Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kudadadeeeki walahi ayaaaaa ukisikia kulamba asali ni huko zenji aiseeeee ina maana vita vya ukraine effects zake hazifiki zenji? hivi kule wamachinga walitimuliwa? Sitashangaa kusikia hata...
14 Reactions
174 Replies
13K Views
Kama mnakumbuka 2001 kampuni ya apple kwa mara ya kwanza ilizindua ipod ambayo ilileta ushawishi mkubwa ukilinganisha zile vifaa vya cd vya kutembea navyo na kaseti kwa jina walkman. Ipod ilikuja...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hapa naweka baadhi tu ya vitu vilivgopanda Bei, bila kujali Vita ya Urusi. Vingine vilipanda tangu mwaka Jana. 1. Kuunganisha umeme. 2. Tozo za kutuma na kutoa hela 3. Mafuta ya kula 4. Umeme wa...
14 Reactions
41 Replies
4K Views
Oya wahuni mambo ni aje !? Mie leo naandika kihuni unajua kwanini? Kwakua nimeamua kuingia mtaani kuzisaka mia Mia, jero jero na buku buku. Oya wakuu nimejifunza kitu kimoja kwa maisha ya mtaani...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
12:10pm Jun 5 i have an idea, am about to register thigs NGO oes by the name BANS, dealing with development projects like helping youth to understand their priority, artists concerning the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi, natumaini mu wazima katika harakati za hapa na pale za kusaka mkate. MIMI ni muajiriwa mpya kada ya ualimu msingi. Naombeni kusaidiwa abc kuhusu ni vipi nitapata MKOPO wa kifedha...
3 Reactions
84 Replies
13K Views
Habarini Wana Jambo hili muhimu. Naombeni msaada wa kupata Muongozo wanamna ya jifungua au kuanzisha CHUO kwa kozi za afya ili nijue taratibu na Sheria za uanzishaji wa kozi hizo.
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Pato la Taifa (GDP) ni thamani ya soko ya bidhaa na huduma zote za mwisho kutoka kwa taifa katika mwaka fulani. Nchi za Afrika zimepangwa kulingana na data kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hamjambo marafiki, natumain mji wazima Leo hii nineamua kuchukua fursa hii kutoa mwingozo kiaina kwa yeyote ambaye anavutiwa na wazo la kumiliki blog. Blog Ni nini ... Blog Ni kurasa za taarifa...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu habari, Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mtumba ndani ya vibanda vilivyopo ndani ya soko la Ubungo/Mawasiliano. Naomba kujua kunamzunguko wa wateja?
3 Reactions
4 Replies
996 Views
Wakuu heri? Kila Kona ya tanzania ni vilio watu wanalia hali ngumu, lakini katika wakati huu kuna wachache ambao kwao wanapiga mpunga kuliko kipindi chochote kile. Miongoni mwanufaika wakubwa wa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba kwa yeyote anayefahamu kuhusu biashara ya matunda katika nyanja zifuatazo anisaidie. Mtaji wa chini kabisa kupata mzigo Aina za matunda yanayopendwa zaidi Maeneo ambayo nikifungua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani yeyote mwenye uzoefu wa biashara ya kuchora katuni naomba anipe Uzoefu wake. Mimi nimewaza kwa kuanza kwa kuchora katuni kwenye A4 papers na kuziunganisha na kuzitembeza kwenye mikusanyiko...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Habarin wana forum mi ni mkazi wa kigoma wilaya ya kasulu mjini kwa anayefahamu gharama ya mashine ya kusaga kwa kipindi hiki ipoje na kuhusu faida pamoja na hasara, na gharama za kuvuta umeme
3 Reactions
1 Replies
2K Views
NAHITAJI BUSINESS PARTINER Hallow habari wana JamiiForums Naitwa Mr Ryoba Wantora, mjasiliamali na mmliki wa kampuni ya Rioson Wood Products iliopo Iringa, inayohusika na uzalishaji na...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Hali gani?hakika namshukuru Mungu sana, nimeangaika muda mrefu kutafuta mtaji wa kuanza biashara yangu ambayo nimekuwa nikii dream,naamini si kwa nguvu zangu. Nimefanikiwa kukusanya kiasi cha...
13 Reactions
45 Replies
2K Views
Habari wana Jf nimeamua kufungua daycare baada ya kuhitimu diploma ya childhood education nimeamua nijiajiri,hivyo ninaomba mwenye uelewa wa taratibu za kufuata anielekeze tafadhali.Ushauri
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wakuu,samahani Ninaomba kwa yoyote anaekifahamu kiwanda cha vyombo vya glass yaani vya udongo kilichopo maeneo ya kuanzia Mbagala, yaani iyo njia ya kuelekea Vikindu mpaka...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Hello, Natafuta stationary au duka ambalo linauza hizi kamba za kuning'inizia vitambulisho vya staff, na ambazo zinavutika na kurudi (Retractable reels) kama pichani. Kama unazo kindly nicheki PM...
0 Reactions
0 Replies
292 Views
Back
Top Bottom