Wakuu hongereni kwa kuendelea kuweka nguvu na akili katika kuhakikisha maisha yanabadilika kwa matokeo chanya
Binafsi katika harakati za hapa na pale nimeendelea kuona kwamba katika harakati za...
Start a virtual Business and Create Opportunities.All you need is a business IDEA and a Business Opportunity and the Desire to make change.Start today and see how the world changes.For more...
Habari wakuu.
Ninaomba mnijulishe taasisi mnazozifahamu kuwa zinakopesha pikipiki kwa ajili ya bodaboda.
Nahitaji kujua zile ambazo zina masharti nafuu pasipo dhamana ambazo vijana wengi wamekua...
Huu ni mkopo na marejesho ni mshahara kwa miaka 12.
Zile nyuzi pendwa za kutoa madini ya ujasiliamali sizioni tena jukwaani na huku mtaani warembo wameanza kupendeza zaidi.
Nisaidieni ndugu...
Kichwa hapo juu cha jieleza napenda kuulizia bei ya jezi hizi za kawaida (inshort fake ) za timu mbali mbalii zinapatikana kwa bei ganii kwa jumlaa na ni maeneo gani zipo kwa wingiiii
Nimeleta ombi lengu huku kwenye Jukwaa hili najua huku kuna watu wengi zaidi, hebu kama umewahi kufanya hii biashara au kama una watu unawafahamu wanafanya hii kitu tafadhali naomba details,
1...
Habari yako Mwana JF, ninalo swali ambalo sijawahi kupata jibu sahihi, naomba mtaalamu wa uchumi anifafanulie, tutapata faida gani kama nchi endapo tutaweza kuwa na NOTI ya Sh. 20000?
Faida hasi...
The premiums that were obtained yesterday from a bid organised by PIC in implementation of Bulk Procurement System (BPS) sees the premium going higher than currently being put in pricing by EWURA...
Huwa najiuliza kwanini hamna migahawa ya McDonalds maana kama mtaji mbona kuna fast food restaurants nyingine kibao zilizoanzishwa kama Franchise za nje, hasa Dar es salaam... kuna KFC kibao...
Kama kichwa hapo naomba kufahamu jinsi ya kuendesha biashara/huduma ya duka la dawa muhimu kubwa zaidi ni kuhusu mtaji wa sh ngapi naweza anza nao, na taratibu zake zikoje natanguliza shukrani.
JK ataka bei ya mafuta ishuke
• EWURA yataka bei za bidhaa zishushwe
• Akiri kuwepo kwa magendo makonyo ya karafuu Pemba
* Amwagiza Ngeleja kukutana na EWURA
* Ahoji bei...
Je una shamba au kiwanja na unawaza upande zao gani litakalokulipa kwa muda mfupi?
Karibuni ndugu wadau na wamiliki wote wa mashamba, viwanja .. tunazo mbegu Bora za mzuzu, mtwike, bukoba ...
Ningependa kuwafahamisha kuhusu bidhaa mbalimbali zinazoweza kutengenezwa kutokana na zao la mkonge lililochakatwa na kutengenezwa nyuzinyuzi (fibres).
Nyuzinyuzi hizi baadae hutengenezwa kamba...
Biashara 15 ambazo zinalipa kwa sasa.
1. Kupika kwa oda
2. Urembo(kusuka,makeup,kucha)
3. Kilimo cha mbogamboga
4. Kupiga picha (wazee wa Location)
5. Kupanga sherehe/Matukio(Event planning)
6...
Source:
https://www.nairaland.com/2422600/six-habits-make-remain-poo
The fact that you were born poor doesn't mean you should die poor. Eight out of ten people will have done something that will...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.