Hi, nahitaji kuwasiliana na mtu wa ndani wa TANESCO, nina project/innovation nataka kushirikiana nao.
Najua JF ni kubwa na nitaweza kuunganishwa nae.
Naogopa VISHOKA wanaoweza kuiba idea yangu...
Aisee kama wewe ni msafiri kati ya JNIA (Dar) na ama Kilimanjaro (KIA) au Mwanza (Kwa Mbeya PW ameshachemsha na haendi tena).
Utakuwa ume-note jinsi hawa Precision (PW) wanavyopelekwa mputa mputa...
Habari zenu na poleni na majukumu wadau wa hili jukwaa,me naomba mawazo yenu juu ya hii biashara kuna jamaa zangu wapo nje (dubai na china) sasa wamenishauri niwe nashirikiana nao wawe wananitumia...
Naombeni kama kuna mtu alieko South Africa kuna kitu nahitaji huko cha Tsh 1,000,000 ila kutokana na kutoaminiana naomba alipie kabisa anitumie nikikipata nitamlipa na Faida juu.
Kama unaweza...
Habari za weekend wana jr, I hope mpo poa.
Wajuzi wa haya mambo naombeni msaada wenu, ni wapi naweza change Bahrain Dinar to Tanzanian Shillings?
Nimejaribu kwenda bank zetu za humu ndani lakini...
Habari wana JamiiForums
Mimi ni kijana ninae hitaji kufungua kampuni ya upimaji viwanja. Kitaaluma Mimi nimesomea ualimu na nimehitmu mwaka huu (2018). Hivyo sina ujuzi wala uzoefu na kazi hii...
Juzi kati apa nilipata wazo zuri sana kwenye hii industry ya malipo ya mtandaoni. Na ningependa kujua ni sheria gani natakiwa kupitia au natakiwa niwe na kitu gani ili niweze kuanzisha mfumo huo...
Wapendwa Mimi ni mjasiliamali nipo moro nauza viazi rejareja nilikua naomba Kwa wafanya biashara wakubwa wanaopeleka dar viazi niweze kupata mawasiliano nao wanipitishie hata gunia tano hapa Moro...
habari za usiku na swali naomba wanauchumi na forex trades munijibu.
Hivi, supply na demand , ni quantity of goods or services au ni number of people?
mfano, mama lishe akipika chakula say wali...
Haya mambo sidhani kama yanafundishwa darasani. Hii ni street knowledge, real life situations ambazo zinatufunza mengi. Sasa kuna matukio mawili hapa ya kibiashara, naomba mwenye jibu la mojawapo...
Naam naam kwanza kabisa nawashukuru wote kwa mawazo yenu chanya nnayotarajia kutoka kwenu....I appreciate[emoji120]
Moja kwa moja nimekua nikipambana kwa namna ya kujikwamua kutoka kwenye hili...
Asalamu alykum mandugu,
Mimi ni machinga nilikuwa nauza mchele Moshi, barabara ya manyema, lakin baada ya hili jambo wa kufukuzwa mambo yameenda vibaya na biashara ikaharibika kabisa, nimeamua...
Hp Specifications
Ram gb4
Intel Core i3
Hard disk 500gb
Processor 2.4ghz
Up to to 4 hour battery use
With its original charger
Price 450,000
Contacts: 0717749560
FOR SERIOUS BUYERS ONLY!
FURSA FURSA FURSA
Twitter follow
Hii ni platform ambayo imeanzishwa kitambo kwa lengo lakukuza au kutangaza account na bidhaa za watu mbali mbali twitter
Task za twitter follow ni ku like...
Habari wana jamvi
Nilikua nadaiwa songesha na mpawa nimevunja laini sababu wamekua wasumbufu hasa mpawa na nipige tafu nilikua nadaiwa 8230
Je kuna njia nyingine watayotumia kunikamata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.