Habari.
Naomba kufahamishwa kwa uchache juu ya Demand ya bidhaa tajwa,
Naomba kufahamishwa machache juu fursa ya bidhaa hizi zikitokea Dar es salaam.
1. Usafiri na gharama kwa njia ya Meli au...
EFD Machine inapotuma message ‘EFD BLOCKED TOO MANY UNSENT MESSAGES! Inasababishwa na nini na inabidi kufanyaje ili kuendelea kutumia kama kawaida na kuweza kuendelea kutuma Daily reports?
Greetings from Dar es salaam in Tanzania.
My fellow Tanzanian who for the most part of your lives you have been abroad, i am hereby introducing to you this huge abandoned project at Kigamboni. We...
Distributors
Business opportunity
As said, Dutch Farm International operates a global network of Distributors to market our products. We are constantly seeking opportunities to expand our business...
WADAU wa uzalishaji wa mazao ya Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar wamesema ukosefu wa taaluma na mbinu sahihi za kibiashara bado ni kikwazo kikuu kinachokwamisha wakulima wengi nchini kushindwa...
PICHA GALA III
Ni Platform ambayo ilianzishwa mwaka 2020 kwa lengo la kuwakutanisha vijana wanaofanya vitu/ kazi, Career na Vipaji tofauti tofaut kwa lengo la kusocialize, kupeana skills na...
[emoji271]Group hili nikwa wakulima WA miti ya mitiki.
[emoji271]Lengo Nikupeana ushauri juu ya upandaji na uvunaji pamoja na changamoto mbali mbali zinazolenga maswala ya miti.
[emoji271]Pia...
Kuna wimbi kubwa la vijana wanahangaika ni kudevelope ma idea ya project kubwa kubwa za kidigitali na ki technolojia mfano.
1. Sijui app ya alarm sjui ya nyumbani ukiwa kazini mtu akifungua...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Nahitaji kujua toka kwa wafanyabiashara wa pikipiki au watu walionunua pikipiki tajwa siku za karibuni kwa Dar bei ni ngapi? Pia namba kufahamishwa ni idadi...
Wasalaam ndugu zangu.
Kuna hii mikopo inayotolewa kwa njia ya mitandao nadhani wengi wao tumekopa huko. Sababu wana ushawishi mkubwa mnoo wa matangazo yao
M-pawa nilianza kukopa tangu nipo chuo...
Habari, Kuna mradi wa viwanja vya Bei nafuu kigamboni, Moja ya sehem zinazokua kwa Kasi sana. Kuna kampuni ya property investors company Ltd Ina mradi mkubwa wa viwanja Mbutu na Cheka Kigamboni...
Greetings JF massive!
Kama kawaida leo nimepata time nataka nikuonyeshe jinsi vile unavyoweza kufanya kazi kama Online Freelancer na kutengeneza kipato kizuri tu kwakutumia Skills ulizonazo +...
Mimi ni mfanya biashara wa mambo ya utalii katika malazi na ushauri wa biashara katika mambo yanayo husiana na uwekezaji katika biashara ya utalii. Nina uzoefu mkubwa katika biashara hii na ni...
Wasalam wanajukwaa. Mimi ni muajiriwa nimejichanga nikapata huo mtaji, nilikuwa naomba ushauri na namna ya kuanzisha biashara husiku hasa kwa Dar. Asanteni
Wengi wanatamani kumiliki biashara kubwa kubwa, lakini mwisho wa siku wanakuwa ni watu wa kutamani tu, wakianzisha biashara kesho watafunga na wataamia nyingine na mwisho wa siku hakuna biashara...
Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu wa biashara inayohusisha bidhaa kutoka nchi moja na nyingine mfano kutoka Kenya kuja Tanzania kwa biashara ndogo ndogo za bidhaa Kama vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.