Salamu Wakuu, poleni na kazi na majukumu ya kila siku.
Napenda kufahamu umuhimu wa Kulipa au kununua kitu chochote kwa kutumia namba ya biashara yaani TIN NUMBER.
Asanteni.
Ni wazi kabisa kupanda kwa bei ya mafuta ni makampuni yanayoagiza mafuta yameamua kupandisha bei wala suala hili halihusiani na vita vya Ukraine ni muhimu kwa serikali kuangalia huu mfumo wa...
Habari. Mimi nina mpango wa kuhamia Iringa. Ni jinsi ya kiume. Natamani sana kufahamiana na wenyeji, mtu mchakarikaji na mwenye maono na mwenye hofu ya Mungu. Sijali jinsi wala dini. Yoyote...
Wana jukwaa,
Naomba maelezo ya namna ya kuwa wakala wa M-PESA pamoja na uuzaji wa luku.
Ikiwezekana kama kuna mtu anayehusika moja kwa moja naomba kumuona. Nipo Dar es Salaam
Nilipata kuulizia...
Tajiri namba moja Duniani kwa paper assets,mmarekani na mzaliwa wa South Africa bwana Elon Musk ameelezea matamanio yake ya kuinunua kampuni kongwe ya kutengeneza vinywaji baridi ya coca cola...
Dah jamani hii vita ya ukraine imetukalia vibaya sisi tu au hawa jirani zetu wao wanachimba mafuta? si wanapitisha mafuta hapahapa bandarini kwetu jamani?
Tunaongelea vita lakini hawa jamaa wa...
Mambo vipi wana JF hope wote mko poa, ebwanaa najua katika maisha ukipata kuelewa kitu na unapo fundisha wenzako ndio unazidi kupata uelewa mkubwa zaidi na zaidi.
Sasa mimi ni kijana nina miaka...
Ni wachache wanaweza kuelewa kuhusu kupanda na kushuka kwa kwenye mifumo hii niliyo taja kwenye kichwa cha habari.
Kuna hatari ya watu kushuka kiuchumi na wengine kupanda haraka.
Kazi kwenu...
Ubadilishanaji mkubwa wa kifedha unaokua kwa kasi zaidi ulimwenguni hauna ofisi kuu au anwani rasmi, hauna leseni katika nchi ambako hufanya kazi na ina mtendaji mkuu ambaye hadi hivi majuzi...
Nimekuwa nikiwa na uthubutu wa kuanzisha vibiashara vidogo vidogo tangu nimalize chuo na kukosa ajira.
Natamani nifanye kabiashara hata ka mtaji mdogo sana lakini sijui akili yangu ,imefocus...
Habari wakuu!
Kuendesha biashara inahitaji akili nyingi sana, huu uzi ni maalum kwa watu ambao wamewahi kuanzisha biashara na zikafanikiwa.
Katika biashara kuna mtaji (Fungu la pesa la...
Bei za Cryptocurrency zimeshuka katika miezi ya hivi karibuni, na Bitcoin (BTC) ikipoteza zaidi ya 35% tangu tarehe 11 November 2021.
Licha ya kushuka kwa kasi kwa wiki hii, Bitcoin bado iko juu...
Solana ni smart contract blockchain ambayo inatumia Proof of Stake(POS) mechanism kama zilivyo etherium na Cardano.
Isipokuwa Solana imeongezewa mechanism/protocal nyingine ambayo inaitwa Proof...
Bitcoin ni fedha ya kidigitali ambayo huondoa uhitaji wa waamuzi na wasimamizi wa fedha kama benki na serikali na badala yake kutumia mtandao wa kompyuta zenye uwezo wa kuthibisha manunuzi moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.