Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Je unataka kuwa kama MO ?? Fuata hatua hizi 7 utafika alipo MO.. 1. Chagua wazo bora la kibiashara. Wazo bora la kibiashara ndilo litakalo kufanya kuwa mfanyabiashara mkubwa. Mara nyingi...
5 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari, Iko hivi: Nina gari yangu Toyota Wish ambayo nimekuwa nikiitumia katika biashara ya Taxi mtandao( Uber,Bolt,Ping,Tantaxi,Little ride). Nilipata changamoto ya ghafla ya kifamilia na...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Maisha ya zamani yalikuwa mazuri kwa sababu kila kitu kilikuwa na thamani. Ila tokea simu janja kuwepo naona imebeba vitu vingi mpaka sasa na inapoelekea itaimaliza laptop kwa kazi nyingi.
0 Reactions
1 Replies
454 Views
Habari wana economics? Kuna ishu moja nataka ku share na nyie kwa mtakaoona inafaa mnaweza fanyia kazi. Nimetonywa na mdau wangu alieko kitengo flani cha Polisi huku DSM, kwamba wanakaribia...
9 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu, nina ndoto za kufungua kampuni ambayo itakuwa ina deal na Mambo mengi, naomba kujua vitu vya muhimu ambavyo natakiwa kuviandaa au kujiandaa navyo.
4 Reactions
17 Replies
6K Views
Wadau naulizia taasisi gani au benki gani inayotoa mikopo ya riba nafuu kwa wajasiliamali au wafanyabiashara wa kati
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa lugha moja ndugu zangu. Katika pilika za kusaka maisha nimefungua biashara yangu ndogo duka la mangi Ila changamoto inayonisumbua ni Hawa wakaguzi wa vileo mtaani. Naombeni msaada...
0 Reactions
4 Replies
728 Views
Nnashida na dalali wa kazi dar es salaam. Namba zangu n 0744971153
1 Reactions
2 Replies
674 Views
Wadau Naomba Ufafanuzi wa Kitalaamu juu ya Bati zinazotengenezwa na Kiwanda cha ALAF. BATI zinazotengenezwa na Kiwanda hicho BEI yake imekuwa Kubwa sana Kuliko Viwanda Vingine vya MABATI. Je Ni...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari za leo wanaJF Mimi swali langu la leo nalielekeza kwenye sector ya mikopo midogo midogo maarufu kama microfinance. 1. Je kwa Tanzania tuna aina gani za microfinance institutions? N 2. Ni...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, naomba kwa yeyote mwenye kujua chimbo/sehemu panapouzwa vifaa/spare za pikipiki za mchina Kama SAN LG, HAOUJUE NA SINORAY kwa bei ya jumla na bei rafiki tafadhari naomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu,nauliza naweza kutoa pesa niliyotumiwa western union Kwa namba ya nida Tu bila kitambulisho chenyewe kuwa nacho mkononi? Shukran
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Hesabu hazidanganyi.. Mwaka 2011 bei ya Bitcoin ilikua around 1usd per coin. Sasa tuchukulie nchi ya Tz ingetoa walau 200mil na kununua bitcoin (badala ya kumnunulia DED au DC v8 la kutembelea)...
10 Reactions
62 Replies
6K Views
Kumekua na malalamiko mengi kuhusu huduma mbaya kwa wateja hasa kutoka kwa mashirika ya Umma, na leo nimekutana na hili, ninafikiri kushare hizi experience na kama wahusika wanaona basi iwasadie...
6 Reactions
172 Replies
19K Views
Kwa wale ambao wanahitaji mikopo au wanaofanya shughuli zao kwa kutegemea facilities za Mabenki kwa kweli hili jipu linahitajika kuangaliwa upya. Kwa hapa nchini ukiangalia Prime Lending Rates...
10 Reactions
200 Replies
21K Views
Msaada ndugu Mtaji wa hisa Ulioidhinishwa huhesabiwaje wakati wa kufungua kampuni? How is Authorised share capital calculated?
1 Reactions
7 Replies
706 Views
Katika ulimwengu wa biashara, ni kazi ngumu kuifanya biashara idumu na kukua kuliko kuianzisha hata kama ulianzisha kwa mabilioni ya pesa. Biashara nyingi huanzishwa kila siku na biashara nyingi...
6 Reactions
27 Replies
6K Views
Wadau naomba Msaada wa Ushauri juu ya Biashara ya MPESA 1. Mtaji kwa kila Mtandao 2. Bidhaa za kuchanganya na Mpesa 3. Faida na Hasara 4. Changamoto zake
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari ndugu zanguni, naombeni msaaada wa kiufahamu hivi ikiwa unataka kuhamisha biashara yako kutoka mtaa mmoja kwenda mtaa mwingine lakini biashara ni ileile na ni ndani ya wilaya na mkoa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom