Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
STATIONERY YA NDANI YA GHETO/HOSTEL Nguvu ya hii biashara 1.tationery nyingi hufugwa mida ya saa moja jioni hivyo hakunaga mbadala, nguvu yako hapa ni kwamba wewe muda wowote ambao upo chumbani...
5 Reactions
8 Replies
3K Views
Nineajiriwa kwenye shirika moja la serikali ambalo tunahudumia wafanya biashara kadha na kadha, nipp lwenye kitengo cha accounts kwa hio wengi wao najua hali zao kwenye faida, madeni, sales, n.k...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa nini mawakala wa kutuma hela hawatoi risiti kwa mtumaji una ambiwa tu tayari imeenda. Au huyu mtumaji yeye siyo mteja na hana maana kabisa ila mteja ni yule anayepokea hela kwa sababu huyo...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakati mwingine unaweza kuweka mipango ya kukamilisha kazi fulani ndani ya muda fulani na ukawa na hamasa ya kuhakikisha kazi hiyo inaisha hata kabla ya huo muda uliopanga kufika, yaani uiwaishe...
3 Reactions
3 Replies
880 Views
Kwakweli naomba niseme tu SIMBANKIG Mobile Application ya CRDB,imekosa mvuto kulinganisha na ya washindani wao wakubwa wa kibiashara ingawa mtu unapata huduma unayohitaji kupitia hiyo App. Kwa...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Kumekuwa na ongezeko la uchukuaji wa mkopo kutoka taasisi mbalimbali lakini bado kusimama kiuchumi bila utegemezi wa mkopo umeshindikana. Matarajio ya wengi katika mkopo ni kurudisha mkopo kwa...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Nimeanza jana kujaribu kusajili Jina la biashara kwa mfumo wa Brela ORS. Nimejisajili vizuri tu ili kuendelea na hatua inayofata, sasa shida ndio imeanzia hapo.. Kila...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu Jamani Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu, nilikua naomba kujua ni process gani zinahitajika kusajili laini za uwakala wa halopesa na mitandao mingine na bei yake mana nilikua nataka...
3 Reactions
25 Replies
7K Views
Na Caroline Nassoro Mkutano wa mwaka huu wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unatarajiwa kufanyika mjini Dakar, Senegal, kuanzia tarehe 29 hadi 30 Novemba, mwaka huu...
1 Reactions
1 Replies
675 Views
Hivi huwa najiuliza;inawezekana ikafika mahala watu wote wakawa sawa kiuchumi? Maana yangu ni kwamba, je kuna uwezekano wa wananchi wote kuwa Matajiri (bila kuwepo maskni wa kipato) na maisha...
2 Reactions
3 Replies
578 Views
Habari wana JF! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Natafuta mtu wa kuja kuwekeza Milioni 2.5 tu katika biashara ya kusaga na kukoboa mahindi pamoja na kuuza viroba vya sembe na...
14 Reactions
50 Replies
7K Views
Salam wakuu, Bila kupoteza muda naomba kuuliza kwa wazoefu vitu vya msingi unavyopaswa kuwa navyo pindi unapotaka kuanzisha biashara ya car wash. Vichache naelewa ni: Pressure washer Vacuum...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Safari za Dar JKN International Airport kwenda Gatwick Airport zitaanza December 2019 https://www.anna.aero/2018/07/20/air-tanzania/
3 Reactions
49 Replies
7K Views
Nawaona ndugu zetu hawa wa jamii ya Kikinga katika mikutano yao ya pamoja ya kimkakati juu ya jinsi gani watafanya biashara ambayo itawaletea utajirisho mkubwa katika vikao vyao mbalimbali sehemu...
35 Reactions
321 Replies
42K Views
NAHITAJI MWENYE MAGAZETI YA SANI.kama unayo au unajua naweza pata wapi njoo dm unipe bei yako.hata kama ni moja.
0 Reactions
2 Replies
750 Views
Salaam kwenu wote Kama kichwa kinavojieleza, ni biashara gani mtu alie buzy anaweza fanya? Karibuni kwa mawazo tushee experience zinaweza saidia na wengine pia
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Hello wajuvi na wajuzi, watoto wa mjini, watoto wa kariako, mlio invest kariakoo..etc Nafikiria kupata frem na kufanya biashara ya mikoba, viatu..etc Siku zote katika kila jambo kuna pande...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini wapendwa nina wazo kwa wale vijana wenye nia ya kuthubutu na wenye mawazo au biashara au wamejiajiri tukutane na tuunde kikundi. Lengo la kikundi kwenda kupata Mkopo wa Halmashauri...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Kama uliwahi kuweka vocha kwenye simu yako alafu ukakuta ile hela uliyoweka haipo na wala hujaitumia, ulishawahi jiuliza inaenda wapi nini kifanyike ili kuzuia wizi wa namna, nini kinafanyika...
3 Reactions
2 Replies
938 Views
Back
Top Bottom