Habari Wakuu
Wanajamvi Leo nataka nijuzwe kuhusu hii biashara ya chips.
Jee ni inafaida kama nitapata location nzuri..
Pia Bei ya kabati la kioo kubwa la kuweka chips na Kuku linauzwa bei...
Wasalaam wakuu,,,
UTANGULIZI (kama mvivu sio lazima maelezo aya)
Mimi ni kibarua ktk secta flan ya kawaida sana,sasa nina likizo ya mwezi na nusu,nina ka akiba kangu kama 1m ambaya mwanzo...
Igweeeee!!!...Naamini wote humu ndani mko salama. Kuna hii biashara ya kuuza mchanga ambayo watu wameanza kuvutiwa nayo ambapo wananunua mashamba yenye mchanga na kuanza kuuza mchanga. Kwa ambao...
Habari za majukumu!
Nakusalimu popote pale ulipo unaposoma waraka huu.
Jamani Mimi ni mjasiliamali mdogo kwa sasa! Na hapa Nina bata wakubwa 33 majike na madume.
Naomba kujua wapi naweza...
Habari za wakati huu;
Tunaishi hapa duniani na maisha lazima yaendelee.Leo nimeona nilete mjadala kidogo kuhusu maisha yetu.Mjadala huu unahusu uhusiano uliopo kati ya malengo yako na matendo...
Kwa mahitaji ya kujengewa banda bora la mifugo karbu Gejo Farm tutakujengea kwa gharama nafuu na kwa kuzingatia upatikanaji wa material kwa eneo husika
Piga simu [emoji338]0744168798 au whatsapp...
Leo nimelazimika kufananisha bei ya mafuta ambapo bei ya Petroli ilikuwa 2,273.08 na bei ya dizeli ilikuwa 2,145.76 hiyo ni kwa mwezi mei 2021 ambapo sasa bei imeongezeka kwa 38% kwa bei ya...
Habari mabaharia(watafutaji)
Naomba kujuzwa chimbo la Dildo kwa hapa dar ni wapi nmeshapata wateja wengi bado mzigo tu
Fanyeni upesi wapendwa nhitaji sana hasa ndefu na nene
Hbar za wakati huu.Ningependa kujua wapi wananunua madini ya graphite au bunyu kwa kilo au tani nyingi nyingi au ikiwezekana shamba zima.
Nawasilisha.
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums...
Habarini wana jamii forum, Natumai mko poa na tunaendelea salama na majukumu ya kujenga Taifa.
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 27 mwenye elimu ya ngazi ya ordinary diploma in...
Kumekua na misemo kwamba maisha ni haya haya
Jamani tusirizike na halizetu za chini, tupige KAZI
Tutafute hela,tupambane.
Wanangu tusibweteke kwamba maisha ni haya haya
KINANGE App ni online e-commerce platform inayokuwezesha wewe mfanyabiashara kulist bidhaa zako buree na kupata wateja wengi. Kinange App sasa Ina wateja wengi lakini Haina bidhaa nyingi...
Biashara ya shule za watoto zinaingiza kipato kikubwa sana. Inategemea na centre ukiyopo.
Karibu tuwekeze kwa wenye mtaji.
Nyumba ipo tena mazingiza yanayovutia sana na ni eneo ambalo watoto...
Kiwanja kinauzwa kina hati safi chamazi kanisani(2643Sqm), mtaa wa mkondogwa less than a kilometer kutoka barabara ya lami
Price 50,000,000=tsh....Negotiable!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.