Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

New Tennis Rackets for sale!!! tshs 70,000 Call: 0687858018
0 Reactions
0 Replies
347 Views
Habari Wakuu Wanajamvi Leo nataka nijuzwe kuhusu hii biashara ya chips. Jee ni inafaida kama nitapata location nzuri.. Pia Bei ya kabati la kioo kubwa la kuweka chips na Kuku linauzwa bei...
0 Reactions
20 Replies
14K Views
Habali wana jamvi. Husika na kichwa cha habari hapo juu Naomba kujua bei za madirisha ya chuma mageti na vitanda kulingana na vipimo vyake. Asante
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kuuliza ili nipate kujua Maana nisije ingizwa chaka, mwenye kujua tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
779 Views
Wasalaam wakuu,,, UTANGULIZI (kama mvivu sio lazima maelezo aya) Mimi ni kibarua ktk secta flan ya kawaida sana,sasa nina likizo ya mwezi na nusu,nina ka akiba kangu kama 1m ambaya mwanzo...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Igweeeee!!!...Naamini wote humu ndani mko salama. Kuna hii biashara ya kuuza mchanga ambayo watu wameanza kuvutiwa nayo ambapo wananunua mashamba yenye mchanga na kuanza kuuza mchanga. Kwa ambao...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari za majukumu! Nakusalimu popote pale ulipo unaposoma waraka huu. Jamani Mimi ni mjasiliamali mdogo kwa sasa! Na hapa Nina bata wakubwa 33 majike na madume. Naomba kujua wapi naweza...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu. Nipo mbali na ofisi za hii mitandao. Naomba kujua taratibu za kampuni kupata namba za lipa kwa mpesa/tigopesa. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
10 Replies
9K Views
Habari za wakati huu; Tunaishi hapa duniani na maisha lazima yaendelee.Leo nimeona nilete mjadala kidogo kuhusu maisha yetu.Mjadala huu unahusu uhusiano uliopo kati ya malengo yako na matendo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa mahitaji ya kujengewa banda bora la mifugo karbu Gejo Farm tutakujengea kwa gharama nafuu na kwa kuzingatia upatikanaji wa material kwa eneo husika Piga simu [emoji338]0744168798 au whatsapp...
1 Reactions
7 Replies
974 Views
Minazani kuinga kwenye mpangomkakati wamkopo utakao weza kuinua kilasekta inayo gusa mfumuko wa bei.
0 Reactions
0 Replies
389 Views
Leo nimelazimika kufananisha bei ya mafuta ambapo bei ya Petroli ilikuwa 2,273.08 na bei ya dizeli ilikuwa 2,145.76 hiyo ni kwa mwezi mei 2021 ambapo sasa bei imeongezeka kwa 38% kwa bei ya...
0 Reactions
1 Replies
537 Views
Naomben mawazo kwa weny uzoefu au wanaofanya bznez hii. Ninataka kufungua kampuni ya kukopesha je nizingatie nn na niepuke kipi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari mabaharia(watafutaji) Naomba kujuzwa chimbo la Dildo kwa hapa dar ni wapi nmeshapata wateja wengi bado mzigo tu Fanyeni upesi wapendwa nhitaji sana hasa ndefu na nene
1 Reactions
7 Replies
992 Views
Hbar za wakati huu.Ningependa kujua wapi wananunua madini ya graphite au bunyu kwa kilo au tani nyingi nyingi au ikiwezekana shamba zima. Nawasilisha. Sent from my vivo 1907 using JamiiForums...
0 Reactions
3 Replies
665 Views
Habarini wana jamii forum, Natumai mko poa na tunaendelea salama na majukumu ya kujenga Taifa. Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 27 mwenye elimu ya ngazi ya ordinary diploma in...
3 Reactions
61 Replies
5K Views
Kumekua na misemo kwamba maisha ni haya haya Jamani tusirizike na halizetu za chini, tupige KAZI Tutafute hela,tupambane. Wanangu tusibweteke kwamba maisha ni haya haya
4 Reactions
4 Replies
1K Views
KINANGE App ni online e-commerce platform inayokuwezesha wewe mfanyabiashara kulist bidhaa zako buree na kupata wateja wengi. Kinange App sasa Ina wateja wengi lakini Haina bidhaa nyingi...
0 Reactions
1 Replies
433 Views
Biashara ya shule za watoto zinaingiza kipato kikubwa sana. Inategemea na centre ukiyopo. Karibu tuwekeze kwa wenye mtaji. Nyumba ipo tena mazingiza yanayovutia sana na ni eneo ambalo watoto...
0 Reactions
4 Replies
450 Views
Kiwanja kinauzwa kina hati safi chamazi kanisani(2643Sqm), mtaa wa mkondogwa less than a kilometer kutoka barabara ya lami Price 50,000,000=tsh....Negotiable!!
0 Reactions
1 Replies
367 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…