Kama kuna mtu anaweza kunisaidoa jinsi ya kupata bidhaa za supermarket saada, Nilikuwa nahitaji kuaanza hii biashara kwa kutafuta tenda katika supermarket. 0678 36 77 07
Wanabodi,
Nilihudhuria hii eventi
Mshindi wa kwanza wa shindano la “STARTUPPER OF THE YEAR CHALLENGE BY TOTALENERGIES, Innocent Sule (mwenye Rasta ambaye picha yake pia inaonekana ukutani) wa...
Habari Wakubwa,
Mimi ni Kijana ambae nimeamua kuanza kujiajiri,nimefanikiwa kupata hela ya kununua bodaboda boxer ambayo nitaendesha mwenyewe.
Naombeni ushauri wowote Au namna ya kuendesha...
Habari zenu wakuu wangu?
Natumaini ni wazima na mnaendelea na majukumu yetu ya kila siku.
Mada kuu ni kama unavyo isoma hapo
Teknology kwa maisha ya sasa imekuwa sana, kiasi kwamba hakuna Taifa...
Kipindi cha corona China kila kitu kilisimama na hali ilikua tete sana na biashara nyingi zilikwama.
Na kwa upande wa aliexpress na alibaba na aliexpress pia biashara zilikwama kabisa kukawa...
Naomba kujuzwa kuhusu izi gharama za uagizaji befoward ndio izo zinazoonekana kwenye bidhaa pekee au itaghalimu pesa nyingine adi ndinga inaingia mkononi nisije kuagiza kichwakichwa ikaozea bandarini.
Kama mada Inaavyojieleza nia yangu nikuona kama gesi yetu inaweza kutupunguzia makali kiasi gani kulinganisha na nishati ya mafuta.
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Baada ya kesho kua natakiwa kusafiri ningependa mchango wako wa mawazo katika hili!
Majuzi nimeongea na wateja wanne jana wamekuja wawili mmoja alipowaona akaahidi atafika Leo asubui kuwachukua...
Habari JF?
Naomba tufahamishane kuhusu hili suala?
Mfano nimekopa Sh laki 5 pale NMB branch Ya Igoma, baadae nikashindwa kurejesha mkopo wao wakaja wakabeba dhamana.
Je, Taarifa zangu za...
Habari wadau puppy pure german shepherd yupo sokoni ana umri wa miezi 4 amepata chanjo zote. Naweka picha za zake na wazazi wake. Kwa mawasiliano zaidi WhatsApp au piga 0744-914337.
Wanajamvi habarini ya mchana wa Leo, samahani nauliza mwenye ufahamu au kujua hii Biashara maana nimekuwa nikikutana nayo mara kwa mara,ni jana tu nikakutana na stori ya tajiri mmoja hapa Tabzania...
1. Dhahabu - dhahabu kilo moja thamani yake ni zaidi ya shilingi milioni 100 za kitanzania. Dhahabu haiwezi kushuka thamani kwasababu i) haipatikani kiurahisi ii) ina matumizi mengi iii) ipo tangu...
Siku hizi watu wengi sana kinachowakwamisha sio kwamba hawana mitaji, wengi mitaji wanayo ila shida ni 1 tu inakuja kwenye suala la fremu wapi atapata pesa ya pango la chumba cha yeye kufanya...
Ndugu zangu wana JF,
Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani ( New York ) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza...
Natumai wote mnaendelea poa na miangaiko ya hapa na pale.
Wataalam wa mambo wanasema umri wa kufanya makosa na kujifunza vitu mbali mbali ni ule ambao bado mtu yupo kijana maana ni umri ambao...