Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Wakuu nimebangaiza nimefanikiwa kuweka Milioni 35 nataka kuingia katika biashara Kariakoo, nifanye biashara gani? Michango ya wadau Hayo mambo ya kununua nafaka na kuzitunza store...
13 Reactions
116 Replies
28K Views
Jamani mimi niliagiza mzigo kikuu nawanasema upo tayari Dar muda wowote utatumwa mkoani niliko. Ila naona kimya hadi saizi. Anaejua anielekeze nifafanyaje
1 Reactions
8 Replies
870 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Nimevutiwa sana kufanya biashara ya kuuza mkaa, ambayo kwa kifupi nahitaji kuchoma tanuri mwenyewe...
3 Reactions
12 Replies
16K Views
Mwongozo huu unaweza kutumika kwa aina nyingi za biashara lakini kwa leo nitajikita katika katika biashara ya Independent Consultant/Consultant/Mshauri Mwelekezi Consultant ni mtu...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau wa JF, Naomba kuuliza eti control number kwa ajili ya kulipia ankara huwa ina expire ndani ya muda gani?
0 Reactions
23 Replies
12K Views
Wakuu hiki kifaa naomba kujua kazi yake kuuna bei yake pia ikiwezekana.. Naweza kuipata maduka gani?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu habarini, Hapa ni nyumbani naomba tupeane uzoefu. Binafsi nipo na ofisi ya Uwakala wa mitandao ya simu na Banks kama wakala wao. Tatizo nalokutana nalo ni chuma ulete au sijui ni kiini...
6 Reactions
21 Replies
4K Views
Wadau habari za muda. Naomba kwa mwenye uzoefu ama ufahamu wa kina kuhusiana na hii Biashara ya Air BnB. Naomba kujua faida zake, changamoto zake pamoja na mahitaji gani muhimu ili kuweza...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Biashara ni mchezo wa kubahatisha ni mchezo ambao hauna Ninja, yeyote bahati itaemdondokea ndio mshindi,Hiyo ndio biashara sasa. Watu wengi tunapofungua biashara tunakua na idea zetu vichwani...
71 Reactions
55 Replies
9K Views
Hello Team Magari ,nimeangalia ushuru wa hizi tipper duu ushuru wa Scania ni balaa
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndio hivo bhan
2 Reactions
8 Replies
971 Views
Jana nikapost kuhusu watu ambao wamewekeza kwenye BE FORWARD NOW ili kuhakikisha kama kweli wananufaika au lah...! Kuna raia wamezomea, wengine wakasema dogo utatapeliwa, n.k ila kuna akili...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwako Mwananchi, Nchini kwetu kumekua na migogoro mingi au usumbufu mwingi wa masuala ya ARDHI, Moja ya sababu inayochangia migogoro mingi ya ardhi Nchini ni kununua eneo la Ardhi kimazoea au...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu viongozi.. Natumai ni wazima wa afya ! Naomba kufaham mambo ya kuzingatia kabla ya kuacha kazi na kujiajir mwenyew ili nipate uvumbuzi kutoka kwenu Nawasilisha naomba msaada wenu[emoji847]
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimeshapokea ela ya kazi yangu niliyoifanya ndani siku 13,leo advance ya laki 2 tayari imeanguka.. Apa najifkiria nikaimalizie wapi usiku leo.. Cha kwanza elfu 50 naenda kuitoa sadaka...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za kazi, hivi mu akitaka kufanya biashara ya ngozi ya ng'ombe mbichi kwa Tanzania kwenda nje ya nchi inawezakana? Upatikanaji wake na bei zake zikoje? Natanguliza shukrani sana. Naomba...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Nimejikusanya kiasi cha kupata laki nane, kazi kibarua (dayworker) kwa sasa nimeona kujiajiri ni vena Sana. Sasa nauliza je kwa ongezeko kubwa la vibanda vya mobile money je itafaa kupambana...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Habarini za wakati leo, nimekutana na mkasa ulioniacha mdomo wazi. Siku mbili nyuma niliagiza mzigo kutoka China na nikasafirisha na kampuni moja kimsingi ilikuwa ni mara ya kwanza kuwatumia...
18 Reactions
66 Replies
5K Views
Tokea vizazi na vizazi Haijawahi kutokea wakati rahisi kuanzisha biashara kama wakati tuliopo sasahivi! Kabla ya kuendelea na huu uzi, naomba ondoa fikra potofu kuhusiana na online money making...
9 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom