ya Jumanne ya leo family, mtandao naotumia ni airtel naomba msaada kwa mwenye kujua bando lenye uhimili hadi huko Instagram
Imekuwa changamoto kwangu 5000,10000 si kitu ndani ya bado la...
Biashara ni Duka la Jumla spare za pikipiki aina zote
Location: Dodoma mjini katikati ya jiji
Kama kuna mwenye kiwango hiko cha pesa na hajui wapi pa kuwekeza aje DM tuingie ubia
Niko serias.
Je, ipo siku ulishawahi kuishi chini ya dola moja? Maisha yanaendaje hapo?
Unampa ushauri gani mtu anayepitia kipindi kigumu hivyo?
Afanye nini ili aweze kutoka hapo ajikwamue maisha yake na...
Wakuu samahani nataka nitafute madogo wawe wana niuzia mayai ya kuchemshwa yaani wale wanaozungusha mitaani.
Najua kuna sehemu naweza pata trei kwa 7000 (bei ya jumla), Mimi najumua alafu...
Habari,
Mchambuzi maarufu wa fedha ya kidigitali ameendelea kuwekeza kwenye sarafu ya Shibu In ($SHIB) japo sarafu ya $DOGE ikitegemewa kuanza kufanya vizuri baada ya hivi karibuni kupata ridhaa...
Katika hii Biashara ya Luninga mara nyingi kipato na faida ya TV husika inategemea Matangazo (wafadhili kufadhili kipindi husika) au Subscription kwenye Pay TV...
Sasa hawa ndugu zangu naona siku...
Wakuu, habari zenu,
Samahan mimi nipo Mwanza nina juice bar naona hapa biashara kidogo imekua ngumu nawaza kuhamia mji mmoja kati ya Katoro au Kahama,
Naombeni ushauri kwa wenyeji wapi...
Wengi wetu huwa tuna vipaji ila hatujui kama tunavyo au huwa ni wavivu kufikiria kuhusu jambo gani tunaloweza kufanya tukafanikiwa kwa mtaji mdogo au bila hata mtaji. Hapa nnazungumzia unaweza...
Wale mnaoishi Kahama na viunga vyake naombeni msaada wa maoni yenu, nina mtaji wa milioni 1 naombeni kufahamishwa biashara ya kufanya ili na mimi niweze kuishi mjini vizuri. Natanguliza shukrani
Kwa kweli hawa watafsiri wa kitaaani wana uongo sana sema tu wamechangamka. Ingependeza sana wasomi wangekuwa wanatafsiri hizi movie na ikiwezekana wawe kundi na watafsiri kiuhusika kama...
Habari jamani naomba ushauri na uzoefu kidogo kuhusu biashara ya Bolt na uber.
Changamoto
Faida zake
Gari gani ya kutumia
Maeneo mazuri ya kufanyia biashara.
Nitashukuru sana kwa maoni mtayonipa.
Salaam wakuu...
Nipo Kilimanjaro wilaya ya Mwanga. Eneo nilipo Lita 1 ya mafuta ya kupikia ni Tsh7000. Kama uko tayari naomba tuwasiliane ili unitumie mzigo nikiuza nakutumia pesa.
Njoo PM...
Kwenye mitindo na fashion hasa kweny sekta ya mavazi sehem ambayo ina soko la bidhaa za mitindo ni mavazi hasa Kwa upande wa mavazi ya wanawake .kiasili wanaume tupo radhi hat kuw na jeans moj au...
Poleni kwa majukumu ya kila siku, ni matumaini kila mmoja wenu ni Mzima wa afya tele na Mungu aendelee kubariki uzima huo ili kufikia malengo na majukumu ya kila siku.
Leo nataka ni share nanyi...
Habari za saa hizi wanachama wa jukwaa la biashara na ujasiriamali.
Nataka kufanya biashara ya kuuza maharage Tandika - dabo kibini ambapo ndipo lilipo soko la vyakula.
Mtaji wangu si mkubwa...
Habar waungwana naomba kufahamishwa/kujua utofauti uliopo Kati ya coin na token katika ulimwengu wa cryotocurrency, na Tabia zake na zipi na me Kati ya token na coin ipi Ni best for cryotocurrency...
Habar wana JF ,
Actually sijawahi kuelewa vigezo gani vinatumika kwa account yako ya bank kuweza kugenerate control nø , je huu mfumo ni wa SMT na taasisi zake tu??
#Je kama ni Private companies...
KWA FAIDA YA WENGI.
Haya makampun yanayojinasibu kuwa uwekeze kiasi...... ili upate faida kwa lisaa, siku, na unakuta % ni kubwa sana ni WAONGO kwa 100%.
WANAWEZAJE KULIPA?
Miaka ya nyuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.