Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nakumbuka ilikua 2017 Mida ya jioni nipo na laptop yng naperuzi mtandaoni kumtafuta njia ya kuningixia pesa bila ya mimi kuwa na mizunguko miingi, katika kuperuzi hapa na pale first time nikaona...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Huenda unatamani kununua nfts lkn bado hujajua uanzie wapi kufanya utafiti wako,hujui uzingatie nini kwanza ili usije kupoteza pesa yako kwa kununua project mbovu ya Nft.Basi kama hilo ndo tatizo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilikwenda soko la Ferry kununua samaki. Niliona wavuvi wanauza dagaa kwa ndoo. Wazo nililolipata ni kwenda Ferry asubuhi na jiko la mkaa na kopo moja tu la mkaa ndani. Chupa ya mafuta na...
11 Reactions
24 Replies
6K Views
FREE APP. Introduction The App will be both android and IOS, that will be 100% free (if possible, embedded in specific brand of phone's manufacturer). The app can work even if there's no sim...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau. Poleni kwa majukumu. Kwa wale wanaoijua Uganda, naomba kujuzwa fursa zipi za Biashara zinazopatikana kule. Asanteni
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habarini wakuu na poleni kwa majukumu ya kazi. Kijana wenu niliingia shambani na kuzalisha mbegu za mchicha mweupe superlishe ila changamoto imekuja kwenye soko la bidhaa hii toka soko kuu la...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Wakuu, Nimetembelea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Airport kwakweli ni mzuri mno na unavutia sana sana hususani Terminal 3. Ujenzi wake umebadilisha kabisa muonekano wa uwanja...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari wadau! Wiki iliyopita nilikuwa natazama taarifa ya habari. Na miongoni mwa habari ilikuwa ni ya uzinduzi wa huduma za posta nadhani dodoma. Mojawapo ya uzinduzi ilikuwa ni pamoja na...
6 Reactions
14 Replies
3K Views
Huwa nasikitika sana ninapotoa ushauri kwa watu wenye mitaji mikononi,hasa wale wanaotoa na kuandika thread kuwa wana kiasi "flani cha pesa" Je wafanyie nini? Ukweli ni kwamba kila mtu hapo alipo...
24 Reactions
24 Replies
5K Views
Pato la Taifa ni GNI/GNP au GDP? "Nominal" - itakuwa kinaganaga? Ufafanuzi kwa Kiingereza: GNP Gross National Product (kisawe = gross national income GNI): total domestic and foreign output...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu tax clearance ni lazima kuwa nayo unapoomba leseni ya biashara?
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Mzoefu na hii biashara jamani nataka nianze,nipo location ambayo nahisi naweza kuanzisha; 1.Yanapatikana wapi kwa bei ya Jumla hapa Mwz au Dar. 2.Bei gani yanauzwa? 3.Utaratibu wa kukodisha upoje...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakubwa zangu nina wazo la kuanzisha kiwanda kidogo cha unga wa sembe ila kitu ambacho mpaka sasa kinanipa changamoto ni juu ya hawa watu TBS na TFDA. Je, naweza fanya uzalishaji bila kibali toka...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Wakuu habari, hivi kibanda cha chips ukitaka kukifungua kama unayo leseni ya biashara kuna haja ya kupata kibali TFDA au hiyo leseni na TIN niliyonayo inatosha? Naomba kuwasilisha na ningeomba...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hapa nchini tuna taasisi nyingi sana lakini hazifanyi kazi yake ipasavyo,wahusika wanakula viyoyozi tu maofisini na kutumia kodi zetu vibaya lakini hakuna wanachokifanya. Mwezi uliopita kwenye...
0 Reactions
1 Replies
519 Views
Ndugu zangu humu ndani! Mimi ni mvuja jasho mwenzenu, nipo Mtwara Masasi, namiliki Hiace mbili ambazo kwakweli naona biashara imedorora kabisa. Kuna wakati biashara haikuwa mbaya sana, Ila...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Waungwana naombeni michago yenu nipo kwenye njia sahihi au watu hawataki hivi vyakula tena maana nina mpango wa kufungua mgahawa mdogo na kupika vyakula vya asili peke ake Sent from my SM-J500F...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Napatikana njiro 88 pick n pay Room no 8 Arusha Nauza nguo za mtumba za Watu wazima Suruali za ofisi 10000 Ukipata kuanzia 5 bei8000 Magauni 10000 Skirt 10000 0762 998333
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jamvi.... Naomba kuuliza au mwenye ujuzi wa biashara ya mchele .. LOCATION MOSHI
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Habari ndugu zangu, Mimi nataka kuanza kuwekeza pesa zangu za ziada lakini sijui nihifadhi wapi ambako nitajitengezea angalau faida ya asilimia 10 kwa mwaka! Naomba msaada kwa anayejua
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Back
Top Bottom