Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Rais wetu hapa Tanzania hana uwezo wa kushusha bei ya mafuta with a signifucant figure ila ana uwezo wa ku-regulate non pricing factors za mafuta. Bei ya mafuta iko juu globally sio Afrika tu...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Hivi nikinunua Ile mashine ya kusajilia laini Kwa mtu unaweza kuwa na madhara? Au shida yoyote
1 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Biashara ya jezi mfano jezi za Simba, Manchester, Arsenal, Livepoor, Yanga, Mtibwa. N.k 2. Biashara ya simu na vifaa vyake mfano simu za android na iphone 3. Biashara ya vifaa vya electronic...
4 Reactions
22 Replies
6K Views
Wakuu naomba kuuliza kwa wale wazoefu, ni benki gani ambazo wamakubali hisa za UTT kutumika kama dhamana ya kuchukulia mkopo bila usumbufu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
LATARA wamekuwa na vikwanzo visivyo na maana na zaidi ya yote ni kukwamisha maendelea, Mfano: umeenda tala umewalipa wamekubali umeenda tala (tanapa) mumeshea kulipa dola mia tano wamekubali njoo...
1 Reactions
6 Replies
608 Views
Mjini shule hasa dar Hakii dar watu wanapenda shortcut sio wanawake sio wanaume. Kuna hawa wadada wanapenda kujipost insta huko wanajifanya wana mabusiness ya hatari Wanasema uwaagize chochote...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Wana JF, Wenzangu yawezekana tupo tunaendelea na maisha yetu ya kawaida ila kwa jinsi mimi nionavyo kuna tatizo zito kwenye uchumi wa Dunia na kwa hatua tatizo hili lilipofikia kuna uwezekano wa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari, Leo napenda nitoe maoni yangu kwenye huduma ya lipa kwa simu upande wa tigo pesa na m-pesa. Wafanye maboresho kidogo kwenye upande wa kuhamisha pesa kutoka kwenye lipa ya Tigo au M Pesa...
9 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu naomba kuelimishwa kuhusu gesi ya Mtwara. Hivi kama nchi tunafaidikaje nayo? Kwani sisikii ikitajwa popote kama vyanzo vya mapato wala faida iliyopatikana tangu uchimbaji uanze Sent from my...
0 Reactions
1 Replies
724 Views
Kwa wale wote waliopo ndani na nje ya Tanzania wenye nia ya kuanzisha kampuni Tanzania lakini hawajui waanzie wapi GM Business Develepment Consult ltd watakupatia jibu Kwa wale tayari wapo...
6 Reactions
500 Replies
174K Views
Ni kama kuna Watu wana nufaika na huu ugumu. Mazingira au urahisi wa kufanya Biashara Tanzania bado changamoto ni nyingi sana, na nashindwa kuelewa je bado tunahitaj kwa hisani ya Watu wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika Makala haya tuifananishe nchi yetu na majirani zetu kwenye upatikanaji wa ajira na ukuzaji wa uchumi. Viko vitu vingi vya kuzunguza lakini kwa taarifa iliyopo naweza zungumzia upatikanaji...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Matatizo mengi ya ugumu wa kufanya biashara Tanzania yanasababishwa na tamaa za serikali za pesa za haraka. Kufungua LLC company Tanzania ni 600,000 ili uweze kufanya biashara kama kampuni sio...
12 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wana Jf. Twende moja kwa moja kwenye mada. Wangapi wamefika soko kuu la ilala? Na kama ulibahatika kufika hali yake ikoje? Kiukwel ni aibu kwa taifa letu soko chafu na matope hakuna. Kuna...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Prestige caton ilikuwa 70,000 jan sasa ni 92,000 Jamaa soap was 47,000 now 82,000 Blueband was 72,000 now 110,000 Kuna shida gani mpakani??
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwezi wa kwanza niliwahi nunua tani 2 kwa hao hao wauzaji wa mchele ila sikugundua maana nilivyoufikisha stoo vijana waliwahi kuuweka kwenye mifuko ya kinga njaa kwahiyo sikupata nafasi ya kupima...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Habarin wana JF, naombeni wenye uealewa na soko la garnets na tourmaline kwa sasa 2022, dealers wazur na mengineyo anisaidie. Pia mm ndo first time nimeupata huu mzgo chimbo na nimeuchimba...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarin wana JF, naombeni wenye uealewa na soko la garnets na tourmaline kwa sasa 2022, dealers wazur na mengineyo anisaidie. Pia mm ndo first time nimeupata huu mzgo chimbo na nimeuchimba...
1 Reactions
2 Replies
949 Views
Gavana wa benki kuu ya Tanzania Prof. Florens Luoga amesema wanachojua mpaka sasa ni kuwa sarafu za kidijitali sio salama. Aidha amesema kwamba hawawezi kusema ni lini watatoa maelekezo kwani bado...
8 Reactions
136 Replies
9K Views
Kwema ndugu....naomba tupeane moja mbili za biashara ya uwakala wa mobile money apo mjini dsm.
0 Reactions
1 Replies
420 Views
Back
Top Bottom