Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hii sentensi ilikuwa inatumika sana enzi fulani. Lakini kwa hali inavyokwenda katika Taifa letu, Kuna watu wachache wananufaika na wengi wanahangaika. Wafanyakazi wa public sekta wamebaki...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
Habari zenu wakuu, Nilikuwa naulizia kama kuna kituo au stend ya basi linalokuja Mbeya hapo kariakoo ili iwe rahisi kutuma bidhaa kwenda Mbeya. Mizigo ni kava za simu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
HABARI WANA JAMVI Nahitaji Ushauri, natamani nianzishe biashara ya Jumla kuuza kitu cha aina moja,mbili au tatu tu,sasa ninajaribu kuangalia kati ya Cement, Mafuta ya kupikia au Sukari; etc...
3 Reactions
22 Replies
9K Views
Dar ni sehemu ninayowambia watu wengi sana kuwa kama atashindwa kutafuta maisha eneo hili basi ana safari ndefu sana ya kufanikiwa, ni sehemu ambayo biashara nyingi zinakubali na zinakutoa kwa...
49 Reactions
95 Replies
40K Views
Sema kweli biashara ni vita kamili sema watu wengi wanadhani biashara ni fair play na matokeo yake wanapigwa na kitu kizito kichwani! Huu ni uzi maalumu kushare ni mbinu gani unatumia ili...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wadau; Changamoto: Leo naona niwashirikishe watu FURSA kidogo.Fursa hii sio mpya ila ni ya kipekee.Tunajua kwamba siku hizi mtandaoni kuna mambo mengi sana ambayo mtu anaweza...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu naomba mrejesho kuwa na tangazo ninalolipia Instagram ikoje maslahi??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SME ni program ambayo itakulipa endapo uta invest, vipi wadau kunaukweli? Maana tusije pigwa
0 Reactions
7 Replies
670 Views
Natafuta mawe ya quartz, iwe clear. mwenye nayo aje inbox
2 Reactions
1 Replies
419 Views
Habari wajasiriamali wenzangu,naomba msaada tafadhali kwa hivi vifungashio hapo chini kama nitaondoa hizo label na kuunda yangu na kubandika,ni bidhaa gani haswa naweza kufungasha na nikauza na...
0 Reactions
7 Replies
751 Views
  • Closed
Habari wanandugu wa jamii forum Leo nimeona niwakilishe biashara nayoifanya baada ya kutoka chuoni na kukosa kazi mtaani, niseme tu mapame hii sio (quick scheme) ya kuwa tajiri mapema,ama kuwa na...
4 Reactions
50 Replies
10K Views
Habari ya leo wakuu, poleni na mihangaiko ya kila siku,leo nna vitu 7 natamani kuwashirikisha vijana wenzangu wanao hitaji kujikwamua katika hari ya maisha duni tuliyo nayo. katika mambo haya...
18 Reactions
42 Replies
14K Views
Samahani wanaJf nilikua nahitaji compressor yakupasulia kokoto model XAS 96 Kama kunamtu anajua sehemu naweza kupata msaada please Specifications zipo apa kwenye attachment
0 Reactions
2 Replies
381 Views
Habari wanajamii Naomba kujuzwa bei ya kioo cha android screen lcd inch 10, kwn inaonekana kama touch imekufa. Hii ni kutokana na kutofanya chochote ukikigusa, ila ukitumia mouse, ipo vema. Naomba...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
kama mnavofahamu hawa watu na vikundi vingine mwanazoni viliingia mijini kama dar na baada ya kushtukiwa naona wameamua kujikita mkoani kwa wasio na uelewa. Hiki kikundi kinaingiza vijana kwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii kampuni ilianza vizuri hasa safari za Dom-Dar-Dom....wakawa na huduma nzuri sana....wakapata wateja wengi ambao walihama kutoka makampuni mengine makongwe kama Shabiby, ABC etc..kila kitu...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Naomba kuuliza kitu am interested in Foreign exchange or Forex vipi kwa humu naeza pata wanao support harakati za kijipatia kipato ...???
1 Reactions
5 Replies
557 Views
Kampuni ya META inayomiliki whatsapp, facebook pamoja na Instagram, inatarajiwa kuanzisha duka lake la kwanza kabisa ambapo watauza bidhaa zao halisi mbali mbali. Bidhaa kama quest 2, meta portal...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu Kama title inavyoeleza hapo juu, nilikuwa nafanya biashara ya duka la vyakula ambapo mtaji wangu ulikuwa milioni 50. Sasa nimefilisika mpaka kufikia mtaji kubaki milioni 15. Sasa...
17 Reactions
84 Replies
13K Views
Back
Top Bottom